Pendekezo: Charles Kimei ateuliwe kuwa Waziri wa Fedha na Mipango

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
Huyu jamaa ana uelewa mkubwa sana wa mambo ya finance.

Huyu jamaa ana uzoefu mkubwa kwenye industry ya uchumi.

Huyu jamaa ana uelewa mkubwa juu ya uchumi hasa wa nchi inayoendelea kama Tanzania.

kimei.jpg
 
Mmeshaanza na uchaga wenu, mnataka ajaze wachaga tupu kama alivyowajaza crdb enzi zake
Hebu toa statistics zinazoeleweka. Kabla hajaingia CRDB uwiano wa wafanyakazi kwa makabila yao ulikuwaje na baada ya yeye kuingia hadi anatoka uwiano ulikuaje.

Kuna hotuba moja ya Nyerere anasema wakati akiwa Rais kulikuwa na shutuma kuwa kwenye baraza lake la mawaziri at that particular time eti amejaza wakatoliki akaamua kufanya utafiti akakuta wakatoliki walikua wawili tu.
 
Back
Top Bottom