Mfumo ni nini? Mazingira ni nini?

ruaharuaha

JF-Expert Member
Feb 14, 2018
3,554
3,750
Nyuzi zangu zote huwa zinapotezwa, ukibaki huu, nauliza Mfumo ni nini?

Ni Mazingira ya kuwasaidia walalahoi wainuke au ni mazingira ya kuchukua kila cha walalahoi?
 
sijaelewa ila kwa ufupi tu,mfumo ni utaratibu au mpangilio ikiwa upo kwenye taasisi mfumo ni zile policies,rule and regulation,code of ethics..
 
sijaelewa ila kwa ufupi tu,mfumo ni utaratibu au mpangilio ikiwa upo kwenye taasisi mfumo ni zile policies,rule and regulation,code of ethics.. Hi hiivi dunia yote inajengwa na mifumo. Kuna ya wababe kama USA na CCM na vibaraka vyao kwa hapa kwetu. Mifumo badala ya kukusaidia wewe, imejengwa upige kelele ilhalii haki hako inapotea.

Kiufupi mifumo ni mazingira, Mazingira ya kuwasaidia milioni 60. Sasa hivi mfumo wetu ni kuwasaidia na kuimba mambio kwa 5%
 
sijaelewa ila kwa ufupi tu,mfumo ni utaratibu au mpangilio ikiwa upo kwenye taasisi mfumo ni zile policies,rule and regulation,code of ethics..
Mfumo wetu unamsadia nani? Kwa maslahi ya nani?
Mfano issue ya umeme? Mfumo ulio thabiti ungefanyaje kuthibiti bei, kutoa umeme. kuthibiti ukataji wa umeme holela, maji, rushwa, mfumuko wa bei?
 
Back
Top Bottom