ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,110
- 49,825
Hatuvumi ila tumo.
Tanzania inashika namba 8 Afrika Kwa Nchi zinazotumia pesa nyingi Kwa shughuli za kijeshi yaani defence expenditures ambapo inakadiriwa kutumia takribani Shilingi Trilioni 4.5 ($1.8bln).
Kiufupi hiyo ni Bajeti Kubwa sana ya Ulinzi kulingana na geopolitics ya eneo letu kiusalama.
View: https://twitter.com/east_facts/status/1759242700346229168?t=Zm6xL-DnpoKHDY7hZA0Vwg&s=19
Swali.
1. Kunani Algeria? Haina mahala Kwa Kupeleka pesa au?
2. Botswana yenye watu wasiozidi mil. 2 na isiyokuwa na matishio yeyote kiusalama kwanini inatumia pesa nyingi kiasi hicho?