CCM wamemsaliti Mzee Lowassa akiwa hai mpaka sasa Marehemu

Phillemon Mikael

Platinum Member
Nov 5, 2006
10,535
8,620
Askofu Bagonza amewahi kuandika Makala yake ya kifalsafa juu ya Haki ya binadamu kulia,
CCM wamekiri wenyewe kuwa walimuonea Lowassa na kuumiza roho na mwili hadi Ikafikia kumkata kwa kashfa ya kubuni ya Richmond, hadi akaamua kuhamia upinzani.

Lowassa aliamia upinzani hakuwa na madaraka lakini akawa na Faraja kubwa sana kuanzia kugombea Urais (na kushinda ambako hakutangazwa), mnakumbuka kimya kilichotawala nchi mwaka 2015 wakisubiri neno moja tu kutoka kwa Lowassa, akasema "Sitaki kuingia madarakani kwa kukanyaga dame“, mnakumbuka Magufuli hakuwa na confidence wala furaha alikuwa anajua hakushinda, hadi akaja kasisi Kutoka Nigeria TB Joshua.

Pamoja na kuwa hakushinda Lowassa alibaki na Amani na mara zote wapenzi wake walimpa Faraja kwa kumshangilia kila alipopita, huku naye akiwapungia kwa tabasamu, ndio Faraja iliyokua imebaki kwaka na mara kadhaa hata kwenye taa za barabarani akisimama vijana walikuwa wakimuona tu wanamfurahia.

Magufuli hakuwa na Amani kuona Lowassa pamoja tayari alikuwa amedhoofu anashangiliwa kila anakopita. Akaona ni lazima arudi CCM ili kuja kumuongezea nguvu, alitumia mbinu chafu ya kumkamata mdogo wake Rostam aitwaye Akram na kumpa kesi ngumu sana ambazo hazina dhamana ikiwemo kumiliki silaha za moto.

Familia ya Rostam ilichanganyikiwa ilikuwa ni kama kumteka nyara na kutaka ransom, ilibidi Rostam arudi haraka kuja kuhanghaika mdogo wake asifungwe maisha, sasa mchezo ulianzia hapo.

Magufuli alimdai price tag moja hadi nyingine na akatimiza baada ya kufanya kila kitu akamdai “Kichwa cha Lowassa“, mahojiano anayotoa Rostam kuwa yeye ndiye aliyemrudisha Lowassa CCM yana Siri kuu ambayo yeye anaongea Leo kwakuwa lowassa hayupo kusema ukweli

Lowassa alichukuliwa nyumbani kwake kirafiki na Rostam akaibukia kwa magufuli na akashangaa sana anatoka nje anakutana na waandishi wa habari wanamuuliza anajionaje kurudi CCM (watu wa karibu waliokuwapo pale Lumumba wanasema Lowassa hakutaka kumjibu kuwa amekubali bali alitumia mbinu ya kidiplomasia kumuambia Magufuli kuwa anaoamba apewe muda kidogo wa tafakari ikiwemo kushirikisha familia, lakini haikuwa hivyo alijikuta anatoka mlangoni waandishi wa habari wamemzonga na yeye alijua ni kikao cha siri tu, alijibu maneno mawili tu, ”Nimerudi nyumbani“ , na kuanzia siku hiyo akaingia kwenye maisha ya ukimya.

Hali ilikuwa mbaya zaidi nyumbani kwake alirudi akakuta mkewe na watoto wanalia kwa kitendo cha yeye kuchukua Maamuzi Magumu sana kwa watu waliomtesa hata kiafya bila hata kuwashirikisha, akabaki na kazi ya kuanza kuwabembeleza, walikuwapo watu nyumbani kwake na wanakumbuka hiyo hali.

