Makonda Apokelewa kwa Kishindo na Tabasamu Lenye Upendo Kutoka kwa Wananchi wa Maswa - Simiyu

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,900
944
MAKONDA APOKELEWA KWA KISHINDO NA TABASAMU LENYE UPENDO KUTOKA KWA WANANCHI WA MASWA - SIMIYU

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda leo Jumatatu tarehe 29 Januari, 2024 , amepokelewa kwa kishindi na Wananchi wa Maswa walionesha tabasamu lenye upendo wa kweli kutoka kwao.

Mwenezi Makonda amewasili Mkoani Simiyu kwa ziara ya siki moja mkoani huo ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya mikoa 20 Back To Back.

GFAFuPeXMAAcXDu.jpg
GFAFuPhW4AAKUMe.jpg
GFAFuPhXUAEe4R1.jpg
GFAFuPhWsAA7JeG.jpg
 
MAKONDA APOKELEWA KWA KISHINDO NA TABASAMU LENYE UPENDO KUTOKA KWA WANANCHI WA MASWA - SIMIYU

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda leo Jumatatu tarehe 29 Januari, 2024 , amepokelewa kwa kishindi na Wananchi wa Maswa walionesha tabasamu lenye upendo wa kweli kutoka kwao.

Mwenezi Makonda amewasili Mkoani Simiyu kwa ziara ya siki moja mkoani huo ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya mikoa 20 Back To Back.
wanasombwa hao kuleta wingi, all in all majibu halisi ni kwenye ballot box penye tume huru, short of that mnajidanganya
 
MAKONDA APOKELEWA KWA KISHINDO NA TABASAMU LENYE UPENDO KUTOKA KWA WANANCHI WA MASWA - SIMIYU

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda leo Jumatatu tarehe 29 Januari, 2024 , amepokelewa kwa kishindi na Wananchi wa Maswa walionesha tabasamu lenye upendo wa kweli kutoka kwao.

Mwenezi Makonda amewasili Mkoani Simiyu kwa ziara ya siki moja mkoani huo ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya mikoa 20 Back To Back.

View attachment 2887192View attachment 2887193View attachment 2887194View attachment 2887195
Ni utapeli mtupu tu huu. Hakuna any political mileage CCM inapata zaidi ya huyu Nyamitako kujijenga.

Katika mikoa aliyopita hakuna kero hata moja aliyotatua. Mfano jimbo la Kawe aliahidi makatapila 20, mpaka leo ni siku 14 hakuna hata katapila moja
 
MAKONDA APOKELEWA KWA KISHINDO NA TABASAMU LENYE UPENDO KUTOKA KWA WANANCHI WA MASWA - SIMIYU

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda leo Jumatatu tarehe 29 Januari, 2024 , amepokelewa kwa kishindi na Wananchi wa Maswa walionesha tabasamu lenye upendo wa kweli kutoka kwao.

Mwenezi Makonda amewasili Mkoani Simiyu kwa ziara ya siki moja mkoani huo ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya mikoa 20 Back To Back.

View attachment 2887192View attachment 2887193View attachment 2887194View attachment 2887195
Hamna lolote hapo,watu wanajazana kwasababu wanamatatizo sawa na wakati wa Babu wa Loliondo tu
Hapo Makonda anatumika kama mganga wa kienyeji tu watu wanaenda kumuona mtu mkatili alivyorudi Kwa nguvu kimaajabu
Hakunalolote hapo
 
Back
Top Bottom