Dhulma za ardhi ni nyingi, ziara ya Makonda ni Muarobaini

julaibibi

JF-Expert Member
Jun 16, 2020
2,607
3,400
Kwa kweli suala la watu kupigwa na maafsa ardhi au kuzungushwa ni suala mtambuka sana.

Kazi konk back to back ya katibu muenezi, mjumbe wa sekretarieti cde Makonda inaibua hisia kali sana.wewe kama hukuwai kufanya kesi mabaraza ya ardhi huwez kujua adha yake. Ni usumbufu sana.

Sisi tunafurahi sana kuona maafsa ardh wanavyobanwa pale. Huwez kuwa chama tawala af ukose majibu hasa kwa nafasi ya Mwenezi, sasa atakua anaeneza nini akishindwa tu kuuliza ishu kama za ardhi?

Ushauri wangu kwa Mwenezi Makonda
Kwa vile pale jukwaan kwa kweli panataka stamina nami nitoe ushaur ukimaliza mkutano ingia ndan kabla ya kulala pata naziwa fresh watie na manjano mbichi na asali kwa ajili ya sauti inasaidia. Lala mapema kabisa zima simu.

Ziara hizi zinanimalizia bando mana nalazimika kuwa naangalia youtube,na mpango wa kurudisha kadi ya Bawacha.
 
Back
Top Bottom