Nje ya CHADEMA, Zitto hajawahi kuwa maarufu, atakumbukwa kwa yale mema aliyofanya akiwa CHADEMA

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,978
141,996
Nje ya CHADEMA, Zitto Kabwe hajawahi kufanya maajabu yoyote, hata Bungeni hajafanikiwa kupeleka Mbunge yoyote ukiondoa wale Wapemba ambao hata wangekuwa Chauma wangeshinda huko Pemba.

Ila akiwa CHADEMA Mh. Zitto Kabwe alifanikiwa kumpeleka Bungeni Bi. Ruyagwa ambaye ni dada yake. Kadhalika aliibua Ufisadi wa Buzwagi na kujipatia umaarufu mkubwa.

Hadi sasa Zitto Kabwe anabebwa na CHADEMA kihistoria, siyo ACT Wazalendo.

Mfungapo Msiwe kama wanafiki!

Kwaresma Njema 😄
 
ni kweli, zitto amezidi kufifia na kupauka kisiasa, amepoteza mvuto na ushawishi, ushujaa umebaki kwao kigoma tu, ndo maana zile ndoto za kutaka uraisi ameziahirisha.
hv kwa sasa act wana ajenda gani? mbona kimedorora na ndo tuliambiwa kinakuja kumreplace chadema.
 
Nje ya CHADEMA, Zitto Kabwe hajawahi kufanya maajabu yoyote, hata Bungeni hajafanikiwa kupeleka Mbunge yoyote ukiondoa wale Wapemba ambao hata wangekuwa Chauma wangeshinda huko Pemba.

Ila akiwa CHADEMA Mh. Zitto Kabwe alifanikiwa kumpeleka Bungeni Bi. Ruyagwa ambaye ni dada yake. Kadhalika aliibua Ufisadi wa Buzwagi na kujipatia umaarufu mkubwa.

Hadi sasa Zitto Kabwe anabebwa na CHADEMA kihistoria, siyo ACT Wazalendo.

Mfungapo Msiwe kama wanafiki!

Kwaresma Njema 😄

Ramli chonganishi bakini nazo mboga mboga huko.

Hatudanganyiki!
 
Nje ya CHADEMA, Zitto Kabwe hajawahi kufanya maajabu yoyote, hata Bungeni hajafanikiwa kupeleka Mbunge yoyote ukiondoa wale Wapemba ambao hata wangekuwa Chauma wangeshinda huko Pemba.

Ila akiwa CHADEMA Mh. Zitto Kabwe alifanikiwa kumpeleka Bungeni Bi. