Watanzania Twende na KKU ya Dr Nchimbi yaani Kweli, Kazi na Uzalendo. Hakika tutatoboa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,109
Nimependa Hii Falsafa ya Katibu mkuu wa CCM Kwamba anapenda Wasema kweli, anapenda Wachapakazi na anapenda Wazalendo

Kwa kifupi Hii inaitwa Kweli, Kazi na Uzalendo ( KKU)

Kwenye Kweli yupo Mungu

Kwenye Kazi upo Utu

Kwenye Uzalendo ipo Nchi

Mungu wa mbinguni mbariki Dr Nchimbi
 
Yale maigizo ya kipuuzi ya Paul Makonda yameishia wapi ?
 
Nimependa Hii Falsafa ya Katibu mkuu wa CCM Kwamba anapenda Wasema kweli, anapenda Wachapakazi na anapenda Wazalendo

Kwa kifupi Hii inaitwa Kweli, Kazi na Uzalendo ( KKU)

Kwenye Kweli yupo Mungu

Kwenye Kazi upo Utu

Kwenye Uzalendo ipo Nchi

Mungu wa mbinguni mbariki Dr Nchimbi
Chamani huwa hatumpendi msema kweli !
Hii falsafa ameitolea wapi ?!
Au ndio mabadiliko yenyewe hayo ??!
Ngoja Tusubiri tuone !
Kama ni kweli basi nami nitakuwa huru kusema kweli tena !!
 
Nimependa Hii Falsafa ya Katibu mkuu wa CCM Kwamba anapenda Wasema kweli, anapenda Wachapakazi na anapenda Wazalendo

Kwa kifupi Hii inaitwa Kweli, Kazi na Uzalendo ( KKU)

Kwenye Kweli yupo Mungu

Kwenye Kazi upo Utu

Kwenye Uzalendo ipo Nchi

Mungu wa mbinguni mbariki Dr Nchimbi
Blah blah tupu hizo! Kama ni msema kweli, Kweli Katiba ya sasa inakidhi matakwa ya vyama vingi? Mbona hasemi ukweli huo kuwa katiba lazima ibadilishwe.
 
Serikali na ccm wanajitahidi Kuja na slogan za kila aina, ila wanakwepa slogan moja tu ambayo ndiyo suluhisho la kila kitu. Slogani yenyewe ni simple tu "HAKI KWA WOTE"
 
Nimependa Hii Falsafa ya Katibu mkuu wa CCM Kwamba anapenda Wasema kweli, anapenda Wachapakazi na anapenda Wazalendo

Kwa kifupi Hii inaitwa Kweli, Kazi na Uzalendo ( KKU)

Kwenye Kweli yupo Mungu

Kwenye Kazi upo Utu

Kwenye Uzalendo ipo Nchi

Mungu wa mbinguni mbariki Dr Nchimbi
Mwambie amwambie ukweli bosi wake kwamba nchi imemshinda, aachie ngazi asiendelee kuwaumiza watu..
No sugar
No US dollars
No electricity
No water
No ........
 
NNimependa Hii Falsafa ya Katibu mkuu wa CCM Kwamba anapenda Wasema kweli, anapenda Wachapakazi na anapenda Wazalendo

Kwa kifupi Hii inaitwa Kweli, Kazi na Uzalendo ( KKU)

Kwenye Kweli yupo Mungu

Kwenye Kazi upo Utu

Kwenye Uzalendo ipo Nchi

Mungu wa mbinguni mbariki Dr Nchimbi
Hii nchi wajinga ndio wanatunga sera, kuna wengine wanaamini unaweza kuendeleza nchi, maisha binafsi kwa kufunga na maombi! Wengine kama huyu kenge wa CCM, anafikiri maneno au motto, vinaleta maendeleo ya uchumi! Bro the train has already left! We should wakeup and smell the coffee
 
Uzalendo Gani KIZIMKAZI anavaa saa ya million 100 na chenji.
Uku watanganyika atuna sukari n umeme.
 
Back
Top Bottom