Mzee wetu Rais wa Awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi anaendeleaje? Watanzania tunamuombea

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
5,721
10,220
Mzee wetu na Baba/ Babu wa Watanzania wengi Dr. Ali Hassan Mwinyi tulitangaziwa ya kwamba yu mgonjwa, na akakimbizwa hospitali kwa matibabu ya kifua.

Tangu tumetangaziwa hivyo hatujapata mrejesho wa afya ya Mzee wetu.

Woto wangu kwenu ndugu zanguni Watanzania wenzangu, tuendelee kusugua goti, Mungu amponye Mzee wetu
 
Yaani akili za waTanzania zimeenda ni kama hawajitambui mambo
Nyingine zinatakiwa kuachwa zilivyo maisha iende.
 
Tunamuombea mzee wetu afya njema.

Huyu ndiye kwa uwezo wa Mungu alietutoa gizani na tukaanza kuishi kama binaadamu sio kupoteza siku nzima kwenye foleni ya kipande cha sabuni na bidhaa nyingine muhimu.

Sent from my BLA-L29 using JamiiForums mobile app
Nyerere aliingiza nchi kwenye uchawi na ushirikina na laana, hadi kutuletea mwenge
 
Badala ya kujadili Samia aondoke madarakani kwa kulidanganya taifa kuwa mgawo wa umeme utaisha mwezi machi, mnajadili maisha ya mtu. Pathetic!
 
Mzee wetu na Baba/ Babu wa Watanzania wengi Dr. Ali Hassan Mwinyi tulitangaziwa ya kwamba yu mgonjwa, na akakimbizwa hospitali kwa matibabu ya kifua.

Tangu tumetangaziwa hivyo hatujapata mrejesho wa afya ya Mzee wetu.

Woto wangu kwenu ndugu zanguni Watanzania wenzangu, tuendelee kusugua goti, Mungu amponye Mzee wetu
Endeleeeni.
 
Akufe tu mana kama kuishi kaishi sana.
 
Back
Top Bottom