Ndugu wana JF nimeona nishare na ninyi kile walichonieleza hawa marafiki zangu niliokutana nao South Africa kipindi nahangaikia ndoto zangu kuhusu mtazamo wao kwa aliyekuwa rais wetu JPM.
Kuna...
Katika nchi ambayo ina wasomi wengi sana nje ya nchi, ni Kenya. Kenya wamewekeza katika elimu ambayo inajibu mahitaji ya soko la dunia, wasomi wao wanakubalika sana duniani.
Katika kuenzi maisha...
Akiongea na Wandishi wa habari Waziri wa Afya Nassor Mazirui (ACT wazalendo) amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ipo kwenye mchakato wa kubinafsisha Hospitali zote za Zanzibar ile...
19 February 2024
Munich, Germany
Speaking at the Munich Security Conference, Tanzania Defense Minister Stergomena Tax discusses issues facing Africa currently, and how they can be addressed...
Habari za usiku huu wana nzengo, kutokana na research niliyofanya kupitia sample (x) nimegundua ya kwamba Oktoba 2025 historia inaenda kuandikwa hapa Tanzania.
Mama huenda ndiyo akawa raisi...
Nianze kwa kumnukuu Hayati Mwalimu Nyerere...
Inapotokea vipindi vya uchaguzi wagombea wakiwa wanatafuta kura, pamoja na sera nzuri za kujiuza wanazokuwa nazo, pia huweza kutumia njia nyingine...
Kumekuwa na msuguano mkali kati ya wananchi wa Kitulila na Uongozi wa wakala wa Barabara mkoa wa Njombe.
Wananchi wanapinga kusudio la Tanroad kuchepusha Barabara ya Njombe Ludewa kwenye mradi wa...
Kama ilivyo desturi hatuwezi kukaa kimya kuacha sinema za karne iliyopita ziendelee tena kila uchaguzi unapokaribia.
Sukari adimu kwa maelezo Yao wenyewe uzalishaji ni mdogo kuliko mahitaji...
Hatuvumi ila tumo.
Tanzania inashika namba 8 Afrika Kwa Nchi zinazotumia pesa nyingi Kwa shughuli za kijeshi yaani defence expenditures ambapo inakadiriwa kutumia takribani Shilingi Trilioni 4.5...
Nikiwa nimehathiwa historia ya uhuru na kusoma historia zilizonadikwa kuhusu uhuru wa Afrika, niligundua kuwa mipango ya kuwapatia uhuru wa’frika ilitibuliwa na watu walioitwa baadaye wapigania...
Naona badala ya kuongea siasa kila wakati tunaweza kuelimishana kwenye mammbo muhimu hapa.Hii topic nilishawahi kuituma.
Tanzania inakabiliwa na matatizo mengi ya uchumi. Moja la tatizo kubwa...
Hii ndio taarifa mpya ya sasa , kwamba yule Mwamba wa siasa za Tanzania amekwishatua Jijini Mbeya , hii maana yake ni kwamba ataongoza Maandamano ya Amani ya kupinga dhiki , Ufukara na Ugumu wa...
Sababu mojawapo ya Tanzania kuwa na ajira ndogo ni riba kubwa za mikopo ya bank zetu. Imefika wakati hata Kimei ambaye alikuwa mkurugenzi wa CRDB kasema bungeni.
Riba ikiwa kubwa biashara ndogo...
Yani kama si Mungu leo hii nusu ya Watanzania ingekua kila siku wanakimbia mijini maana hii hali khatari sana kila kukicha serikali ya CCM inatafuta ugumu wa maisha kwa watu hali ya chini kwa...
Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , ametoa ujumbe Maalumu kwa Wakazi wa Mwanza kama shukrani kwa kuunga mkono Maandamano ya Amani ya kupinga Ufukara na ugumu wa maisha , pamoja na Miswada...
Huyu jamaa ana uelewa mkubwa sana wa mambo ya finance.
Huyu jamaa ana uzoefu mkubwa kwenye industry ya uchumi.
Huyu jamaa ana uelewa mkubwa juu ya uchumi hasa wa nchi inayoendelea kama Tanzania.
Nimemsoma Spika Dr Tulia PhD Kule X akisema Spika Sitta alikuwa wa Kasi na Viwango hivyo ndiye Spika bora lakini kumlinganisha na yeye iwe pale atakapomaliza muhula wake wa Uspika
Nakubaliana...
Mtakaofanikiwa kuiona clip hiyo wakiwa Bungeni nadhani kuna haja ya kupima na kutathimini hoja ya huyo mjeshi aliyesimamishwa na Spika na kisha kupima hoja ya Spika.
Kwa mtazamo wangu naona kuna...
Habari JF, life it's too short guys.
Nimesikia Mbowe kwenye mkutano wake bila shaka ni Jijini Mwanza.
Mbowe anawaambia wanachama, kwamba Chadema haina rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu.
Then...