Freeman Mbowe awashukuru watu wa Mwanza kwa kushiriki Maandamano kwa Wingi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,712
218,260
Screenshot_2024-02-16-17-03-25-1.png

Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , ametoa ujumbe Maalumu kwa Wakazi wa Mwanza kama shukrani kwa kuunga mkono Maandamano ya Amani ya kupinga Ufukara na ugumu wa maisha , pamoja na Miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi .

Screenshot_2024-02-16-17-01-18-1.png

Ujumbe wa Mbowe kwa watu wa Mwanza huu hapa

Screenshot_2024-02-16-17-03-57-1.png
 
View attachment 2906031

Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , ametoa ujumbe Maalumu kwa Wakazi wa Mwanza kama shukrani kwa kuunga mkono Maandamano ya Amani ya kupinga Ufukara na ugumu wa maisha , pamoja na Miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi .

View attachment 2906028

Ujumbe wa Mbowe kwa watu wa Mwanza huu hapa

View attachment 2906029
Habari mkuu Erythrocyte .
Sasa huu ujumbe Mbowe kawaandikia watu wa Mwanza?
Sidhani kabisa kama walengwa ni wasukuma na sehemu kubwa ya wakazi wa mwanza.
Pole sana
 
Hao sio wa Mwanza tu, kuna wa Mkoa wa Mara, Shinyanga, Kagera, Tabora, Simiyu, Singida, Kilimanjaro, wamekutana Mwanza tu
Usijatahidi kupotosha, stay positive..... ni kweli watu wa kutoka mikoa ya jirani wapo ila si wananchi au wanachama wa kawaida wanaoweza kusafiri kwa ajiri ya maandamano, viongozi wetu wa mikoani pamoja na wenzeru wachache wenye uwezo wametuwakilisha, kumbuka tunapambana na ukali wa maisha hivyo sio rahisi sana kwa sisi wa kawaida kusafiri kwa ajiri ya maandamano, wape heko yao wananchi wa Mwanza.
Tunasubiri chama kitupangie na sisi tarehe ya maandamano mikoani mwetu.

Labda ile mikutano ya mwe.......zi ndio inakusanya watu, "Labda"

Asanteni Mwanza.
 
Hakika
 
Waliomdanganya mama kuwa Biteko na Makonda ndio karata ya kukubalika Kanda ya ziwa wamemdanganya sana ……….wana ccm wa kanda ya ziwa wanajua ni Nani mwenye ushawishi….hata huyo Magufuli hakuwahi kukubalika kanda ya ziwa alikuwa akishinda Mara zote kwa kununua wapinzani wake au kuwawekea vigingi …kwakuwa wenyeji wanajua yeye ni wa kuja [wahamiaji]
 
Back
Top Bottom