Ziara ya Paul Makonda imeibua tuhuma mbalimbali dhidi ya Jeshi la Polisi

LESIRIAMU

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
8,721
13,959
Kwa tunaofuatilia mikutano ya mwenezi wa CCM ndugu Makonda, tutakubaliana kuna shida kubwa sana kwenye Jeshi la Polisi.

Kumekuwa na malalamiko ya watu kuporwa pesa na polisi, kumekuwa na shutuma za watu kupotea wakiwa mikononi mwa polisi. Tumesikia rushwa ndani ya jeshi la polisi. Tume sikia watu kuumizwa na polisi, kesi za kubambika n.k

Nadhani sasa ni muda muafaka Mwenye mamlaka ya uteuzi afanye reform ndani ya jeshi hili. Na aanze na Waziri, IGP, RPCs na ashuke hadi chini.

Hatuna tena imani na Polisi.
Tumuulize Mh, Rais ile ripoti ya Haki jinai, iliyo tumia pesa zetu nyingi na kupokelewa kwa mbwembwe ame itupa wapi?
 
Kwa tunaofuatilia mikutano ya mwenezi wa CCM ndugu Makonda, tutakubaliana kuna shida kubwa sana kwenye Jeshi la Polisi.

Kumekuwa na malalamiko ya watu kuporwa pesa na polisi, kumekuwa na shutuma za watu kupotea wakiwa mikononi mwa polisi. Tumesikia rushwa ndani ya jeshi la polisi.

Nadhani sasa ni muda muafaka Mwenye mamlaka ya uteuzi afanye reform ndani ya jeshi hili. Na aanze na Waziri, IGP, RPCs na ashuke hadi chini.

Hatuna tena imani na Polisi.
Kwa nini IGP anakubali Jeshi linachafuka Kwa sababu ya askari wachache ambao wametajwa Kwa majina na wanatuhumiwa? Kwa nini wasiwekwe Nje Ili Haki itendeke?
 
Huyo IGP si ndio walitumika na dhalimu magu kumbambikia kesi Mbowe? Jeshi la polisi ni kundi la wahalifu waliopo kisheria. Na hakuna lolote watafanywa, maana ni wahalifu walio na baraka za chama kinachotawala nchi hii.
 
Hata ukiwabadilisha wote hao ni yale yale tu.Unamuondoa nyani unamweka ngedere.Wote hao wamo ndani ya mfumo huo huo 'corrupt.' Tupo zama za udhalimu na madhalimu.
 
Kwa tunaofuatilia mikutano ya mwenezi wa CCM ndugu Makonda, tutakubaliana kuna shida kubwa sana kwenye Jeshi la Polisi.

Kumekuwa na malalamiko ya watu kuporwa pesa na polisi, kumekuwa na shutuma za watu kupotea wakiwa mikononi mwa polisi. Tumesikia rushwa ndani ya jeshi la polisi.

Nadhani sasa ni muda muafaka Mwenye mamlaka ya uteuzi afanye reform ndani ya jeshi hili. Na aanze na Waziri, IGP, RPCs na ashuke hadi chini.

Hatuna tena imani na Polisi.
Naona wamrudishe kangi lugola
 
Unataka kusema haya yamejulikana baada ya Makonda kufanya ziara? Unaishi nchi ya wapi? Mbona haya ni malalamiko ya siku nyingi mno na tunaodai katiba mpya ni kwa sababu ya mambo kama haya?
 
Kwa tunaofuatilia mikutano ya mwenezi wa CCM ndugu Makonda, tutakubaliana kuna shida kubwa sana kwenye Jeshi la Polisi.

Kumekuwa na malalamiko ya watu kuporwa pesa na polisi, kumekuwa na shutuma za watu kupotea wakiwa mikononi mwa polisi. Tumesikia rushwa ndani ya jeshi la polisi.

Nadhani sasa ni muda muafaka Mwenye mamlaka ya uteuzi afanye reform ndani ya jeshi hili. Na aanze na Waziri, IGP, RPCs na ashuke hadi chini.

Hatuna tena imani na Polisi.
Muhimu ni subra na ustahimilivu maadamu imejulikana...
 
muhimu ni subra na ustahimilivu maadamu imejulikana...
Hakuna subira hapa, polisi wame kuwa na lawama nyingi, Mama amekaa kimya, sisi tuna tumia hakuna anae jali. Wananchi wame toa gubu lao mbele ya chama chao

Najua Ccm iko hapo ilipo kwa msaada wa polisi na taasisi nyingine za usalama, lakini hizo taasisi zisiwe kichwa ngumu kwa kudhani CCM ita endelea kuwalinda.

Polisi watimize majukumu yao kikatiba. Na sio wawe majambazi.
 
Kwa tunaofuatilia mikutano ya mwenezi wa CCM ndugu Makonda, tutakubaliana kuna shida kubwa sana kwenye Jeshi la Polisi.

Kumekuwa na malalamiko ya watu kuporwa pesa na polisi, kumekuwa na shutuma za watu kupotea wakiwa mikononi mwa polisi. Tumesikia rushwa ndani ya jeshi la polisi.

Nadhani sasa ni muda muafaka Mwenye mamlaka ya uteuzi afanye reform ndani ya jeshi hili. Na aanze na Waziri, IGP, RPCs na ashuke hadi chini.

Hatuna tena imani na Polisi.
Polisi ni wahuni tu.
 
Hakuna subira hapa, polisi wame kuwa na lawama nyingi, Mama amekaa kimya, sisi tuna tumia hakuna anae jali. Wananchi wame toa gubu lao mbele ya chama chao
Najua Ccm iko hapo ilipo kwa msaada wa polisi na taasisi nyingine za usalama, lakini hizo taasisi zisiwe kichwa ngumu kwa kudhani Ccm ita endelea kuwalinda.
Polisi watimize majukumu yao kikatiba. Na sio wawe majambazi.
Reform in Police Force. Ripoti ya Tume Jinai iko wapi
 
Back
Top Bottom