Maisha ya lowassa baada ya kurudishwa ccm yakawa ya upweke mkuu , wapenzi wake ambao walikuwa wakimfurahia kila walipomuona nao kama familia wakaona amewacha bila hata kauli ….Lowassa akaanza kujitenga , akawa hata akifika sehemu zenye vijana waliokuwa wakimpa Faraja ya kumtia Moyo kwa kumshangilia anafunga kiooo hataki tena wamuone …atawaambia nini ….kavuliwa nguo ….simanzi hii ikamuweka mbali na watu akaanza kuugua hadi kifo ….watu wake walibaki kumpenda walitaka tu kumsikia Aawaambie mbona aliondoka bila kuwaaaga na hakuwahi Kufungua mdomo wake hadi alipokata kauli ….kafa na MENGI moyoni .

Lowassa sasa amefariki na wale waliomsababishia maamuzi wameamua kuwachagulia wanafamilia hadi watu wa kulia nao, leo amekua mtu wa maana sana na hawataki yeyote asogelee kwenye kipaza sauti kutoa pole ambaye hawamtaki.

Msibani waliomtesa na kumdhihaki ndio wakawa wamejipa haki ya kulia machozi ya simba, huo ni usaliti mwingine. Huyu aliyelala hakuwa mtu wa kubagua, hata alipokua CCM alikuwa anakaribisha nyumbani kwake watu wa vyama vyote kula na kufurahi nao, hakuwahi kumbagua mtu yeyote.

Hata kanisani Askofu Mkuu naye amejeuka kuwa sehemu ya wabaguzi, alifikia kumtambua hadi msemaji wa CCM wa mkoa kwa jina na heshima huku asiwaone wale ambao hawatakiwi kuonekana wala kutajwa.

Lowassa hajatendewa Haki akiwa hai na sasa akiwa ni Marehemu.

Pumzika kwa amani Edward Ngoyai Lowassa, umeteseka na kusalitiwa sana. Pumzika Baba.
 
Upumbavu mtupu,kichwa cha habari Lowassa against CCM,

Maudhui yametawaliwa na jina la Magufuli
 
PAMOJA na kuwa hakushinda Lowassa alibaki na Amani na Mara zote wapenzi wake walimpa Faraja kwa kumshangilia kila alipopita , huku naye akiwapungia kwa tabasamu ….ndio Faraja iliyokua imebaki kwaka …na Mara kadhaa hata kwenye Taa za barabarani akisimama vijana walikuwa wakimuona tu wanamfurahia
Lowasa hakuwa na amani yoyote walimnyosha hadi akarudi ccm bila kutaka.

Kwanza nilifurahi Lowasa kupigwa chini matokeo kwa sababu ile Katiba mbovu aliyoamini itamsaidia Kushinda ndio ilimpa Nguvu Rais JPM hadi akamzuia Lowasa kwenda Mazishi Mwanza.

Ile ilikuwa ni pigo takatifu kwa Lowasa ili wanafiki wengine wajifunze.

Kifupi ni kuwa Shimo alilochimbia wengine aliangukia mwenyewe.

Kwa miaka mingi tunahubiri kuw Katba ni Mbovu na inatoa Mamlaka kwa mtu mmoja kufanya anavyotaka Lowasa hakuwahi kuamini hivyo mpaka ushindi ukamtoka mdomoni.

Kwa Katiba Yetu hata Tale Tale akitangazwa Ushindi wa Urais utaona jinsi Akina Mwigulu na ma-IGP watakavyomwabudu hutaamini. Hata kama hajashinda.
 
Kwa Taletale umeenda mbali sana ,hata Ambaruty akitangazwa kuwa Rais atawanyoosha na watamsujudia.
 
….ilibidi Rostam arudi haraka kuja kuhanghaika ndogo wake asifungwe maisha sasa mchezo ulianzia hapo …Magufuli alimdai price tag moja hadi nyingine na akatimiza baada ya kufanya kila kitu …akamdai “ kichwa cha Lowassa “ , mahojiano anayotoa Rostam kuwa yeye ndiye aliyemrudisha Lowassa ccm yana Siri kuu ambayo yeye anaongea Leo kwakuwa lowassa hayupo kusema ukweli

Nchi ina nongwa sana hii...

