Makonda ameibua mengi Shinyanga, wananchi wengi wamedhulumiwa haki zao

iyokichiku

Member
Oct 30, 2023
36
70
Ziara ya katibu itikadi uenezi na mafunzo wa CCM siyo ya kubeza. Ziara hii ni karata muhimu Sana kwa Serikali. Nimeona watu wakitoa kero ya kupoteza wenzi wao kutokana na dhuluma ya Mali zao, wengine wakitekwa na kupotezwa hawajulikani walipo utadhani viongozi ngazi ya Kijiji, kata, wilaya na mkoa hawapo.

Mkoa uliovunja rekodi kwa unyanyasaji, kudhulumu wananchi, kubambikia kesi, naweza kusema ni Shinyanga.
 
Tukiweka pembeni itikadi za kisiasa,ziara ya makonda si ya kubeza! Mimi sio muumini wa siasa za bongo lakini baada ya kupata mda na kuchungulia channel ten Jana jion ndio nikauona uozo wa viongozi wa juu hasa wakuu wa mikoa,ma RPC!

Kivyovyote vile,iwe kisiasa ama kiuchawa, ziara ya makonda inawaumbua viongozi wa ngazi za juu kwa madudu ya kutisha wanayofanya,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wakati Makonda anawaumbuwa hao, ukimuwekea na yeye chombo cha kufuatilia nyuma ya pazia ya hizo ziara ndio hutokaa uwaamini wanasiasa.

Hapo kwenye hiyo ziara zinapigwa pesa huku akiwaaminisha wajinga wenzake anatetea wanyonge.

Akimaliza hiyo ziara ni uwamuzi wake ajenge ghorofa wapi Mbezi Beach au Mwanza, hayo ni matunda ya ziara tu.
 
Makonda anawalazimisha watu kumfuatilia, kwasababu siasa zetu zimekaa kimatukio, basi tukio linaloendelea ku trend kwa sasa ni ziara za Makonda mikoani.

Hapo wakutukana atukane, na wakusifia asifie, ila jamaa amekamata attention, unless Chadema waje na maandamano mengine, au nao waanze mikutano yao mikoani.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
HATA ASHUKE MALAIKA LEO AKIJIUNGA NA CCM ANAKUA JAMBAZI MWIZI NA MNAFIKI KM MAKONDA
 
Tukiweka pembeni itikadi za kisiasa,ziara ya makonda si ya kubeza! Mimi sio muumini wa siasa za bongo lakini baada ya kupata mda na kuchungulia channel ten Jana jion ndio nikauona uozo wa viongozi wa juu hasa wakuu wa mikoa,ma RPC!

Kivyovyote vile,iwe kisiasa ama kiuchawa, ziara ya makonda inawaumbua viongozi wa ngazi za juu kwa madudu ya kutisha wanayofanya,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hapa sio swala la Makonda AKA Bashite Daud brain 0.!
Hapa ni Katiba Katiba na Tume Huru!
Pia viongozi wa CCM ni wa kupewa kama zawadi! Hakuna chaguzi ya haki ni walewale na walishazoea kupeana!

Bila kuilaza CCM hakuna kitachofanyika.
Polisi wenyewe walishajinasibu ni wa CCM !!

Ni jinsi gani unategemea haki iwepo.
Wanabambikia watu makes na watekaji ndio wenyewe.

Mheshimiwa JOHN HECHE hakukosea kwenye mazungumzo yake na waandishi wa Habari.
Musima.wamepotezwa wengi..

Hili la Makonda anatafuta umaarufu wake binafsi na sio Chama kwa maana UOZO wote uko humu CCM kwenyewe.
Sasa tumuulize mwenyekiti wetu Taifa nini au Nani alimshauri huyu muuaji na mkandamizaji haki za watu anaweza kuwa msemea Chama!.

Tafakarini sana hili.
 
Ziara ya katibu itikadi uenezi na mafunzo wa CCM siyo ya kubeza. Ziara hii ni karata muhimu Sana kwa Serikali. Nimeona watu wakitoa kero ya kupoteza wenzi wao kutokana na dhuluma ya Mali zao, wengine wakitekwa na kupotezwa hawajulikani walipo utadhani viongozi ngazi ya Kijiji, kata, wilaya na mkoa hawapo.

