Nimefuatilia mahojiano ya Godbless Lema na Odemba Star TV na hizi ndio findings zangu

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
56,542
93,184
•Lema ni mwanasiasa mzuri Sana lakini apunguze ego.

• Lema afuate protocol za interview kumpa nafasi muongoza kipindi ili mahojiano yaende Kwa mtiririko unaofaa badala ya kutaka kuongea yeye tu kama chiriku anaharibu.

• Lema amebarikiwa akili na upeo mkubwa Sana lakini amenyimwa kipawa cha kuwa statesman kama Mungu alivyombariki Freeman Mbowe ( huyu mtu ni next level super diplomatic figure)

• Lema na Sugu ni vijana wenye talent inayolinganga kwenye IQ lakini pia Wana shida zinazofanana at least Lema huwa hawalingishii nguo na Miwani ya gharama Watanzania maskini hii ni shida ya Sugu peke yake, point hapa Lema ajifunze unyenyekevu na ajijuwe yeye ni binadamu pia ana mapungufu yake.

Kwa mliofuatilia intervie Ile Jana usiku Jumamosi mnaweza kuongezea ili kumjenga na kumuweka sawa Lema, ni kijana smart Sana kichwani ila tatizo nalioña ana over confidence kubwa ambayo mtu makini akikusikiliza ni tatizo pia unaweza ku-abuse authority nyingine bila kujua huku ukidhani unatumia freedom of speech.
 
Hizo weakness zote ulizotaja halafu useme ana akili na iq kubwa?
Watu wenye majivuno Wengi 'hawana akili'...
Lema ni mganga njaa ...aliekuwa street thug akaja kudondokea kwenye siasa...Hana cha ajabu zaidi ya kuwa mkosoaji Tu kama wakosoaji wengine...
Kukosoa hakukufanyi kuwa kiongozi...
Lema..ni overrated Sana na wanachadema
 
Lema na Dr Matola PhD ni sawa. Kilaza anamsifia kilaza mwenzie
 
Akiacha kujipa umuhimu wa zaidi ya binadamu, kujihesabia haki, kuhukumu wengine na kujifanya ni binadamu yake Mungu, G.Lema ni mtu mzuri na zaidi ni mwanasiasa mahiri tu...

nadhani hata historia yake inaonyesha alikua ni mtu wa gizani na Mungu akambariki akaiona Nuru na hivi sasa G.Lema anatamani awe zaidi ya Mungu..
Akirekebisha hiyo tamaa tu , nadhani anaweza kua mtu mzuri anaeungwa mkono positively kila upande wa nchi hii...

Mwenyezi Mungu amjalie hekima na Busara za kibinadamu 🐒
 
Hizo weakness zote ulizotaja halafu useme ana akili na iq kubwa?
Watu wenye majivuno Wengi 'hawana akili'...
Lema ni mganga njaa ...aliekuwa street thug akaja kudondokea kwenye siasa...Hana cha ajabu zaidi ya kuwa mkosoaji Tu kama wakosoaji wengine...
Kukosoa hakukufanyi kuwa kiongozi...
Lema..ni overrated Sana na wanachadema
Atlest Lema anaitumia akili yake kwa uhuru, hajashikiwa akili na yeyote wala imani yake, penye zuri atasifia bila kujali nani anayemsifia, na penye baya atakemea bila kujali nani anamkemea.

Huwezi kuwa na akili timamu ikiwa huitumii kwa uhuru, unakuwa huna tofauti na panya aliyefungiwa ndani ya box.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Akiacha kujipa umuhimu wa zaidi ya binadamu, kujihesabia haki, kuhukumu wengine na kujifanya ni binadamu yake Mungu, G.Lema ni mtu mzuri na zaidi ni mwanasiasa mahiri tu...

nadhani hata historia yake inaonyesha alikua ni mtu wa gizani na Mungu akambatika akaiona Nuru na hivi sasa G.Lema anatamani awe zaidi ya Mungu..
Akirekebisha hiyo tamaa tu , nadhani anaweza kua mtu mzuri anaeungwa mkono positively kila upande wa nchi hii...

Mwenyezi Mungu amjalie hekima na Busara za kibinadamu 🐒
GODBLESS LEMA soma hii post Kwa makini.
 
Hizo weakness zote ulizotaja halafu useme ana akili na iq kubwa?
Watu wenye majivuno Wengi 'hawana akili'...
Lema ni mganga njaa ...aliekuwa street thug akaja kudondokea kwenye siasa...Hana cha ajabu zaidi ya kuwa mkosoaji Tu kama wakosoaji wengine...
Kukosoa hakukufanyi kuwa kiongozi...
Lema..ni overrated Sana na wanachadema
Wewe ni chawa,
 
•Lema ni mwanasiasa mzuri Sana lakini apunguze ego.

• Lema afuate protocol za interview kumpa nafasi muongoza kipindi ili mahojiano yaende Kwa mtiririko unaofaa badala ya kutaka kuongea yeye tu kama chiriku anaharibu.

• Lema amebarikiwa akili na upeo mkubwa Sana lakini amenyimwa kipawa cha kuwa statesman kama Mungu alivyombariki Freeman Mbowe ( huyu mtu ni next level super diplomatic figure)

• Lema na Sugu ni vijana wenye talent inayolinganga kwenye IQ lakini pia Wana shida zinazofanana at least Lema huwa hawalingishii nguo na Miwani ya gharama Watanzania maskini hii ni shida ya Sugu peke yake, point hapa Lema ajifunze unyenyekevu na ajijuwe yeye ni binadamu pia ana mapungufu yake.

Kwa mliofuatilia intervie Ile Jana usiku jumamosi mnaweza kuongezea ili kumjenga na kumuweka sawa Lema, ni kijana smart Sana kichwani ila tatizo nalioña ana over confidence kubwa ambayo mtu makini akikusikiliza ni tatizo pia unaweza ku-abuse authority nyingine bila kujuwa huku ukidhani unatumia freedom of speech.
Kumsikiliza Lema ni kukosa jambo la kufanya
 
Afadhali wewe umesema.
Kumsikiliza Lema ni kukosa jambo la kufanya
Hizo weakness zote ulizotaja halafu useme ana akili na iq kubwa?
Watu wenye majivuno Wengi 'hawana akili'...
Lema ni mganga njaa ...aliekuwa street thug akaja kudondokea kwenye siasa...Hana cha ajabu zaidi ya kuwa mkosoaji Tu kama wakosoaji wengine...
Kukosoa hakukufanyi kuwa kiongozi...
Lema..ni overrated Sana na wanachadema
Punguzeni chuki au ikibidi muachane nazo.Mtajikuta mmetengeneza six-packs usoni kwa nongwa zenu.
 
Back
Top Bottom