Juzi kati nilikuwa nasikiza kipande kimoja cha audio cha zamani wakati JPM akiwa hai, kuna mchungaji mmoja alikuwa anasimulia kuwa yeye alihusika kuwakutanisha Lowassa na JPM kwa mbinu ambazo hakuzibainisha...
 
Inaskitisha sana yaani GOD PROTECT ME FROM MY FRIEND I CAN TAKE CARE OF MY ENEMIES!!!!!
 
Askofu Bagonza amewahi kuandika Makala yake ya kifalsafa juu ya Haki ya binadamu KULIA ……
CCM wamekiri wenyewe kuwa walimuonea Lowassa na kuumiza roho na Mwili hadi Ikafikia kumkata kwa kashfa ya kubuni ya RICHMOND …hadi akaamua kuhamia upinzani

Lowassa aliamia upinzani hakuwa na madaraka lakini akawa na Faraja kubwa sana kuanzia kugombea urais [ na kushinda[ ambako hakutangazwa….. mnakumbuka kimya kilichotawala nchi mwaka 2015 wakisubiri neno moja tu kutoka kwa Lowassa , akasema ‘ Sitaki kuingia madarakani kwa kukanyaga dame “ , mnakumbuka Magufuli hakuwa na confidence wala furaha alikuwa anajua hakushinda , hadi akaja kasisi Kutoka Nigeria TB Joshua.

PAMOJA na kuwa hakushinda Lowassa alibaki na Amani na Mara zote wapenzi wake walimpa Faraja kwa kumshangilia kila alipopita , huku naye akiwapungia kwa tabasamu ….ndio Faraja iliyokua imebaki kwaka …na Mara kadhaa hata kwenye Taa za barabarani akisimama vijana walikuwa wakimuona tu wanamfurahia

Magufuli hakuwa na Amani kuona Lowassa Pamoja tayari alikuwa amedhoofu anashangiliwa kila anakopita …Akaona ni lazima arudi ccm ili kuja kumuongezea nguvu …., alitumia mbinu chafu ya kumkamata mdogo wake Rostam aitwaye AKRAM …na kumpa kesi ngumu sana ambazo hazina dhamana ikiwemo kumiliki silaha za moto, familia ya Rostam ilichanganyikiwa ilikuwa ni kama kumteka nyara na kutaka ransom….ilibidi Rostam arudi haraka kuja kuhanghaika ndogo wake asifungwe maisha sasa mchezo ulianzia hapo …Magufuli alimdai price tag moja hadi nyingine na akatimiza baada ya kufanya kila kitu …akamdai “ kichwa cha Lowassa “ , mahojiano anayotoa Rostam kuwa yeye ndiye aliyemrudisha Lowassa ccm yana Siri kuu ambayo yeye anaongea Leo kwakuwa lowassa hayupo kusema ukweli

Lowassa alichukuliwa nyumbani kwake kirafiki na Rostam akaibukia kwa magufuli …na Akashangaa sana anatoka nje anakutana na waandishi wa habari wanamuuliza anajionaje kurudi ccm [ watu wa karibu waliokuwapo pale Lumumba wanasema Lowassa hakutaka kumjibu kuwa amekubali Bali alitumia mbinu ya kidiplomasia kumuambia Magufuli kuwa anaoamba Apewe muda kidogo wa Tafakari ikiwemo kushirikisha familia …lakini haikuwa hivyo alijikuta anatoka Mlangoni waandishi wa habari wamemzonga na yeye alijua ni kikao cha Siri tu ….alibu MANENO Mawili tu ,” NIMERUDI NYUMBANI “ , na kuanzia siku hiyo akaingia kwenye maisha ya ukimya ….hali ilikuwa mbaya zaidi nyumbani kwake alirudi akakuta mkewe na watoto wanalia kwa kitendo cha yeye kuchukua Maamuzi Magumu sana kwa watu waliomtesa hata kiafya bila Hata kuwashirikisha , akabaki na kazi ya kuanza kuwabembeleza ….walikuwapo watu nyumbani kwake na wanakumbuka hiyo Hali

