Wana CCM wanakerwa na Makonda ila wanataka madaraka; wamebaki kukimbizwa na misafara watoto wasikose ada

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
887
4,133
Kanda ya Ziwa wanapiga kelele kuhusu Makonda na namna anavyolazimisha kila mtu atii na kuongozana naye kwenye misafara.

Pamoja na elimu za viongozi wakiwemo wakuu wa mikoa na wilaya bado wamekuwa wakipeleka magari yao kwenye msafara kumpokea, kusimama jukwaa wapopolewe kisha wasindikize avuke mpaka wa wilaya au mkoa ndipo wapumue.

Jambo ajabu wanaamini wasiopenda kwenye mikutano yake watatumbuliwa. Swali lakujiuliza, wataishi hivi hadi lini? Kwanini wasitafute kazi za ziada wawe huru?
 
Umekosa hoja!! Mwamba kawapoteza Moja kwa Moja!!

Kwamba wote wanaojaa kwenye mikutano wamelazimishwa!? Kweli Makonda kawavuruga
 
Kanda ya Ziwa wanapiga kelele kuhusu Makonda na namna anavyolazimisha kila mtu atii na kuongozana naye kwenye misafara.

Pamoja na elimu za viongozi wakiwemo wakuu wa mikoa na wilaya bado wamekuwa wakipeleka magari yao kwenye msafara kumpokea, kusimama jukwaa wapopolewe kisha wasindikize avuke mpaka wa wilaya au mkoa ndipo wapumue.

Jambo ajabu wanaamini wasiopenda kwenye mikutano yake watatumbuliwa. Swali lakujiuliza, wataishi hivi hadi lini? Kwanini wasitafute kazi za ziada wawe huru?
Pamoja na elimu za viongozi wakiwemo wakuu wa mikoa na wilaya bado wamekuwa wakipeleka magari yao kwenye msafara kumpokea, kusimama jukwaa wapopolewe kisha wasindikize avuke mpaka wa wilaya au mkoa ndipo wapumue.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiendekeza NJAA Kuna siku waweza poteza hata UANAUME wako walahi!😂😂😂😂😂
 
Kanda ya Ziwa wanapiga kelele kuhusu Makonda na namna anavyolazimisha kila mtu atii na kuongozana naye kwenye misafara.

Pamoja na elimu za viongozi wakiwemo wakuu wa mikoa na wilaya bado wamekuwa wakipeleka magari yao kwenye msafara kumpokea, kusimama jukwaa wapopolewe kisha wasindikize avuke mpaka wa wilaya au mkoa ndipo wapumue.

Jambo ajabu wanaamini wasiopenda kwenye mikutano yake watatumbuliwa. Swali lakujiuliza, wataishi hivi hadi lini? Kwanini wasitafute kazi za ziada wawe huru?
Kiufupi Makonda kawapoteza Machadema Kwa sababu hawakuyegemea mtu walihe mbrand kama mbaya harafu awe nguzi kuu ya ccm.

Watu wanaondoa kwenye mikutano yake hawajawahi tokea Toka enzi za Lowassa.

Ukimtoa Samia(Rais) ,ni Makonda pekee ndio watu wanaweza acha shughuli zao kwenda kumsikiliza,hili halikutegemewa na Chadema
 
Kanda ya Ziwa wanapiga kelele kuhusu Makonda na namna anavyolazimisha kila mtu atii na kuongozana naye kwenye misafara.

Pamoja na elimu za viongozi wakiwemo wakuu wa mikoa na wilaya bado wamekuwa wakipeleka magari yao kwenye msafara kumpokea, kusimama jukwaa wapopolewe kisha wasindikize avuke mpaka wa wilaya au mkoa ndipo wapumue.

Jambo ajabu wanaamini wasiopenda kwenye mikutano yake watatumbuliwa. Swali lakujiuliza, wataishi hivi hadi lini? Kwanini wasitafute kazi za ziada wawe huru?
Kama Rais Samia kabariki haya maigizo basi CCM inapaswa kujitafakari upya. Mbali na hao watenda wakuu kwenye ngazi za mikoa na wilaya, wafanyakazi wa serikali hasa walimu na wanafunzi ulazimishwa pia kuuzuria mikutano hii ya Makonda. Watendaji si sehemu ya chama, waachwe wawahudumie wananchi.
 
Back
Top Bottom