Makonda apiga marufuku maandamano Dar

Makonda apiga marufuku maandamano Dar

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,346
Reaction score
26,143


Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amepiga marufuku maandamano ndani ya mkoa wa Dar es Salaam. Makonda amesema kuwa kufuatia kauli ya Rais,yeye anaitekeleza.

Makonda amesema kuwa kauli ya Rais ni moja ya mambo aliyoapa kuyatii na kuyatenda. Amesema kuwa hataruhusu wala kukubali kufanyika maandamano mkoani mwake.
Makonda ameanza...

Maoni yangu: Kama Mwanasheria sifurahishwi na kuwekwa kando kwa Sheria zinazoruhusu na kuratibu mikutano ya kisiasa na maandamano. Serikali naiomba ifanye tathmini njema juu ya sakata hili.Where are we heading?

Chanzo: Channel Ten
 
Mkuu wa mkoa wa Dar Paul Makonda amesema yoyote atakayetoka mkoani kuja Dar kufanya maandamano atakuwa ni saizi yake na ataona atakachomfanya, hataki kujaribiwa na mtu
Amesema rais anataka watu wafanye kazi ili wapate maendeleo ili nchi ifikie uchumi wa kati ifikapo mwaka 2O2O
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda amepiga marufuku maandamano ndani ya mkoa wa Dar es Salaam. Makonda amesema kuwa kufuatia kauli ya Rais,yeye anaitekeleza.

Makonda amesema kuwa kauli ya Rais ni moja ya mambo aliyoapa kuyatii na kuyatenda. Makonda ameanza...

Chanzo: Habari,Channel Ten usiku huu
Tangu lini ulimuona paka anamzaa kondoo?
 
Huyu si ndiye yule anayewaogopa mashoga kwa kuwa wanataka kummaliza? Naye kaamua kukurupuka leo.

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda amepiga marufuku maandamano ndani ya mkoa wa Dar es Salaam. Makonda amesema kuwa kufuatia kauli ya Rais,yeye anaitekeleza.

Makonda amesema kuwa kauli ya Rais ni moja ya mambo aliyoapa kuyatii na kuyatenda. Makonda ameanza...

Chanzo: Habari,Channel Ten usiku huu
 
Back
Top Bottom