Maisha ya lowassa baada ya kurudishwa ccm yakawa ya upweke mkuu , wapenzi wake ambao walikuwa wakimfurahia kila walipomuona nao kama familia wakaona amewacha bila hata kauli ….Lowassa akaanza kujitenga , akawa hata akifika sehemu zenye vijana waliokuwa wakimpa Faraja ya kumtia Moyo kwa kumshangilia anafunga kiooo hataki tena wamuone …atawaambia nini ….kavuliwa nguo ….simanzi hii ikamuweka mbali na watu akaanza kuugua hadi kifo ….watu wake walibaki kumpenda walitaka tu kumsikia Aawaambie mbona aliondoka bila kuwaaaga na hakuwahi Kufungua mdomo wake hadi alipokata kauli ….kafa na MENGI moyoni .

Lowassa sasa amefariki na wale waliomsababishia maamuzi wameamua kuwachagulia wanafamilia hadi watu wa kulia nao ….leo Amekua mtu wa maana sana na hawataki yeyote asogelee kwenye Kipaza Sauti kutoa pole ambaye hawamtaki …., Msibani waliomtesa na kumdhihaki ndio wakawa wamejipa haki ya kulia MASHOZI YA SIMBA ….huo ni usaliti mwingine …huyu aliyelala hakuwa mtu wa kubagua …hata alipokua CCM alikuwa anakaribisha nyumbani kwake watu wa vyama vyote kula na kufurahi nao …hakuwahi kumbagua mtu yeyote

Hata kanisani Askofu Mkuu naye amejeuka kuwa sehemu ya wabaguzi …Alifikia kumtambua hadi msemaji wa CCM wa mkoa kwa jina na heshima huku asiwaone wale ambao hawatakiwi kuonekana wala kutajwa…

Lowassa hajatendewa Haki Akiwa hai na Sasa Akiwa ni Marehemu ….

PUMZIKA KWA AMANI EDWARD NGOYAI LOWASSA UMETESEKA NA KUSALITIWA SANA …PUMZIKA BABA
Kwamba ni uongo kuwa Akram hakuwa akifanya uhalifu? Hakuwa akimiliki hizo silaha? JPM kweli alikuwa dikteta ila wengi waliokamatwa kwa kesi za uhujumu walikuwa wahujumu kweli. Ni watu waliokuwa hawagusiki kwenye awamu ya 4.
 
Yeye mwenyewe alikuwa anajua hilo. We ni nani upinge

Nini 2015 ///? Hata 2020 Magufuli hakushinda ….Kama unamjua mtu yeyote wa mfumo wa ndani anayekuamini muulize…….., ccm chini ya magufuli waliamua kupora uchaguzi wa 2020 baada ya Matokeo yaliyomfikia magufuli ya Awale kuonyesha anashindwa vibaya ….alipaniki sana Akatoa maelekezo Maalum ya vitisho ya kutaka Kila Wilaya yeye ndiye awe mshinda wa Jumaa …..hii ilipelekea NEC Makau Makau kuweka tu numbers na asilimia ndio maana Matokeo baadhi ya Wilaya yakafanana kuanzia asilimia na idadi …na Mara nyingine kura zikawa nyingi kuliko hata idadi ya wapiga kura wa jimbo husika ….
Waliiba kura hadi wakasahau kuwa kwa Sheria za Mabunge ya kidemikrasia kuna mahitaji ya kuwa na over sight committees bungeni zinazoongozwa na wapinzani

Kina Mdee wale na wenzao walitekwa na kudhalilishwa wakapigwa picha na kuambiwa wakisema lolote zitaachiliwa….halafu ndio Wakapewa na pesa za kutosha ……… kama unakumbuka Mbowe alisema alimchukua Mdee akaenda naye Nairobi akambembeleza usiku mzima wakiwa na Bulaya aseme kuna nini kilitokea hakuweza kumjibu zaidi ya kulia tu .
 
