Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Watalaam wa mafuta na gesi Tanzania: Waishauri serikali juu ya ongezeko la bei za mbolea, mafuta ya petroli na dizeli nchini. Kuhusu kupanda kwa bei za mafuta ya petroli na dizeli, mtaalam wa...
3 Reactions
66 Replies
6K Views
Hello dear colleagues JF members. I love you all. I hope you all are doing well. Today I feel like sharing with you something very special. This is about the meaning of the name Busokelo...
18 Reactions
24 Replies
3K Views
Mabadiliko ya baraza la mawaziri yamethibitisha nia ya dhati ya Mh. Samia kuongeza kasi ya serikali kuwatumikia wananchi na kuchochea maendeleo ili kufikia dira ya maendeleo ya Taifa 2025. Katika...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Bungeni - Dodoma Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent L. Bashungwa(Mb) amemshukuru Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kumuamini na ameahidi kudhibiti na kupambana na Rushwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Natazama ni mtu ambaye umtazamapo uwezi amini alilonalo moyoni. Ni nadhifu na makini. Ghafla nikaona amejawa na roho ya kuondoa uwanadamu. Amejaa uangamizi hata kwa wale walio karibu yake. Yeye...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Watanzania badala ya kukaa na Waarabu vizuri Ili watuuzie mafuta Kwa bei chee ,watu mkaanza kuwatukana,Kuwasimanga,Kuwabagua na kuwafukuza kwamba hamuwataki Kwa sababu nyingi zisizo na msingi...
17 Reactions
103 Replies
5K Views
Unaweza kujiuliza kwanini TEC wakachagua kuusoma waraka wa kupinga kugawa bandari za Tanganyika kwa DPW kwa wiki sita na si pungufu ama zaidi? Hili limekaa kiroho na kihesabu zaidi.. Dunia...
34 Reactions
195 Replies
12K Views
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 12, Kikao cha 7, leo Septemba 6, 2023. https://www.youtube.com/live/bq7vVQk90kA?feature=shared Madaktari Bingwa wazalendo Nchini Tanzania...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
UFAFANUZI WA TAARIFA ILIYOCHAPISHWA KWENYE UKURASA WA JAMII FORUM TAREHE 17.03.2019 KUHUSU EWURA CCC Tarehe 17.03.2019 kuna mdau ameandika taarifa inayolenga ama kwa kufahamu ama kwa kutokufahamu...
2 Reactions
3 Replies
4K Views
Itatuchukua miaka mingi sana kuja kumpata mtu kama Hayati Magufuli tena. Yule Mzee alitaka nchi hii inyooke na kurudi kwenye mstari wa walio wengi kunufaika na raslimali zetu,tofauti na sasa...
12 Reactions
40 Replies
2K Views
Ni wazi kabisa kwamba Serikali ya CCM haina nia thabiti kutuletea katiba mpya kabla ya uchaguzi mkuu 2025. Kama ni elimu kwa raia,tayari raia walikwishaipata kupitia tume ya Jaji warioba na hata...
1 Reactions
7 Replies
941 Views
Mimi katika uzee wangu na ingawa siyo mwanasheria nasema majaji wetu waliotoa hukumu ya mkataba wa DP World huko mbeya sina hakika kama wanao uelewa wa kutosha juu ya ukuu wa mamlaka ya muhimili...
12 Reactions
25 Replies
3K Views
Wamiliki, akiwemo Thomas Dan Friedkin, na uongozi wa kampuni ya Mwiba Holdings Limited wanakanusha taarifa za uongo zilizotolewa kwenye mikutano a hadhara ya kisiasa iliyofanyika Agosti 11, 25 na...
3 Reactions
70 Replies
7K Views
============================================== Kwa ufupi (quotes) "Immediate baada ya hukumu tarehe 10/8/2023, mara moja tulianza mchakato wa kukata rufaa kwa kuiandikia mahakama barua ya kuomba...
3 Reactions
1 Replies
709 Views
Kila mara rais anafanya mabadiliko ya baraza la mawazri, lkn hakuna tija yoyote ambayo inaonekana. Mfano, sasa upatikanaji wa umemme ndiyo shida kabisa. Ni kama sasa tuna blackout Tanga tangu...
6 Reactions
30 Replies
2K Views
Kila nikitazama jinsi Mchakato wa Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi inavyosua sua huku muda bado upo nashangaa sana.. Dkt. Samia Suluhu Hassani ni mpenda haki na juu ya yote ni Mwislam...
1 Reactions
10 Replies
855 Views
SALAAM! Hapa niko Kakonko - Kigoma kusema kweli ukosefu wa mafuta umekwamisha shughuli nyingi za kijamii na kiuchumi. Nachotaka kufahamu ukosefu wa mafuta nchini Serikali ndiyo ilaumiwe...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Nikiwa mdogo kijijini kwetu ngulugulu huko wilaya ya ileje Babu yangu alinifundisha namna nzuri ya kumkamua ng'ombe maziwa, nilipewa mbinu kwamba kuna ng'ombe wastaarabu, hauhitaji kumfunga kamba...
0 Reactions
2 Replies
470 Views
Dr Kesho: Naomba kutoa Shukrani kuniunga Huku ila kwasasa sihitaji kuwa magroup yoyote ya Kisiasa Wala kijamii Sitaki Siasa. Mwenyekiti aliyepita: Samahani ndugu zangu, Mie siyo mwanachama wa CCM...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Nilikuwa na mafuta kidogo kwenye gari. Nimezunguka vituo kibao mafuta hakuna, nimeahirisha safari muhimu. Afadhali mzuge zuge mafuta yapatikane wiki ijayo. Kama endapo mafuta yatapatika kesho...
8 Reactions
43 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…