Mbowe amtambulisha Dkt. Slaa

Liwagu

JF-Expert Member
Jan 25, 2017
5,292
6,341
Habari JF, life it's too short guys.

Nimesikia Mbowe kwenye mkutano wake bila shaka ni Jijini Mwanza.

Mbowe anawaambia wanachama, kwamba Chadema haina rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu.

Then anasema naomba nimtambulishe rafiki yangu Doctor Slaa, karibu sana.

Doctor Slaa anakwenda mbele wanapeana mikono Mbowe anawaambia wanachama wasimuilize Doctor Slaa yuko wapi.

(Msiniulize doctor Slaa yupo wapi, simnamuona hapa chadema?.

Halafu anamtambulisha na Mwabukusi wanasimama pamoja wote na Doctor slaa then Mwenyekiti anawaambia karibuni sana tufanye kazi.

Mbowe yupo vizuri upstair, he knows how to play the game, so far Doctor Slaa na Mwabukusi watakisaidia chama kuonyesha dira na malengo.

Tundu anatuchalewesha sana, anapenda misifa na kulialia24/7.
 
Anyway, sina uthibitisho wa moja kwa moja juu ya hicho ulichokiandika kama kweli amekitamka Mbowe, lakini kwangu nilijua tu it's a matter of time, ipo siku Adv. Mwabukusi ataonekana Chadema, sio tu kuwaunga mkono kwenye harakati zao, lakini pia kuwa mwanachama wao.

Nasema hivyo kwasababu moja, nilipomuona Adv. Mwabukusi - Mbeya akiwa na Mbatia, yule aliyefanyiwa zengwe akaondoshwa NCCR, automatically nikajua hata Adv. Mwabukusi atakuwa upande wa Mbatia.

Na sitashangaa huko mbele tuendako, nikija kumuona Mbatia nae anajiunga na Chadema bila kujali aliyowahi kusema au kuyafanya dhidi yao, hiyo inathibitishwa na kauli ya Mbowe siasa haina rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu.

Ndio maana nilikuwa nawatazama wale waliokuwa wakijaribu kutengeneza paonekane upo mgogoro kati ya Adv. Mwabukusi na Chadema, simply because Adv. Mwabukusi alionekana kuwasema Chadema kuhusu baadhi ya mambo, ile kwangu haikuwa siasa ulikuwa ni uoga usiokuwa na maana, naona sasa Mbowe amethibitisha kwa maneno yake.

Siasa ni kama mchezo, mchezo usiotaka hasira, misimamo mikali isiyoyumba, mbinu za aina moja kwenye kudai haki zako, ukiwa hivyo kwenye siasa, hasa kiongozi wa chama, basi tegemea ipo siku utajichimbia kaburi lako mwenyewe.

Hii ndio sababu huwa namkubali sana Mbowe, amekomaa kwa vitendo, anajielewa, anajua anachofanya kuendana na mazingira husika, hana mihemko, haropoki, ni mwenye subra, hana hasira wala vinyongo, kwangu huyu ndie gwiji wa siasa hapa Tanzania.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Ok. Yote ni heri.

Mbona ninyi ccm mmekabidhi kazi ya kueneza chama kwa muuaji, mtekaji, mporaji na mpiga risasi?

Pamoja na kwamba serikali ya Marekani imemtangaza Makonda kuwa ni mtoa roho za watu lkn bado mmefumba macho.
Mimi sio ccm mkuu kubali kataa, alafu hayo matuhuma unayo mpachika huyo jamaa niupuuzi mtupu.

Kuwa makini acha kufuata mikumbo ya propaganda chafu.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Anyway, sina uthibitisho wa moja kwa moja juu ya hicho ulichokiandika kama kweli amekitamka Mbowe, lakini kwangu nilijua tu it's a matter of time, ipo siku Adv. Mwabukusi ataonekana Chadema, sio tu kuwaunga mkono kwenye harakati zao, lakini pia kuwa mwanachama wao.

Nasema hivyo kwasababu moja, nilipomuona Adv. Mwabukusi - Mbeya akiwa na Mbatia, yule aliyefanyiwa zengwe akaondoshwa NCCR, automatically nikajua hata Adv. Mwabukusi atakuwa upande wa Mbatia.

Na sitashangaa huko mbele tuendako, nikija kumuona Mbatia nae anajiunga na Chadema bila kujali aliyowahi kusema au kuyafanya dhidi yao, hiyo inathibitishwa na kauli ya Mbowe siasa haina rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu.

Ndio maana nilikuwa nawatazama wale waliokuwa wakijaribu kutengeneza paonekane upo mgogoro kati ya Adv. Mwabukusi na Chadema, simply because Adv. Mwabukusi alionekana kuwasema Chadema kuhusu baadhi ya mambo, ile kwangu haikuwa siasa ulikuwa ni uoga usiokuwa na maana, naona sasa Mbowe amethibitisha kwa maneno yake.

Siasa ni kama mchezo, mchezo usiotaka hasira, misimamo mikali isiyoyumba, mbinu za aina moja kwenye kudai haki zako, ukiwa hivyo kwenye siasa, hasa kiongozi wa chama, basi tegemea ipo siku utajichimbia kaburi lako mwenyewe.

Hii ndio sababu huwa namkubali sana Mbowe, amekomaa kwa vitendo, anajielewa, anajua anachofanya kuendana na mazingira husika, hana mihemko, haropoki, ni mwenye subra, hana hasira wala vinyongo, kwangu huyu ndie gwiji wa siasa hapa Tanzania.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Nakubali.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Habari JF, life it's too short guys.
Nimesikia Mh. Mbowe kwenye mkutano wake bila shaka ni Jijini Mwanza.

Mh. Mbowe anawaambia wanachama, kwamba Chadema haina rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu.

Then anasema naomba nimtambulishe rafiki yangu Doctor Slaa, karibu sana.

Doctor Slaaa anakwenda mbele wanapeana mikono Mh. Mbowe anawaambia wanachama wasimuilize Doctor Slaa yuko wapi.

(Msiniulize doctor Slaa yupowapi, simnamuona hapa chadema?.

Alafu anamtambulisha na Mwabukusi wanasimama pamoja wote na Doctor slaa then Mwenyekiti anawaambia karibuni sana tufanye kazi.

Mboe yupo vizuri upstair, he knows how to play the game, so far Doctor Slaa na Mwabukusi watakisaidia chama kuonyesha dira na malengo.

Tundu anatuchalewesha sana, anapenda misifa na kulialia24/7.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Karibu nyumbani Mzee.
 
Bora huyo Slaa kuliko ule ujio wa Lowassa ndani ya cdm. Angaau anaweza kushauri namna nzuri ya cdm kujiendesha kitaasisi.
 
Back
Top Bottom