Katibu wa CCM Wilaya ya Hai, KULE KILIMANJARO ni Mlaghai

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,828
21,460
Nifikie kusema wazi na bila kificho kuwa, Katibu wa CCM wilaya ya Hai, ni Mlaghai.

Amechukua nafasi aliyopewa kuwarubuni wanaccm kuwa nitafanyia hiki nitakufanyia kile
Matokeo yake anapokea fedha za wanaccm na hawasaidii chochote na hana uwezo wa kuwasaidia.

Kwenye hizi chaguzi za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu ujao atawalaghai watu wengine sana.

UKIFIKA ofisini kwake anasema anafanya kazi na vyombo vingine, ambavyo hataji ili kukuonyesha kuwa anaweza kukusaidia kumbe ni issue!

Sasa Mkuu wa wilaya naye alikuwa Katibu wa CCM wa wilaya , naye ukimuunganisha na Katibu wa CCM aliyeko, Sasa wilaya ya Hai Ina walaghai wawili ambapo kama hawatahamishwa au kubadilishiwa majukumu tunakoelekea hali sio shwari.

DC na Katibu wa CCM wilaya ni vijana wenye njaa na wanaweza kufanya Chochote au kuuza Jimbo Ili wapate fedha.

Ushauri DED aliyeko Hai ni mtu mwenye ufahamu mkubwa na mtendaji mzuri ili kupitia Katibu wa CCM wilaya na DC , anakwamishwa sana kiutendaji, hivyo CCM angalieni na fanyeni utafiti wawili Hawa wahamishwe haraka iwezekanavyo.
 
Hahahaaa
 
Back
Top Bottom