Rais anafanya kweli ila msaidizi wake anaigiza. Hivi wewe msidizi wa Rais unaigiza kwa faida ya nani?

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Happy birthday Mama

Mwenyezi Mungu akupe Miaka mingi uone vitukuu vyako kutoka kwenye uzao wangu.

Mh Rais nimefurahia kuunganisha siku yako ya kuzaliwa na kitendo cha kupanda miti nikuhakikishie nami nitakuiga siku yangu kuzaliwa ikifika nitaenda kijijini kwangu nilikozaliwa kupanda miti lengo ni kutambua tu yakuwa nitake nisitake iko siku nitarudi udongoni na udongo usio na mti kaburi langu litapigwa na jua mpaka nikome ila nikipanda miti ntakapozikwa patakuwa na kivuli kizuri na mvua za kutosha hakika nitaenjoy niwapo kaburini.

Ndugu wana jf

Taifa letu lina kiongozi na lina viongozi mnaweza wenyewe chambua kupitia picha zao hapo juu

Yaani waziri anatakiwa kupanda mti anashindwa kushika CHEPEO NA KUPANDA MTI HATIMAE kuna mtu anachimba shimo anaupanda mti anaufikia dhen WAZIRI anaenda anashika JANI la mti anapigwa picha na aliyempiga picha anasema waziri akipanda mti.

Picha nyingine inaonesh RAIS wa nchi akiwa na chepeo mkononi akionekana kushika udongo na chepeo akionekana kweli kupanda miti.

Naomba kila mwana JF mwenye utashi wake atoe caption ya hizo picha kwa maneno yasiyozidi 49

View attachment 2885413
Screenshot_20240128-090107.jpg

GWAJIMA ANAIGIZA KUPANDA MTI ILA Mama anapanda kweli mti
View attachment 2886955View attachment 2886956
 
Wee Sifi Leo ni Mjinga, una wivu na mwenye fitini.

Ukweli ni Kwamba, WATANZANIA WANATAMANI VIONGOZI WOTE NA WATUMISHI WOTE WANGEKUA KAMA MH PAUL MAKONDA
 
Mbona picha ipo moja tu!?
Happy birthday Mama

Mwenyezi Mungu akupe Miaka mingi uone vitukuu vyako kutoka kwenye uzao wangu.

Mh Rais nimefurahia kuunganisha siku yako ya kuzaliwa na kitendo cha kupanda miti nikuhakikishie nami nitakuiga siku yangu kuzaliwa ikifika nitaenda kijijini kwangu nilikozaliwa kupanda miti lengo ni kutambua tu yakuwa nitake nisitake iko siku nitarudi udongoni na udongo usio na mti kaburi langu litapigwa na jua mpaka nikome ila nikipanda miti ntakapozikwa patakuwa na kivuli kizuri na mvua za kutosha hakika nitaenjoy niwapo kaburini.

Ndugu wana jf

Taifa letu lina kiongozi na lina viongozi mnaweza wenyewe chambua kupitia picha zao hapo juu

Yaani waziri anatakiwa kupanda mti anashindwa kushika CHEPEO NA KUPANDA MTI HATIMAE kuna mtu anachimba shimo anaupanda mti anaufikia dhen WAZIRI anaenda anashika JANI la mti anapigwa picha na aliyempiga picha anasema waziri akipanda mti.

Picha nyingine inaonesh RAIS wa nchi akiwa na chepeo mkononi akionekana kushika udongo na chepeo akionekana kweli kupanda miti.

Naomba kila mwana JF mwenye utashi wake atoe caption ya hizo picha kwa maneno yasiyozidi 49

View attachment 2885413View attachment 2885414
 
Back
Top Bottom