Yule Mkurugenzi wa tume ya uchaguzi Mahera anayefanana na magufuli kama mwanaye alikuwa akapewa maelekezo na alichoffanya akajifungia ndani yeye na watu wake wachache wa IT wakapika Matokeo ya nchi nzima …..ndio maana kuna makoba MENGI saaana ya tarakimu na asilimia
 
Kwamba ni uongo kuwa Akram hakuwa akifanya uhalifu? Hakuwa akimiliki hizo silaha? JPM kweli alikuwa dikteta ila wengi waliokamatwa kwa kesi za uhujumu walikuwa wahujumu kweli. Ni watu waliokuwa hawagusiki kwenye awamu ya 4.

Kama ni kweli alikuwa muwindaji haramu wangemfunga na sio kutumia makosa yake kama na kumfanya hostage ili kumfanya kaka yake “alipe” , so simply Rostam tunamuelewa hakuwa na la kufanya zaidi ya kukubali masharti .
 
Yule Mkurugenzi wa tume ya uchaguzi Mahera anayefanana na magufuli kama mwanaye alikuwa akapewa maelekezo na alichoffanya akajifungia ndani yeye na watu wake wachache wa IT wakapika Matokeo ya nchi nzima …..ndio maana kuna makoba MENGI saaana ya tarakimu na asilimia
Duh!.
 
Askofu Bagonza amewahi kuandika Makala yake ya kifalsafa juu ya Haki ya binadamu kulia,
CCM wamekiri wenyewe kuwa walimuonea Lowassa na kuumiza roho na mwili hadi Ikafikia kumkata kwa kashfa ya kubuni ya Richmond, hadi akaamua kuhamia upinzani.

Lowassa aliamia upinzani hakuwa na madaraka lakini akawa na Faraja kubwa sana kuanzia kugombea Urais (na kushinda ambako hakutangazwa), mnakumbuka kimya kilichotawala nchi mwaka 2015 wakisubiri neno moja tu kutoka kwa Lowassa, akasema "Sitaki kuingia madarakani kwa kukanyaga dame“, mnakumbuka Magufuli hakuwa na confidence wala furaha alikuwa anajua hakushinda, hadi akaja kasisi Kutoka Nigeria TB Joshua.

Pamoja na kuwa hakushinda Lowassa alibaki na Amani na mara zote wapenzi wake walimpa Faraja kwa kumshangilia kila alipopita, huku naye akiwapungia kwa tabasamu, ndio Faraja iliyokua imebaki kwaka na mara kadhaa hata kwenye taa za barabarani akisimama vijana walikuwa wakimuona tu wanamfurahia.

Magufuli hakuwa na Amani kuona Lowassa pamoja tayari alikuwa amedhoofu anashangiliwa kila anakopita. Akaona ni lazima arudi CCM ili kuja kumuongezea nguvu, alitumia mbinu chafu ya kumkamata mdogo wake Rostam aitwaye Akram na kumpa kesi ngumu sana ambazo hazina dhamana ikiwemo kumiliki silaha za moto.

Familia ya Rostam ilichanganyikiwa ilikuwa ni kama kumteka nyara na kutaka ransom, ilibidi Rostam arudi haraka kuja kuhanghaika mdogo wake asifungwe maisha, sasa mchezo ulianzia hapo.

Magufuli alimdai price tag moja hadi nyingine na akatimiza baada ya kufanya kila kitu akamdai “Kichwa cha Lowassa“, mahojiano anayotoa Rostam kuwa yeye ndiye aliyemrudisha Lowassa CCM yana Siri kuu ambayo yeye anaongea Leo kwakuwa lowassa hayupo kusema ukweli

Lowassa alichukuliwa nyumbani kwake kirafiki na Rostam akaibukia kwa magufuli na akashangaa sana anatoka nje anakutana na waandishi wa habari wanamuuliza anajionaje kurudi CCM (watu wa karibu waliokuwapo pale Lumumba wanasema Lowassa hakutaka kumjibu kuwa amekubali bali alitumia mbinu ya kidiplomasia kumuambia Magufuli kuwa anaoamba apewe muda kidogo wa tafakari ikiwemo kushirikisha familia, lakini haikuwa hivyo alijikuta anatoka mlangoni waandishi wa habari wamemzonga na yeye alijua ni kikao cha siri tu, alijibu maneno mawili tu, ”Nimerudi nyumbani“ , na kuanzia siku hiyo akaingia kwenye maisha ya ukimya.

