Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

📌📌MAKONDA ASISITIZA UWAJIBIKAJI NA KAULI NZURI KWA WATENDAJI WA SERIKALI. Katibu wa NEC itikadi, uenezi na mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Paul Makonda amewataka watendaji wa serikali ya...
1 Reactions
5 Replies
687 Views
"Tumekuja katika Gereza la Wilaya ya Karatu katika siku ya kumbukizi ya kuzaliwa ya Rais wetu Mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan. Nimekuja na akina mama wa Wilaya ya Karatu kwa kushirikiana na Mkuu...
1 Reactions
3 Replies
798 Views
Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Simai Mohamed Said ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo leo usiku. Mhe. Simai ambaye pia ni Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu kwa...
11 Reactions
149 Replies
17K Views
AWESO AFANYA MABADILIKO YA WATENDAJI MAJI RUFIJI, AMUONDOA KWENYE NAFASI YAKE MKURUGENZI UTETE. Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amefanya mabadiliko ya Kiuongozi katika Mamlaka ya Maji Utete kwa...
1 Reactions
5 Replies
876 Views
UPUMBAVU ni hali ya mtu au watu waliopata elimu lakini wameshindwa kuitumia kujikomboa wao wenyewe au kuikomboa jamii yao katika adha , dhiki, shida au aina yoyote ya mkwamo. MPUMBAVU, ni mtu...
16 Reactions
44 Replies
2K Views
Happy birthday Mama Mwenyezi Mungu akupe Miaka mingi uone vitukuu vyako kutoka kwenye uzao wangu. Mh Rais nimefurahia kuunganisha siku yako ya kuzaliwa na kitendo cha kupanda miti nikuhakikishie...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
AWESO AELEKEZA MKANDARASI ENEO LA CHANZO CHA MAJI RUANGWA KURIPOTI KAZINI, ARIDHISHWA NA UJENZI WA TENKI Waziri wa Maji Mhe.Jumaa Aweso ametembelea na Kukagua ujenzi wa Mradi wa Maji wa vijiji...
0 Reactions
0 Replies
388 Views
Paul Makonda kadai anataka mdahalo na viongozi wa CHADEMA. Wao wamemjibu kwa kuweka masharti ili mdahalo huo ufanyike. Here I come. Mbeba maboksi niliyeishia kidato cha nne na kufeli. Siweki...
62 Reactions
250 Replies
13K Views
  • Poll Poll
Waziri Mkuu, mstaafu Jaji Joseph Warioba ameeleza wasiwasi wake kuhusu hatua ya Serikali ya kutaka kuanza kutoa elimu ya Katiba Mpya kwa miaka mitatu, akisema ni muda mrefu kwa mchakato huo...
13 Reactions
28 Replies
4K Views
Kiasili Watanzania ni Watu Wavivu Wavivu Ndio sababu Hata uhuru tulipewa wa mezani, ebu waangalie Wagogo ambao Ndio Watanganyika asilia. Zamani walikuwepo maTX kutusaidia Shughuli mbalimbali za...
3 Reactions
12 Replies
685 Views
Hivi ndivyo Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo (CCM), Paul Makonda alivyoingia Kahama Mkoani Shinyanga leo January 27,2024 akiwa kwenye mwendelezo wa ziara yake. Nini maoni yako? 📹 AyoTv
6 Reactions
48 Replies
4K Views
Ziara za Komredi Makonda, na hasa anapowapambanisha watumishi wa umma na wananchi, zinadhihirisha udhaifu mkubwa wa Chama Cha Mapinduzi.
1 Reactions
10 Replies
938 Views
Rais Samia atakuwa na ziara mkoani mwanza mwishoni mwa mwezi January 2024. Namshauri atoe maelekezo kwamba yaongezwe maeneo ya hifadhi ya mazalia ya samaki ambayo yatakuwa na kinga ya kisheria...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimeona akina Yoda, Tindo, Mshana Jr nk wanalalamikia msafara wa bodaboda zinazomsindikiza Komredi Makonda kwenye mikutano yake ya Chama Niwashauri tu wangeanza kuhoji Matumizi mabaya ya ruzuku...
8 Reactions
67 Replies
3K Views
Nimeshangaa sana leo. Hapa Arusha kuna ujio wa Mwenezi wa CCM Taifa bwana Makonda. Cha kushangaza barabara zimefungwa. Watu wanalazimishwa kufunga biashara zao ati waka msikilize Makonda...
1 Reactions
1 Replies
397 Views
Siku chache tangu aliyekuwa Waziri wa Utalii na Mambo ya kale wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Simai Mohammed Saidi kujiuzulu nafasi hiyo leo, Jumamosi Januari 27.2024 Rais wa Zanzibar na...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Siasa michezo au mchezo duty? Bandugu ba Jamii forum nimeanza kurecover kidogo kidogo baada ya kifo cha mwanangu maana imefika pahala nalazimika kuamini yakuwa kweli Binti yangu kipenzi sipo nae...
3 Reactions
8 Replies
963 Views
Tuliahidiwa kuwa mtambo namba utawashwa kati ya January mwishoni na February mwanzoni. Nawakubusha tu Tanesco kuwa muda wa kutimiza ahadi hii nayo ambayo ni kama ahadi ya 12 hivi kuhusiana na...
6 Reactions
6 Replies
477 Views
Katika Historia yetu sioni mawaziri wa fedha na wa viwanda na biashara waliofanya makubwa sana kuibadilisha nchi hii. Wahindi wamekuwa wanafanya vizuri sana huko duniani hasa katika sekta ya...
17 Reactions
115 Replies
4K Views
Wanabodi, Hii ni Nipashe Jumapili ya leo 19 Nov. 2023. Kama kawa, leo nimepata fursa tena kuwaletea makala elimishi ya uchambuzi wangu wa muswada huu wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…