Miaka 60+ nchi inajadili uhaba wa sukari?? CCM hebu kaeni pembeni

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,415
Kwenye nchi yenye ardhi, mabonde, mito na maziwa kibao bila kusahau bahari. Inakuwaje hatujitoshelezi kwa sukari?

Hiki chama ni kipi inajivunia kwa miaka zaidi ya 60?

Sukari!! Aibu naona mimi.

Bora kuzaliwa mende Ulaya kuliko kuwa mtanzania chini ya CCM.
 
Kwa umri wa hiki chama naamini hata uwezo wa kufikiri umefika mwisho mawazo mapya hamna!

Umeme
Maji
Sukari
Elimu
Maji

Toka uhuru hivi sio vitu vya kujadili kama taifa.

Sijui hata ziara ya Makonda ni ya nini kama kweli Ccm inawapigania wananchi wa hili taifa vilivyo hakupaswa kupita huko mitaani kila kitu ilipaswa wawe wamemaliza kutatua toka tupate uhuru hadi leo hii matatizo ni yale yale miaka yote!

Awamu hii sijui ni wapinzani gani wanawakwamish

Na walisema watauza umeme

Hiyo train ya umeme sijui na kiangazi hapo bado!
IMG_4146.jpg
 
Suppose kweli wakae pembeni, kuna nani wa kui replaces CCM?.
P
Na huu ndiyo huwa utetezi legevu/kakichaka ka kujifichia.Kinapoelezwa chama kwani huwa unafikiria nini?Wengi mnaojinasibisha na CCM mmechoka kiakili hadi kudhani bila ninyi nchi itabebwa na kimbunga.Nchi kubwa hii ikose mbadala wa CCM?Utani wenu umevuka viwango na kuwa matusi sasa!
 
Kwenye nchi yenye ardhi, mabonde, mito na maziwa kibao bila kusahau bahari. Inakuwaje hatujitoshelezi kwa sukari?

Hiki chama ni kipi inajivunia kwa miaka zaidi ya 60?

Sukari!! Aibu naona mimi.

Bora kuzaliwa mende Ulaya kuliko kuwa mtanzania chini ya CCM.
Tatizo la nchi hii sio CCM mleta mada bali ni aina ya watu wanaopatikana katika hii nchi ndo tatizo. CCM kama chama hakikujiumba kilianzishwa na watu kama mimi na wewe, kanuni, taratibu na miongozo yote ilioko CCM iliwekwa na watu wanaopatikana katika nchi hii. Watu walioko CCM ambao wengine walishafariki na wengine kuzaliwa ndo hawahawa watu wanaopatikana katika vyama vingine kama CHADEMA, ACT ,CUF nk. Jamani si kuna wimbi la watu walitoka vyama vya upinzani kwenda CCM na wengine walitoka CCM kwenda upinzani lakini hakuna kilichobadilika coz tatizo la msingi ni lilelile(WATU).

Mbuzi hata ukimvisha tai na suti kutoka brand maarufu na ghali duniani ataendelea kuwa mbuzi tu.
 
kwani ulaya na marekani walivyokua wakilalama kuhusu uhaba na gharama za gesi ilikua miaka 70 eeh🐒
 
Tatizo la nchi hii sio CCM mleta mada bali ni aina ya watu wanaopatikana katika hii nchi ndo tatizo. CCM kama chama hakikujiumba kilianzishwa na watu kama mimi na wewe, kanuni, taratibu na miongozo yote ilioko CCM iliwekwa na watu wanaopatikana katika nchi hii. Watu walioko CCM ambao wengine walishafariki na wengine kuzaliwa ndo hawahawa watu wanaopatikana katika vyama vingine kama CHADEMA, ACT ,CUF nk. Jamani si kuna wimbi la watu walitoka vyama vya upinzani kwenda CCM na wengine walitoka CCM kwenda upinzani lakini hakuna kilichobadilika coz tatizo la msingi ni lilelile(WATU).

Mbuzi hata ukimvisha tai na suti kutoka brand maarufu na ghali duniani ataendelea kuwa mbuzi tu.
Nini kifanyike?
 
Hata walio nje ya serikali nao wanawaza yao tu
Mtasubiri hata miaka 60 mingine na mtajikuta hivi hivi
Wakati mwingine huwa naona maisha ya porini na wanyama ni bora zaidi
 
Mwafrika hajawahi fanya jambo likawa na tija hasa katika tawala za kikandamizaji.Leo hii ni miaka 60 ya uhuru,lakini watawala Kutwa kupanda ndege kwenda kuomba omba ughaibuni.

Mmeshindwa kutengeneza matundu ya vyoo uko kwenye mashule.Mambo ya sukari na mfumuko wa bei mtaweza ?

Ni muda sasa mkoloni Mweupe arudi Afrika, kuleta mageuzi ya kweli sio hawa wanunua majumba Dubai.
 
Sukari hilo jambo mimi halishangazi ila linanichekesha. Mimi kinachonishangaza mpaka leo ni kwanini mikoa inayozunguka ziwa Victoria haina maji. Sana sana Mwanza, ziwa hilo hapo ila Mwanza maji hakuna 🤣🤣🤣🤣
 
Mwafrika hajawahi fanya jambo likawa na tija hasa katika tawala za kikandamizaji.Leo hii ni miaka 60 ya uhuru lakini watawala Kutwa kupanda ndege kwenda kuomba omba ughaibuni.

Mmeshindwa kutengeneza matundu ya vyoo uko kwenye mashule mambo ya sukari na mfumoko wa bei mtaweza ?

Ni muda sasa mkoloni Mweupe arudi Afrika kuleta mageuzi ya kweli sio hawa wanunua majumba Dubai.
Alafu kuna mtu Anazunguka mikoa kibao na misafara yenye magari lukuki
Anatumia gharama kubwa eti kutatua changamoto
-""#£ aise nchi hii ina vituko

Ova
 
Back
Top Bottom