ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,076
- 49,775
Ndio hivyo watu wa Dar ni walalamishi sana ila ndio majizi sana.
---
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko amesema mikoa ya Dar es Salaam na Pwani ina changamoto kubwa ya wizi wa transfoma.
Amesema kwa uchache wa transfoma zilizopo bado zinaibwa na kwa kipindi kifupi r tranafoma 87 zimeibwa jambo linalopelekea pale zinapoibwa Wananchi wengi wanatolewa kwenye huduma ya umeme.
Akizungumza Bungeni, Dodoma Dkt. Biteko amewaonya wale wote wanaojihusisha na vitendo vya wizi wa transfoma huku akisema siku zao zinahesabika.
My Take
Hata Marekani Kwa Biden Kuna Wizi so msimshambulie Waziri 👇👇