Waziri anayetumia V8 kuchungia ng'ombe ni nani?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,780
218,404
Screenshot_2024-01-24-13-14-52-1.png

Yapo mambo yaliyoibuliwa kwenye haya Maandamano tunayoendelea nayo yanasisimua sana .

Imeibuka Taarifa kwamba yuko Waziri mwenye ng'ombe wengi sana , ambaye anatumia V8 kuchungia mifugo hiyo , yaani iko hivi , wachunga ng'ombe walioajiriwa na Mh huyo wamepewa V8 Kufuatilia ng'ombe hao huko porini , sijui kama mnanielewa ?

Yaani Nchi hii ambayo 90% ya Raia wake wanaitwa Wanyonge V8 inachungia ng'ombe !

Nakulilia Tanzania .
 
View attachment 2881463

Shida iko wapi kama amenunua kwa Pesa zake binafsi ,,, The fact kwamba Ana ng’ombe wengi atakuwa na uwezo huo obvious
 
Sasa nawe kwa akili yako Timamu unaanzia wapi kumsikiliza na kumuamini mtu kama Mdude Nyagali? Maana hapo anapozungumza lazima tayari ameshajifukiza moshi wake wa majani kichwani pake. Maana angekuwa na taarifa za ukweli na sahihi zisizo na shaka na ni jasiri na anao uhakika wa hayo azungumzayo angemtaja huyo waziri pamoja na eneo waliko hao ng'ombe.

Angeweka hata ushahidi wa picha ya hilo gari,maana anaposema hivyo anamaanisha na kutuaminisha kuwa ameliona hilo gari au kuonyeshwa picha za gari.

Mimi Mwashambwa Lucas ieleweke ya kuwa kamwe sitetei wala kumtetea mtu anayeweza kuchezea mali za umma maana ni kodi zetu sote watanzania. Nachopinga na kupingana nacho ni habari ambazo CHADEMA na vijana wake wamekuwa wakipenda kuzusha vitu pasipo kuwa na taarifa wala ukweli wala ushahidi wala uhakika.

Ni Mdude Nyagali huyo huyo kwa akili zake za hovyo kuna siku aliweka picha mtandaoni kule twitter ya Benjamini Netanyau wakiwa na mwanae .na akasema kuwa Benjamini Netanyau ambaye ni waziri Mkuu wa Israel alikuwa akiagana na mwanae ambaye alikuwa anaelekea vitani kupambana na Hamasa, jambo ambalo lilikuwa ni la uongo mkubwa sana na upotoshaji,kwa kuwa picha hiyo ilikuwa ni ya muda mrefu na ilikuwa haihusiani na vita inayoendelea kwa sasa.lakini kabla ya kuambiwa kuwa alikuwa amepotosha alishangiliwa sana na nyumbu wa CHADEMA kama kawaida yao ya kunyonya na kubeba kila kitu kama madodoki .maana Wenyewe hawanaga muda wa kujisomea wala kutafuta ukweli wa taarifa wala kufanya utafiti wa kina.

ndio maana wao ni kuburuzwa tu na kupotoshwa kwa mambo mengi.ndio maana silaha yao kubwa huwa ni matusi tu midomoni mwao kama vichaa au wendawazimu

Kumbuka ni hawa hawa CHADEMA wakiwepo hawa wavuta bangi akina Mdude Nyagali walizusha na kumzushia ujinga Mheshimiwa Makamu wetu wa Rais .mwisho wa siku kila mtanzania anajua kuwa taarifa zao zilikuwa ni uongo na uzushi.

Je walishakuja tena hadharani kuomba msamaha kwa uzushi na uongo wao? Je walishakuja kuliomba msamaha Taifa.? CHADEMA na vijana wake wanaendeshwa na mihemuko badala ya kutumia akili .ni vijana wa hovyo sana wasio na nidhamu wala adabu zaidi ya uropokaji na ukurupukaji tu.
 
View attachment 2881463

Yapo mambo yaliyoibuliwa kwenye haya Maandamano tunayoendelea nayo yanasisimua sana .

