Meja Jenerali Gaguti amechangia hotuba ya CDF Mkunda kuhusu wakimbizi kuteuliwa Serikalini?

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,666
Ukiachana na TISS au CID ambao ni polis bado kitengo cha usalama jeshini (MI) wanaweza kupenyeza nani akafanye kazi za kiraia hasa zile za ushauri wa mgambo kwenye halmshauri zote hapa nchini ni hivyo kukusanya data na nani ni nani kwa mini na wapi na kuzichakata kisha kuzitumia kama report ya CDF ilivyozua ngumzo

Ni kweli kwa sasa aliyekuwa kuwa DC, RC kwenye mikoa tofauti Leo ndio anakusanya taarifa hizo kuzichakata na kuzilipot moja kwa moja kwa Mkuu wa majeshi.

Gen Gaguti amekuwa talented hasa akifanya kazi mikoa yenye changamoto za kiusalama na miingilino ya watu kama Kagera, Kigoma na mtwara kabla ya kurudishwa jeshini na rais samia.

Ni kweli kwa sasa aliyekuwa kuwa DC ,RC kwenye mikoa tofauti Leo ndio anakusanya taarifa hizo kuzichakata na kuzilipot moja kwa moja kwa Mkuu wa majeshi .

Gen Gaguti amekuwa talented hasa akifanya kazi mikoa yenye changamoto za kiusalama na miingilino ya watu kama Kagera,kigoma na mtwara kabla ya kurudishwa jeshini na rais samia.

USSR

Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
Punguza uchawa, tangu lini Gaguti akawa General?
 
Kuna mtu ama watu ukiona wanaongea kuhusu jambo fulani hadharani, ujue kuna jambo ndani linaendelea... Tulianzaga kitambo kuambiwa kwamba huko jeshini wapo kibao, na wengi waliingia kwa njia ya kujitolea kwa hiari JKT
 
Ukiachana na TISS au CID ambao ni polis bado kitengo cha usalama jeshini (MI) wanaweza kupenyeza nani akafanye kazi za kiraia hasa zile za ushauri wa mgambo kwenye halmshauri zote hapa nchini ni hivyo kukusanya data na nani ni nani kwa mini na wapi na kuzichakata kisha kuzitumia kama report ya CDF ilivyozua ngumzo

Ni kweli kwa sasa aliyekuwa kuwa DC, RC kwenye mikoa tofauti Leo ndio anakusanya taarifa hizo kuzichakata na kuzilipot moja kwa moja kwa Mkuu wa majeshi.

Gen Gaguti amekuwa talented hasa akifanya kazi mikoa yenye changamoto za kiusalama na miingilino ya watu kama Kagera, Kigoma na mtwara kabla ya kurudishwa jeshini na rais samia.

USSR

Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
Gaguti ni mkuu wa utumishi jeshini na sio mkuu wa usalama jeshini.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Ukiachana na TISS au CID ambao ni polis bado kitengo cha usalama jeshini (MI) wanaweza kupenyeza nani akafanye kazi za kiraia hasa zile za ushauri wa mgambo kwenye halmshauri zote hapa nchini ni hivyo kukusanya data na nani ni nani kwa mini na wapi na kuzichakata kisha kuzitumia kama report ya CDF ilivyozua ngumzo

Ni kweli kwa sasa aliyekuwa kuwa DC, RC kwenye mikoa tofauti Leo ndio anakusanya taarifa hizo kuzichakata na kuzilipot moja kwa moja kwa Mkuu wa majeshi.

Gen Gaguti amekuwa talented hasa akifanya kazi mikoa yenye changamoto za kiusalama na miingilino ya watu kama Kagera, Kigoma na mtwara kabla ya kurudishwa jeshini na rais samia.

USSR

Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
SAMWELI MAHIRANE ni KAMISHNA wa UHAMIAJI anayeshughulikia UDHIBITI wa MIPAKA. Ni mzaliwa wa kijiji cha NYARUONGA, wilayani KIBONDO ambapo ni MPAKANI mwa BURUNDI. Mengine, nadhani MMEMSIKIA wenyewe CDF
20240124_035829.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiachana na TISS au CID ambao ni polis bado kitengo cha usalama jeshini (MI) wanaweza kupenyeza nani akafanye kazi za kiraia hasa zile za ushauri wa mgambo kwenye halmshauri zote hapa nchini ni hivyo kukusanya data na nani ni nani kwa mini na wapi na kuzichakata kisha kuzitumia kama report ya CDF ilivyozua ngumzo

Ni kweli kwa sasa aliyekuwa kuwa DC, RC kwenye mikoa tofauti Leo ndio anakusanya taarifa hizo kuzichakata na kuzilipot moja kwa moja kwa Mkuu wa majeshi.

Gen Gaguti amekuwa talented hasa akifanya kazi mikoa yenye changamoto za kiusalama na miingilino ya watu kama Kagera, Kigoma na mtwara kabla ya kurudishwa jeshini na rais samia.

USSR

Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
Pale Buhigwe palikuwa ni moja ya vichochoro vya kuingia nchini.

Hata Gaguti alipokwenda pale kama DC alikuta tayari wahamiaji wengi wamepita pale.

Hata hivyo Gaguti kwa taaluma ni mwalimu hivyo aweza kuishi kama mwanajeshi au mwalimu.

Amewahi kufundisha Mgulani miaka ya 2000s.
 
Back
Top Bottom