ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,100
- 49,802
Mkitaka Maendeleo mtu sahihi ni muhimu na lazima.
Baada ya Wana Mbeya kumkacha na kumdamp Sugu na kuamua kwenda na Dr.Tulia Ackson(PhD) ambae ni Spika wa Bunge la JMT na Rais wa Mabunge Duniani,sasa Mbeya imekuwa kama chemchem ya Maendeleo yaani yote yaliyokuwa yamekwama Sasa yameanza kufanyika chini ya mama connection.
Mzee au Babu Sugu (kibaraka wa Beberu USA) asijisumbue kupoteza hela zake za uzeeni kuja Kugombea Mbeya Mjini.Watu wa Mbeya sio mbumbumbu kwamba wakatae Maendelea waje kumchagua Sugu ambae licha ya kuwa Mbunge miaka 10 hana kitu hata Kimoja ambacho anaweza jivunia.
Chini ya Dk.Tulia Mbeya inaenda Kwa Kasi sana kuanzia
-ujenzi barabara kuu ya Njia 4 ya kwanza ndefu Tanzania
-Ujenzi Chuo Kikuu Cha Udsm na Teaching Hospital.
-Ujenzi wa Standi Kuu Mpya ya Mabasi (tenda imetangazwa)
la Bado jambo Moja kubwa la kupata uwanja mkubwa wa Kisasa wa michezo anuwai maana kama unavyojua Mbeya sio tuu kitovu Cha Elimu na wapambanaji balo ni tumbo la uzao wa watu wajasiri na wenye vipaji vya michezo.Teta n Bimkubwa Tupate uwanja.
Hongera sana Kwa kufanikisha upatikanaji wa eneo la ekari 1,000 ambazo JK aliziomba miaka Mingi.Sasa kazi ya Ujenzi ianze mara Moja.
View: https://twitter.com/GiftKimaro7/status/1739995744067793394?t=gN1BV9nKmWeHcg9U_5G9lg&s=19
View: https://youtu.be/qwrOjc76Pag?si=MhRzzApfUU2iDkMq