Mkoa uliovunja rekodi kwa unyanyasaji, kudhulumu wananchi, kubambikia kesi, naweza kusema ni Shinyanga.
Mhu! Chama chake ndicho kinachoongoza serikali. Thuluma hizo zinatoka kwa nani? Nani ameshindwa kuondoa hiyo dhuluma? Ni Chadema au vyama vingine vya upinzani? Ni kama kujitekenya, halafu unacheka mwenyewe.
 
Wakati Makonda anawaumbuwa hao, ukimuwekea na yeye chombo cha kufuatilia nyuma ya pazia ya hizo ziara ndio hutokaa uwaamini wanasiasa.

Hapo kwenye hiyo ziara zinapigwa pesa huku akiwaaminisha wajinga wenzake anatetea wanyonge.

Akimaliza hiyo ziara ni uwamuzi wake ajenge ghorofa wapi Mbezi Beach au Mwanza, hayo ni matunda ya ziara tu.
Shilingi zimepigwa?
Kenge wewe,unaishi kwa kuhisi tu
 
Mimi naona kama ni michezo ya kuigiza! Mpaka Mwenezi anakuja kuibua hizo changamoto na kero za wananchi, serikali ya Chama chake ilikuwa wapi?
 
Makonda anawalazimisha watu kumfuatilia, kwasababu siasa zetu zimekaa kimatukio, basi tukio linaloendelea ku trend kwa sasa ni ziara za Makonda mikoani.

Hapo wakutukana atukane, na wakusifia asifie, ila jamaa amekamata attention, unless Chadema waje na maandamano mengine, au nao waanze mikutano yao mikoani.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
No Hapana
Ukweli nikwamba CCM wamesha jikaanga na mafuta Yao

Kinacho enda kutokea katika kipindi Cha mikutano ya kampeni ya uchagizi ujao ni
Wananchi watakuwa wengi Sana huku wamebeba mabango ya malalamiko
Hapo ndipo kujikaanga kwenyewe

Hili andiko hamtakuja kulisahau!!!
 
Mkoa uliovunja rekodi kwa unyanyasaji, kudhulumu wananchi, kubambikia kesi, naweza kusema ni Shinyanga.
Vipi hio mikoa itakua inaongozwa na CHADEMA sio bure. CCC wanawapenda watu wake, nchi ya kijani Hii..... konyo kabisa
 
Ziara ya katibu itikadi uenezi na mafunzo wa CCM siyo ya kubeza. Ziara hii ni karata muhimu Sana kwa Serikali. Nimeona watu wakitoa kero ya kupoteza wenzi wao kutokana na dhuluma ya Mali zao, wengine wakitekwa na kupotezwa hawajulikani walipo utadhani viongozi ngazi ya Kijiji, kata, wilaya na mkoa hawapo.

Mkoa uliovunja rekodi kwa unyanyasaji, kudhulumu wananchi, kubambikia kesi, naweza kusema ni Shinyanga.

..Lissu alipokuwa akisema serikali ya Ccm inaua wananchi mlimuita muongo na mchochezi.

..Je, kinachojitokeza ktk mikutano ya Makonda hakithibitishi udhalimu wa serikali ya Ccm ambao Lissu amekuwa akiupiga vita ktk kanda ya ziwa?

..msikilize Lissu katika video hapo chini kuanzia dk 38.

View: https://www.youtube.com/watch?v=9zFt-zIeciA

Cc Tindo, bagamoyo
 
Ziara ya katibu itikadi uenezi na mafunzo wa CCM siyo ya kubeza. Ziara hii ni karata muhimu Sana kwa Serikali. Nimeona watu wakitoa kero ya kupoteza wenzi wao kutokana na dhuluma ya Mali zao, wengine wakitekwa na kupotezwa hawajulikani walipo utadhani viongozi ngazi ya Kijiji, kata, wilaya na mkoa hawapo.

Mkoa uliovunja rekodi kwa unyanyasaji, kudhulumu wananchi, kubambikia kesi, naweza kusema ni Shinyanga.
Kwa nini wasipeleke Mswaada Bungeni kutunga sherua ngumu sana dhidi ya wadhurumaji?
 
Mhu! Chama chake ndicho kinachoongoza serikali. Thuluma hizo zinatoka kwa nani? Nani ameshindwa kuondoa hiyo dhuluma? Ni Chadema au vyama vingine vya upinzani? Ni kama kujitekenya, halafu unacheka mwenyewe.
Anajijenga yeye sio Chama chake. !
 
Back
Top Bottom