Mchungaji Joshua: Lengai Ole Sabaya akiwa Gerezani alikuwa akiwaandikia Rufaa Wafungwa walioonewa na Waliachiwa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,038
Mchungaji Joshua amesema Yeye na Lengai walikuwa Jela pamoja na Ole Sabaya amewasaidia Wafungwa walioonewa kuachiwa Huru baada ya kuwaandikia Rufaa

Sabaya alipongezwa na Jaji kwa kuwaandikia Rufaa Wafungwa walioonewa, amesema Mchungaji
 
Kilichobaki ni maridhiano, kujifunza tulipokosea, kusameheana, kuweka mipango ili yasije jirudia ya mwanzo na hata yakijirudia basi tusitoneshane vidonda.

Ila makovu yaliyobaki yawe ni alama ya kutukumbusha funzo tulilolipata wakati wa mapambano ya Kwamba hakuna alie Bora kuliko mwenzie na wote tunategemeana.
Umaskini na njaa ndo Msingi Mkuu wa tamaa na kutojali wengine. Ni jukumu letu kupambana navyo lakini si Kwa gharama ya maumivu Kwa wengine.

Kabla ya Siasa na udini Kuna undugu unaoanzia kwenye familia mpaka ngazi ya kitaifa. Tutangulize utu na kubebeana udhaifu kama ndugu wa familia Moja maana hakuna aliemkamilifu, Kuna uzee, Kuna kifo na Kuna Mwenye Ulimwengu wake, Mungu Mkuu alieviumba vyote na kuumba wanadamu Kwa mfano wake.
Amani yake iwe nasi daima.
 
Yule mzee mwanajeshi mstaafu KULE Hai, mrusishie kile Kiwanja chake ulicho kuchukua Kwa nguvu na kukifanya mali ya Tanesco.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom