Tundu Lissu amjibu Kinana kuhusu ruzuku, asema hawahongeki

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,305
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu amemjibu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Abdulrahman Kinana juu ya mambo aliyoyaongea jana kuhusu Ruzuku n.k

ANGALIA VIDEO HAPA


Written by Mjanja M1 ✍️
📹 JamboTv
 
Mwenye video au picha Tundu Lisu akitoa msaada wa hela au chochote anitumie.

Huyu mtu anajua kula tu
Lisu siyo mfadhili, ni mwanasiasa.

Unaweza ujinga.

Wazazi wako wamewahi kutoa chochote mahala popote?

Yawezekana ndiyo maana uzao wenu wote hautoboi. Yaani wewe kuwa chawa wa ccm ndiye unahesabika kuwa umetoboa kwenye ukoo mzima.
 
Mwenye video au picha Tundu Lisu akitoa msaada wa hela au chochote anitumie.

Huyu mtu anajua kula tu

Hana hela za wizi, sio muhalifu na Wala hataki kujifanya mwema ili kuhadaa wananchi, ni kwanini agawe hela? Yeye anafanya kazi ya muongozo na sio mfadhili au mpendwa utawala wa hadaa. Na nitamdharau sana Lisu kama ataiga hizo tabia za kipuuzi za ccm.
 
Back
Top Bottom