Uvivu wa Kufikiri na Rushwa Vinafanya Serikali iamini kila sehemu ufumbuzi ni Barabara ya mwendo kasi

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,745
Huwa nawaambia mara nyingi viongozi wa Afrika wengi hawana akili za kutatua matatizo. Toka mradi wa Mwendo kasi uwasaidie watu kupiga pesa sasa imekuwa kila barabara inalazimishwa mwendokasi.

Haya fanya utafiti wa ufanisi wa mwendokasi sehemu ambazo tayari ipo. Huduma ni dhaifu , usafiri umekuwa wa kikafiri. Ingawa suala la kuwahi linakuwepo wakati mwingine.

Lakini kuna magari machache na haushawishi watu waache magari yao na kupanda mwendo kasi.

Ufinyu wa kufikiria unawafanya hawa viongozi walazimishe kila sehemu mwendo kasi na kusababisha kufinya barabara mfano pale chang'ombe kale kakipande kwa mwendokasi kamesabisha single lane na foleni kubwa eneo hilo sababu tu walitaka iwepo mwendo kasi.

Kuna maeneo mengi solution ilikuwa ili kupunguza folen ziwepo barabara jumla sita wao wamebakiza mbili na kuongeza mwendo kasi. Baada ya miaka 10 tena wataomba pesa za kupanua barabara.

Kwa akili ya kawaida tu walipaswa kuelewa kuwa kwa sasa sehemu nyingi zenye barabara moja zilihitaji mbili na zenye mbili zilihitaji nne na kuendelea mpaka 6 yaani tatu kwenda tatu kurudi.

Barabara ya airport pamoja na kuweka mwendokasi bado ilihitaji njia 6 na si 4 kama awali. Ili kurahisisha safari na kuondoa foleni. Ila sababu watu hawataki kufikiri wamefanya yale yale kwa akili ile ile. Ili waendelee kupiga pesa kupitia mradi huu wa mwendokasi.

Hii barabara ya njia sita ilipaswa itanuliwe angalau isiogezwe mpaka Chalinze na baadaye Morogoro. Lakini sidhani kuna kiongozi ana maono hayo. Watu wamelala tu kama kuku wenye mdondo. Wamekosa maono.

Tukiwaambia mtupe hizo kazi fufanye mnatutishia na kutaka kutuondolea maisha. Mnataka wote tuimbe nyimbo za sifa na kuabudu. Haiwezekani.

Anyway ngoja nile kwa urefu wa kamba yangu haya mengine hayanihusu sana.
 
Na Raisi sio mtu anayependa mambo ya ujenzi,yeye ni mutu ya sherehe na vikao vya siasa kugawana maposho
 
Hapo niwatetee. Kuongeza lanes hakujawahi kuwa suluhisho la foleni, bali kuboresha usafiri wa umma ndilo suluhisho la foleni. Mwendo kasi uongezwe na kuboreshwa. Huo ndiyo suluhu ya foleni.
 
Huwa nawaambia mara nyingi viongozi wa Afrika wengi hawana akili za kutatua matatizo. Toka mradi wa Mwendo kasi uwasaidie watu kupiga pesa sasa imekuwa kila barabara inalazimishwa mwendokasi.

Haya fanya utafiti wa ufanisi wa mwendokasi sehemu ambazo tayari ipo. Huduma ni dhaifu , usafiri umekuwa wa kikafiri. Ingawa suala la kuwahi linakuwepo wakati mwingine.

Lakini kuna magari machache na haushawishi watu waache magari yao na kupanda mwendo kasi.

Ufinyu wa kufikiria unawafanya hawa viongozi walazimishe kila sehemu mwendo kasi na kusababisha kufinya barabara mfano pale chang'ombe kale kakipande kwa mwendokasi kamesabisha single lane na foleni kubwa eneo hilo sababu tu walitaka iwepo mwendo kasi.

Kuna maeneo mengi solution ilikuwa ili kupunguza folen ziwepo barabara jumla sita wao wamebakiza mbili na kuongeza mwendo kasi. Baada ya miaka 10 tena wataomba pesa za kupanua barabara.

Kwa akili ya kawaida tu walipaswa kuelewa kuwa kwa sasa sehemu nyingi zenye barabara moja zilihitaji mbili na zenye mbili zilihitaji nne na kuendelea mpaka 6 yaani tatu kwenda tatu kurudi.

Barabara ya airport pamoja na kuweka mwendokasi bado ilihitaji njia 6 na si 4 kama awali. Ili kurahisisha safari na kuondoa foleni. Ila sababu watu hawataki kufikiri wamefanya yale yale kwa akili ile ile. Ili waendelee kupiga pesa kupitia mradi huu wa mwendokasi.

Hii barabara ya njia sita ilipaswa itanuliwe angalau isiogezwe mpaka Chalinze na baadaye Morogoro. Lakini sidhani kuna kiongozi ana maono hayo. Watu wamelala tu kama kuku wenye mdondo. Wamekosa maono.

Tukiwaambia mtupe hizo kazi fufanye mnatutishia na kutaka kutuondolea maisha. Mnataka wote tuimbe nyimbo za sifa na kuabudu. Haiwezekani.

Anyway ngoja nile kwa urefu wa kamba yangu haya mengine hayanihusu sana.
Solution ni train za mji, mtu atapandaje mwendokasi na huku unabanwa huna hata pakupumulia? kupanda mwendokasi ni kutafuta TB tupu
 
Afrika, siasa inayoongozwa na failures na wasio na akili ndio tunaitegemea kutengeneza road map.
Mwana siasa ndio Yuko kwenye vitengo vya kuja na majibu kama TanRoads?

Mwanasiasa anawategemea nyie mnaojiita Wataalamu mtakachosema ndio anaki champion.

Punguza ujinga basi.
 
Huwa nawaambia mara nyingi viongozi wa Afrika wengi hawana akili za kutatua matatizo. Toka mradi wa Mwendo kasi uwasaidie watu kupiga pesa sasa imekuwa kila barabara inalazimishwa mwendokasi.

Haya fanya utafiti wa ufanisi wa mwendokasi sehemu ambazo tayari ipo. Huduma ni dhaifu , usafiri umekuwa wa kikafiri. Ingawa suala la kuwahi linakuwepo wakati mwingine.

Lakini kuna magari machache na haushawishi watu waache magari yao na kupanda mwendo kasi.

Ufinyu wa kufikiria unawafanya hawa viongozi walazimishe kila sehemu mwendo kasi na kusababisha kufinya barabara mfano pale chang'ombe kale kakipande kwa mwendokasi kamesabisha single lane na foleni kubwa eneo hilo sababu tu walitaka iwepo mwendo kasi.

Kuna maeneo mengi solution ilikuwa ili kupunguza folen ziwepo barabara jumla sita wao wamebakiza mbili na kuongeza mwendo kasi. Baada ya miaka 10 tena wataomba pesa za kupanua barabara.

Kwa akili ya kawaida tu walipaswa kuelewa kuwa kwa sasa sehemu nyingi zenye barabara moja zilihitaji mbili na zenye mbili zilihitaji nne na kuendelea mpaka 6 yaani tatu kwenda tatu kurudi.

Barabara ya airport pamoja na kuweka mwendokasi bado ilihitaji njia 6 na si 4 kama awali. Ili kurahisisha safari na kuondoa foleni. Ila sababu watu hawataki kufikiri wamefanya yale yale kwa akili ile ile. Ili waendelee kupiga pesa kupitia mradi huu wa mwendokasi.

Hii barabara ya njia sita ilipaswa itanuliwe angalau isiogezwe mpaka Chalinze na baadaye Morogoro. Lakini sidhani kuna kiongozi ana maono hayo. Watu wamelala tu kama kuku wenye mdondo. Wamekosa maono.

Tukiwaambia mtupe hizo kazi fufanye mnatutishia na kutaka kutuondolea maisha. Mnataka wote tuimbe nyimbo za sifa na kuabudu. Haiwezekani.

Anyway ngoja nile kwa urefu wa kamba yangu haya mengine hayanihusu sana.

IMG_4789.jpg

IMG_4799.jpg

Nan hapo mvivu wa kufikiri anaelilia mabwana wa kiarabu huku ana mke au watz!!

kweli mwanamke hawez kaa na mwanaume bwabwa kama huyu
 
👍👌👏🙏💐🎁🔊🆒
 
Back
Top Bottom