Waziri Bashe atoa Ufafanuzi kuhusu kauli yake ya Sukari, asema itakuwepo ya kutosha Mwezi unaokuja!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,023
142,070
Kupitia Ukurasa wake wa X Waziri Bashe amefafanua kauli yake kulingana na alivyonukuriwa jana na vyombo vya habari

Waziri amesema Mwezi unaokuja kutakuwa na Sukari ya kutosha

Jumaa Mubarak 😀
 
Kupitia Ukurasa wake wa X Waziri Bashe amefafanua kauli yake kulingana na alivyonukuriwa jana na vyombo vya habari

Waziri amesema Mwezi unaokuja kutakuwa na Sukari ya kutosha

Jumaa Mubarak
Tunawahisha Sukari sababu kuna Ramadan Kareem. Hana haja ya kujieleza saana tumemuelewa.
 
Back
Top Bottom