Hatari lakini salama ndivyo unavyoweza kusema

HUSSEN KAMBI

Senior Member
Dec 4, 2023
175
212
Yani kama si Mungu leo hii nusu ya Watanzania ingekua kila siku wanakimbia mijini maana hii hali khatari sana kila kukicha serikali ya CCM inatafuta ugumu wa maisha kwa watu hali ya chini kwa makusudi.

Wanafanya kila aina ya mambo. Kuhakikisha raia wanaishi maisha magumu lakini kila wakifanya hila zao Mungu anazipindua.

Wametuekea tozo. Hili tushindwe kuhifadhi hela zetu na kutumia. Wazee wetu.

Tulivyo lalamika wakatuambia tuhamie burundi

Walivyo ona bado. Tunakomaa. Waka tupandishia. gharama za maisha kwanza.

Wakatupandishia gharama za kuingiza umeme wakaona haitoshi wakatupandishia gharama za Pembejeo
wakaona haitoshi wakatuletea. Mgawo wa Umeme Ambao. Hatujui wapi umetokea

Wakaona haitoshi. Wakatukatia maji wakaona haitoshi wakapandishia Mafuta
wakaona haitoshi.

Waka tupandishia nauli. Kwa kiwango ambacho hakijawahi kutokea wakaona haitoshi Wakatupandishia sukari yani. Kila kukicha wanafanya mambo

Yakuhakikisha mtu wa hali ya chini azidi kubaki chini.

Lakini pamoja na Juhudi zao hizo Mungu bado. Hayupo. Upande. Wao

wananchi wa hali ya chini bado tupo Mijini hatuondoki. wataondoka wao, sisi watatuacha hapa hapa

Lakini pamoja na yote haya bado utaona kuna watu wanaishabikia Serikali na kusema inaupiga mwingi. Mimi huwa najiulizaga hivi hawa wanaosema anaupiga mwingi wanaishi Nchi hii au haya ninayoyaona mimi wao hawayaoni? Inakuaje?
 
Serikali ina watu, ndiyo hao wanasema inaupiga mwingi. Kwa hiyo isishangae kuona wengine wanasema kuna upiga mwingi.
 
Yawezekana hao wanoisifia serikali kwamba inaupiga mwingi wanachokipata Kwa kusifia ni zaidi ya umeme,maji,Huduma Bora za afya n.k
 
Napendekeza huu uzi uwe printed na kiwekwa kwenye frame na kusambazwa nchi nzima.
 
Yawezekana hao wanoisifia serikali kwamba inaupiga mwingi wanachokipata Kwa kusifia ni zaidi ya umeme,maji,Huduma Bora za afya n.k
Mimi najua ninachokifanya kisema

Siku sudii hao wenye faida na serikali

Hata watu ambao hawapati faida

Nawao wanasifia

Wewe ushaona humu kwenye mitandao

Watoto wa vigogo wana sifia

Wao wapo Bize na masomo
Wana andaliwa kuwa viongozi wa baadae

Halafu wengine wana andaliwa kuwa
Machawa wa baadae na ndio wengi hao mda wote wapo humu
Wanasifia tu
 
Yawezekana hao wanoisifia serikali kwamba inaupiga mwingi wanachokipata Kwa kusifia ni zaidi ya umeme,maji,Huduma Bora za afya n.k
Hakuna wanaosifia wengi hawapati
Chochote
Wanaopata chochote mda wote wapo masomoni

Wana andaliwa kuja kuwa viongozi

Wa baadae
Lakini wengi wenu mna andaliwa kuja kuwa machawa wa baadae
 
Back
Top Bottom