Imeibuka Taarifa kwamba yuko Waziri mwenye ng'ombe wengi sana , ambaye anatumia V8 kuchungia mifugo hiyo , yaani iko hivi , wachunga ng'ombe walioajiriwa na Mh huyo wamepewa V8 Kufuatilia ng'ombe hao huko porini , sijui kama mnanielewa ?

Yaani Nchi hii ambayo 90% ya Raia wake wanaitwa Wanyonge V8 inachungia ng'ombe !

Nakulilia Tanzania .
Bora hata huyo katafuta matumizi fulani hivi ya kibunifu!
Kuna mawaziri wanatumia hizo Vii-eite kusumbua wake za watu!
Kuna wengine wanatumia kwenye kuzindua miradi ambayo ingezinduliwa hata kwa misafara ya miguu.
 
Sasa nawe kwa akili yako Timamu unaanzia wapi kumsikiliza na kumuamini mtu kama Mdude Nyagali? Maana hapo anapozungumza lazima tayari ameshajifukiza moshi wake wa majani kichwani pake. Maana angekuwa na taarifa za ukweli na sahihi zisizo na shaka na ni jasiri na anao uhakika wa hayo azungumzayo angemtaja huyo waziri pamoja na eneo waliko hao ng'ombe.

Angeweza hata ushahidi wa picha ya hilo gari,maana anaposema hivyo anamaanisha na kutuaminisha kuwa ameliona hilo gari au kuonyeshwa picha za gari.

Mimi Mwashambwa Lucas ieleweke ya kuwa kamwe sitetei wala kumtetea mtu anayeweza kuchezea mali za umma maana ni kodi zetu sote watanzania. Nachopinga na kupingana nacho ni habari ambazo CHADEMA na vijana wake wamekuwa wakipenda kuzusha vitu pasipo kuwa na taarifa wala ukweli wala ushahidi wala uhakika.

Ni Mdude Nyagali huyo huyo kwa akili zake za hovyo kuna siku aliweka picha mtandaoni kule twitter ya Benjamini Netanyau wakiwa na mwanae .na akasema kuwa Benjamini Netanyau ambaye ni waziri Mkuu wa Israel alikuwa akiagana na mwanae ambaye alikuwa anaelekea vitani kupambana na Hamasa, jambo ambalo lilikuwa ni la uongo mkubwa sana na upotoshaji,kwa kuwa picha hiyo ilikuwa ni ya muda mrefu na ilikuwa haihusiani na vita inayoendelea bkwa sasa.lakini kabla ya kuambiwa kuwa alikuwa amepotosha alishangiliwa sana na nyumbu wa CHADEMA kama kawaida yao ya kunyonya na kubeba kila kitu kama madodoki .maana Wenyewe hawanaga muda wa kujisomea wala kutafuta ukweli wa taarifa

ndio maana wao ni kuburuzwa tu na kupotoshwa kwa mambo mengi.ndio maana silaha yao kubwa huwa ni matusi tu midomoni mwao kama vichaa au wendawazimu

Kumbuka ni hawa hawa CHADEMA wakiwepo hawa wavuta bangi akina Mdude Nyagali walizusha na kumzushia ujinga Mheshimiwa Makamu wetu wa Rais .mwisho wa siku kila mtanzania anajua kuwa taarifa zao zilikuwa ni uongo na uzushi.

Je walishakuja tena hadharani kuomba msamaha kwa uzushi na uongo wao? Je walishakuja kuliomba msamaha Taifa.? CHADEMA na vijana wake wanaendeshwa na mihemuko badala ya kutumia akili .ni vijana wa hovyo sana wasio na nidhamu wala adabu zaidi ya uropokaji tu
Wewe mbwiga Lucas mwashambwa 100 ni sawa na Mdude 1. Wewe ni taahira kila mtu hapa jukwaani anakupuuza tu. Yaani wewe ni takataka kabisa
 
Huyu Mdude nadhani mahali anapostahili ni Mirembe afya ya akili yake iangaliwe
 
Back
Top Bottom