Duhtanzania ndio nchi pekee ccm inapenda wajinga waongoze nchi kama matokeo ya shule ya sekondari kizimkazi
Sasa habari za madeni ya Lema zinaingiaje kwenye uzi huu?Hivi Lemma amemaliza kulipa madeni yake? Karibu benki zote zinamdai wakati akiwa ughaibuni, na nyumba zake Dar na Arusha ilikuwa zipigwe mnada.
Pia alimponza kaka yake aliyekuwa akimiliki Villa Park Mwanza mpaka akafungiwa. Aliigeuza Villa Park ofisi ya Chadema ya Mkoa, wakati Villa Park alikuwa kapanga katika eneo la CCM.
Hutaki kuyasikia?Sasa habari za madeni ya Lema zinaingiaje kwenye uzi huu?
aah wapi,kawaweka mimba na watoto mmezaa tunawaona mkilea tu.Aliufyata mhutu hadi leo hii nchi imetulia
Wajitoa ufaham sio!Makonda anawatesa sana machadema!
Mlisemaga akitoka madarakani mtamshughulikia, ila kakaa bila cheo muda wote na leo kapewa cheo bado anawachachafya huku mmeufyata.
Mara abebe ndizi, mara apande TrelaMbunge wa zamani wa Arusha juu ya Makonda inafikirisha sana na kuogofya.
Nafikiri mh Lema anajiamini sana kupitiliza kwenye taifa linalo on ongozwa na ccm.
Naomba tumsikilize kwa makini alafu tujadili.View attachment 2886672