RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,615
- 3,909
Nchi yetu ina kikundi kidogo hatari kinachoibagaza nchi kupitia kwenye siasa kundi hili ndilo halitaki taifa lipige hatua kwenye rel umeme na miundo mbinu kwa ujumla wapo tayari kutumia njia yoyote wanaoitumikia vyema nchi wasipewe madaraka yoyote ndani ya nchi na ikibidi pindi tu mzalendo yoyote anapotokea humuundia vikao vya chini kwa chini kwa ajiri ya kumkwamisha.
Ndugu zangu watanzania msiwe chawa WA watu hao mkiamini kupewa vyeo kupitia wao hata wao hawana hatimiliki ya nchi hii njia moja ya ku deal na watu hao NI kuwakataa kwa njia yoyote Ile maana hao watu mkiendelea kuwaabudu kama mungu nchi yetu haitopiga hatua mjuwe kabisa hao watu tangu wanakula cake ya nchi hawajawahi kuridhika na wanazidi kuweka mifumo ya kurisishana
Angalieni SGR hiyo inavyopigwa danadana kipande Tu cha daresalaam Hadi morogoro
Kila siku ni maneno maneno.