Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwaka 2000 niliamua kuishi kama Lowasa, nilishawishiwa sana na upendo uliokuwepo ndani ya wana CCM na jamii dhidi yake. Kuna wakati nilichukia matendo yake hasa pale alipokuwa akifanya kampeni za...
0 Reactions
1 Replies
639 Views
Uchaguzi wa 2015 uliendeshwa kidikteta kwenye Vyama karibia vyote Mbowe alibadili gia angani akamleta Lowassa wa CCM na Babu Duni wa CUF Dkt. Slaa na Prof Lipumba ndio waliopinga na wakakaa...
2 Reactions
7 Replies
688 Views
Je, ni kuongeza kura ,wabunge ili kupata Ruzuku kubwa? Au kulikuwa hakuna mgombea anaefaa Chamani . Kama ni ruzuku, je kama hili lilikuwa linatosha kuhalalisha tuhuma zote za ufisadi zilizotolewa...
11 Reactions
103 Replies
6K Views
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu amemjibu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Abdulrahman Kinana juu ya mambo aliyoyaongea jana kuhusu Ruzuku n.k ANGALIA VIDEO HAPA...
5 Reactions
42 Replies
4K Views
Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikitarajia kufanya maandanamano ya amani jijini Mwanza Februari 15 mwaka huu, Jeshi la Polisi limetoa rai kwa viongozi na wafuasi wa chama hicho...
0 Reactions
5 Replies
842 Views
Ibara ya 16 (1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano inasema; "Kila mtu anastahili kuheshimiwa na kupata hifadhi kwa nafsi yake, maisha yake binafsi na familia yake na unyumba wake, na pia heshima na...
55 Reactions
218 Replies
35K Views
sakata la Nape na lowasa limeendelea baada ya Nape jana kumwambia kwa kutangaza nia kabla ya wakati wake amepoteza sifa ya kuteuliwa kupitia chama cha mapibduzi. maoni yangu: Nabe acha kushindana...
9 Reactions
190 Replies
24K Views
Salaam Wadau, Nimekuwa nikikutana na barabara mbovu mitaa mingi katika sehemu ninazoishi. Kunaweza kutokea sehemu Kuna dimbwi kubwa au korongo ambalo linaleta changamoto kwa wapitanjia au wenye...
0 Reactions
2 Replies
438 Views
Mkuu wa mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye amezielekeza timu za Menejimenti za Halmashauri mkoani humo kuhakikisha zinasimamia na kudhibi upotevu wa mapato yanayotokana na makusanyo ya ndani katika...
0 Reactions
2 Replies
455 Views
Haya ni maoni yangu binafsi kwa jinsi nilivyowaona na kuwasikia kwenye mambo yao mbalimbali waliyoyafanya kwenye siasa za Tanzania. Hii list inahusisha wanasiasa wa zamani na wa sasa, walio hai na...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Nimeikuta hii makala mahali, nikajisemea, wanafiki wote hata geti la mbinguni hawataliona, Makonda akiwemo. Paulo Makonda akiwa Mkuu wa Mkoa DSM, alimtafuta mwanamke anaitwa Fatma Chikawe, akampa...
25 Reactions
40 Replies
4K Views
LOWASA: Mfupi wa Maisha na Mrefu wa Historia. Edward Lowasa ameondoka. Yuko mahali salama pasipo na mgawo wa umeme wala usanii wetu wa Kibongo. Amepumzika baada ya kazi ngumu. Anapokufa mtu...
2 Reactions
3 Replies
999 Views
Dk Mwakyembe, Nassari wapimana Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe (kushoto) na Mbunge wa Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Nasari IN SUMMARY Wawili hao...
19 Reactions
422 Replies
39K Views
Tunduru - Ruvuma Kutokana na mvua kubwa zinazonyesha ukanda wa Morogoro na Selous, daraja kubwa la Mto Muhuwesi lililoko hapa Tunduru limejaa maji hadi juu ya daraja na kwa hiyo tumechukua uamuzi...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Uchaguzi wa viongozi ni mchakato muhimu katika demokrasia ambapo wananchi hupata fursa ya kuchagua viongozi wanaoamini wanaweza kuwakilisha vyema maslahi yao na kuleta maendeleo katika jamii...
0 Reactions
0 Replies
722 Views
Ndio hivyo watu wa Dar ni walalamishi sana ila ndio majizi sana. --- Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko amesema mikoa ya Dar es Salaam na Pwani ina changamoto kubwa ya wizi...
7 Reactions
69 Replies
5K Views
Wanabodi, Hili jambo ninalolizungumza hapa, ni jambo very serious na la kweli, sio jambo la masikhara, kwa sababu mimi binafsi ni shuhuda na mhanga wa jambo kama hili kuwa ni jambo la kweli...
37 Reactions
148 Replies
25K Views
Uchaguzi ni wakati muhimu sana katika mchakato wa kidemokrasia ambapo wananchi wanapata fursa ya kuchagua viongozi na chama ambacho wanaamini kitatekeleza sera na ahadi zilizowekwa. Katika kufanya...
0 Reactions
0 Replies
392 Views
CHADEMA huwa mna utaratibu wa wowote wa kujadiliana na kukubaliana katika kutengeneza nyaraka zenu na miongozo mbalimbali ya kichama kwa mambo ambayo yatakuwa na umuhimu sana "consequential"...
2 Reactions
8 Replies
736 Views
Siasa kute duniani ni ngumu na n hatari sana, kwa mhusika na familia yake.You never know. Sakata la mradi wa RICHMOND ambalo lilisababisha Mh Endward Lowasa kujiuzuru nafasi ya Uwaziri Mkuu...
3 Reactions
10 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…