Kuelekea Maandamo Arusha Feb 27: Tuwape pongezi na kuwatia shime wote wajitoao kuipigania nchi hii

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,879
35,888
Kuelekea Februari 27 kwenye maandamano ya Arusha, tuwape pongezi na kuwatia shime wote wajitoao kuipigania nchi hii.

Kuipigania nchi ni jukumu takatifu, kwa hakika tuwape pongezi mashujaa wetu:


Ni wazi kuwa umoja wetu hatimaye, utaikomboa nchi hii:

Maandamano Mbeya, Mwanza umoja wetu umesikika

Tuko kwenye njia sahihi ambayo bila shaka ni mwiba mchungu mno, kwa ma CCM na vibaraka zao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom