CCM ni watu wa ajabu,yaani mtu kakataliwa na dunia lkn tanzania anapewa heshima kama hii?

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Binafsi siwezi kumlaumu Bashite bali lawama zangu ni kwa ccm.

Bashite huyu aliyakataliwa na dunia kuingia kwenye nchi zao,
Kwa madhambi aliyo tenda.

Lkn kwa ccm leo anaonekana shujaa kwa kupewa magari mengi kwenye msafara wake.

Tunawaomba wana ccm kwanza watupatie wasifu wa huyu Bashite.
 
Binafsi siwezi kumlaumu Bashite bali lawama zangu ni kwa ccm.

Bashite huyu aliyakataliwa na dunia kuingia kwenye nchi zao,
Kwa madhambi aliyo tenda.

Lkn kwa ccm leo anaonekana shujaa kwa kupewa magari mengi kwenye msafara wake.

Tunawaomba wana ccm kwanza watupatie wasifu wa huyu Bashite.View attachment 2893949
Ngoja tumuulize Lucas,kama ghorofani tupo sawa na dish halijayumba🤣🤣🤣
 
Tatizo lenu mnapoteza muda mwingi kuongelea watu binafsi badala ya kueneza sera na kukosoa sera za chama tawala. Utamuongeleaje Makonda badala ya kuongelea matatizo katika jamii kama kukatika kwa umeme na huduma zingine za kijamii kwa ujumla. Kwa sasa mmejikita kuongelea watu binafsi na baada ya uchagizi mtakuja na ngojera zenu za kuibiwa kura wakati mlitumia muda mwingi kuongelea watu na si kueneza sera.
 
Binafsi siwezi kumlaumu Bashite bali lawama zangu ni kwa ccm.

Bashite huyu aliyakataliwa na dunia kuingia kwenye nchi zao,
Kwa madhambi aliyo tenda.

Lkn kwa ccm leo anaonekana shujaa kwa kupewa magari mengi kwenye msafara wake.

Tunawaomba wana ccm kwanza watupatie wasifu wa huyu Bashite.View attachment 2893949
Mtu huyo mnampaisha Kwa kumjadili iwe Kwa mazuri au mabaya.

Ameletwa kuwatoa mchezoni.

CDM imestukia mchezo, wamempotezea.

Chawa msio na dira Kila kukicha mnamwanzishia thread Badala ya kuendelea kuongelea maandamano yaliyopangwa na chama kuleta Ukombozi kwenye issue muhimu ya Tume huru ya Uchaguzi na KATIBA mpya kabla ya Uchaguzi.
 
Subiri nawe utapewa huko ufipa si ulikataliwa na dunia!
 
Mtu huyo mnampaisha Kwa kumjadili iwe Kwa mazuri au mabaya.

Ameletwa kuwatoa mchezoni.

CDM imestukia mchezo, wamempotezea.

Chawa msio na dira Kila kukicha mnamwanzishia thread Badala ya kuendelea kuongelea maandamano yaliyopangwa na chama kuleta Ukombozi kwenye issue muhimu ya Tume huru ya Uchaguzi na KATIBA mpya kabla ya Uchaguzi.
Ni kweli kabisa, badala ya waTZ kujadili issue muhimu sana kwa sasa ya Katiba mpya, tumebaki tunamjadili Bashite!
 
Lucas mwashambwa ona Mmawia anaonyesha jinsi msafari wa Makonda ulivyonona.
Mmawia alishachanganyikiwa muda mrefu tangia aone mafuriko ya watu wanaomiminika na kutiririka kwenye mikutano ya Mheshimiwa. Maana alikuwaga anasema kuwa hawezi kupata wetu kwenye mikutano.sasa anashangaa inakuwaje mtu huyu anapokelewa na maelfu kwa Malaki ya watanzania kila apitako?
 
Binafsi siwezi kumlaumu Bashite bali lawama zangu ni kwa ccm.

Bashite huyu aliyakataliwa na dunia kuingia kwenye nchi zao,
Kwa madhambi aliyo tenda.

Lkn kwa ccm leo anaonekana shujaa kwa kupewa magari mengi kwenye msafara wake.

Tunawaomba wana ccm kwanza watupatie wasifu wa huyu Bashite.View attachment 2893949
Sisi hatupangiwi na mabeberu nani awe kiongozi wetu! Hao mabeberu taarifa potofu kuhusu Makonda walipewa na CHADEMA! CHADEMA ni chama pandikizi cha mabeberu! Nakwataarifa yako Makonda atakuja kuwa kiongozi mkuu sana serikalini kwasababu ni mzalendo! Makonda ni Pro Mugufuli
 
Binafsi siwezi kumlaumu Bashite bali lawama zangu ni kwa ccm.

Bashite huyu aliyakataliwa na dunia kuingia kwenye nchi zao,
Kwa madhambi aliyo tenda.

Lkn kwa ccm leo anaonekana shujaa kwa kupewa magari mengi kwenye msafara wake.

Tunawaomba wana ccm kwanza watupatie wasifu wa huyu Bashite.View attachment 2893949
kwan we umekataliwa mara ngapi na watu kwa jinsi ulivyo ila kwenu wewe ndio The king 🐒
 
Back
Top Bottom