Nadhani Maandamano ya kudai Katiba MPYA yana tija zaidi kuliko kudai Tume Huru ya Uchaguzi

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Jan 9, 2022
449
1,009
Habari JF , kwa kifupi kabisa kwa katiba tuliyo nayo ni katiba ambayo ina upendeleo mkubwa kwa watawala na kuwapa nguvu kubwa kutawala .

Kwa maana nyingine sio katiba ya kizalendo sababu haiwapi nguvu sana wananchi na hailindi sana mali za Nchi yetu .

Chama chochote kikisha ingia madarakani kitaipenda tu .

Hivyo kupambana na kuandamana kushinikiza sheria za uchaguzi kuboreshwa ikiwemo tume huru ni kupambania watu sio Nchi .

Kama tuko serious sana nchi ni bora kuandamana Nchi nzima kudai katiba MPYA ambayo ndani yake tutapata tume huru .

Kuna watu watasema Katiba inachukua muda mrefu lakini tushachelewa sana nchi kama nchi ni bora tusichelewe zaidi .
 
Hii nchi watu hawajawahi kuwa serious mkuu na hilo ndio tatizo letu kubwa.
 
Naunga mkono hoja!

Nimependa observation yako kuwa katiba hii jinsi ilivyo "Chama chochote kikiingia madarakani kitaipenda tu" kwa hiyo ni bora kupigania katiba mpya kwanza kuliko mambo ya uchaguzi.

Point taken!
 
Habari JF , kwa kifupi kabisa kwa katiba tuliyo nayo ni katiba ambayo ina upendeleo mkubwa kwa watawala na kuwapa nguvu kubwa kutawala .

Kwa maana nyingine sio katiba ya kizalendo sababu haiwapi nguvu sana wananchi na hailindi sana mali za Nchi yetu .

Chama chochote kikisha ingia madarakani kitaipenda tu .

Hivyo kupambana na kuandamana kushinikiza sheria za uchaguzi kuboreshwa ikiwemo tume huru ni kupambania watu sio Nchi .

Kama tuko serious sana nchi ni bora kuandamana Nchi nzima kudai katiba MPYA ambayo ndani yake tutapata tume huru .

Kuna watu watasema Katiba inachukua muda mrefu lakini tushachelewa sana nchi kama nchi ni bora tusichelewe zaidi .
Hakuna anayekukataza kuandamana kudai katiba mpya, ww anzisha tu hayo maanadamano watu wako tayari muda wote. Au tusubiri kudai mengine Hadi uwe tayari kwa maandamano ya kudai hiyo katiba mpya?
 
Katiba mpya ni kitanzi kwa chama cha mapinduzi, ni rahisi zaidi kuanza na tume huru itasaidia kuwa na bunge lenye sauti katika mapambano ya katiba mpya
 
Back
Top Bottom