Nakubaliana na Spika Dkt. Tulia kuwa Spika Sitta ndiye bora na yeye tumpime akimaliza, ila ajue Sitta aliongoza Bunge la Vyama vingi tofauti na yeye

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,990
142,007
Nimemsoma Spika Dr Tulia PhD Kule X akisema Spika Sitta alikuwa wa Kasi na Viwango hivyo ndiye Spika bora lakini kumlinganisha na yeye iwe pale atakapomaliza muhula wake wa Uspika

Nakubaliana Kabisa na Spika Dkt. Tulia PhD tena kwa asilimia zote

Ila namkumbusha tu mzee Msekwa, Sitta rip, mama Makinda na Mzee Ndugai wakiongozwa mabunge ya Vyama vingi tofauti na Bunge la sasa ambalo kimsingi ni Bunge la Chama kimoja

Ni hilo tu 😀

Mungu wa mbinguni mbariki Spika Dr Tulia PhD
 
Huyu dada anaanza... samahani anaendelea kuchanganyikiwa !!!!; Nani kamlinganisha na Sitta...., Binafsi nikipanga safu hata kwenye orodha simuweki.... (Kugawa Bandari kunahitaji matatizo makubwa sana Upstairs)
 
Makinda alikuwa Bora kuliko hata Six Six na nduguyai walipanga wapinzani ili kuchafua viongozi wa sirkali tena wale wenyebifu nao!!
Spwika hovyo lamahovyo kabisa sidhani kama atatokea wa kumshinda hivi karibuni ni nduguyai kifimbocheza mzee wa ku-panic kwasasa anafuatiwa nahuyu asiye tulia...
 
Nimemsoma Spika Dr Tulia PhD Kule X akisema Spika Sitta alikuwa wa Kasi na Viwango hivyo ndiye Spika bora lakini kumlinganisha na yeye iwe pale atakapomaliza muhula wake wa Uspika

Nakubaliana Kabisa na Spika Dkt. Tulia PhD tena kwa asilimia zote

Ila namkumbusha tu mzee Msekwa, Sitta rip, mama Makinda na Mzee Ndugai wakiongozwa mabunge ya Vyama vingi tofauti na Bunge la sasa ambalo kimsingi ni Bunge la Chama kimoja

Ni hilo tu 😀

Mungu wa mbinguni mbariki Spika Dr Tulia PhD
DR.Tulia is the best Nationally and Internationally
 
Nimemsoma Spika Dr Tulia PhD Kule X akisema Spika Sitta alikuwa wa Kasi na Viwango hivyo ndiye Spika bora lakini kumlinganisha na yeye iwe pale atakapomaliza muhula wake wa Uspika

Nakubaliana Kabisa na Spika Dkt. Tulia PhD tena kwa asilimia zote

Ila namkumbusha tu mzee Msekwa, Sitta rip, mama Makinda na Mzee Ndugai wakiongozwa mabunge ya Vyama vingi tofauti na Bunge la sasa ambalo kimsingi ni Bunge la Chama kimoja

Ni hilo tu 😀

Mungu wa mbinguni mbariki Spika Dr Tulia PhD
Ondoa ndugai hapo
 
Back
Top Bottom