Hali ilikuwa mbaya zaidi nyumbani kwake alirudi akakuta mkewe na watoto wanalia kwa kitendo cha yeye kuchukua Maamuzi Magumu sana kwa watu waliomtesa hata kiafya bila hata kuwashirikisha, akabaki na kazi ya kuanza kuwabembeleza, walikuwapo watu nyumbani kwake na wanakumbuka hiyo hali.

Maisha ya lowassa baada ya kurudishwa ccm yakawa ya upweke mkuu , wapenzi wake ambao walikuwa wakimfurahia kila walipomuona nao kama familia wakaona amewacha bila hata kauli ….Lowassa akaanza kujitenga , akawa hata akifika sehemu zenye vijana waliokuwa wakimpa Faraja ya kumtia Moyo kwa kumshangilia anafunga kiooo hataki tena wamuone …atawaambia nini ….kavuliwa nguo ….simanzi hii ikamuweka mbali na watu akaanza kuugua hadi kifo ….watu wake walibaki kumpenda walitaka tu kumsikia Aawaambie mbona aliondoka bila kuwaaaga na hakuwahi Kufungua mdomo wake hadi alipokata kauli ….kafa na MENGI moyoni .

Lowassa sasa amefariki na wale waliomsababishia maamuzi wameamua kuwachagulia wanafamilia hadi watu wa kulia nao, leo amekua mtu wa maana sana na hawataki yeyote asogelee kwenye kipaza sauti kutoa pole ambaye hawamtaki.

Msibani waliomtesa na kumdhihaki ndio wakawa wamejipa haki ya kulia machozi ya simba, huo ni usaliti mwingine. Huyu aliyelala hakuwa mtu wa kubagua, hata alipokua CCM alikuwa anakaribisha nyumbani kwake watu wa vyama vyote kula na kufurahi nao, hakuwahi kumbagua mtu yeyote.

Hata kanisani Askofu Mkuu naye amejeuka kuwa sehemu ya wabaguzi, alifikia kumtambua hadi msemaji wa CCM wa mkoa kwa jina na heshima huku asiwaone wale ambao hawatakiwi kuonekana wala kutajwa.

Lowassa hajatendewa Haki akiwa hai na sasa akiwa ni Marehemu.

Pumzika kwa amani Edward Ngoyai Lowassa, umeteseka na kusalitiwa sana. Pumzika Baba.
hayo yatabaki ni maoni na mitazamo ya waombolezaji wachache wasio na Imani au wenye Imani haba 🐒

Mzee ENL ameumaliza mwendo, Imani ameilinda apumzike kwa Amani....

Porojo na story za eti ilikua hivi ama vile hazina umuhimu wowote.

Mzee tunamuhifadhi kwa nyumba yake ya Milele kesho, tumwache apumzike kwa Amani.
Hakuna haja ya kuiumiza familia yake yenye Imani kwa Mungu na hizi motional scripts sizizo na ulazima...

R I P Laigwanan comrade ENL
 
Kama ni kweli alikuwa muwindaji haramu wangemfunga na sio kutumia makosa yake kama na kumfanya hostage ili kumfanya kaka yake “alipe” , so simply Rostam tunamuelewa hakuwa na la kufanya zaidi ya kukubali masharti .
Mkuu kwanini mnaruka hiyo ishu ya uwindaji haramu na kukimbilia kumlaumu Magu? Halafu suala la kufungwa lisikie tu.. ikimkuta ndugu yako lazima utafanya kila namna kumnasua.. hata majambazi yanaogopa jela.
 
Back
Top Bottom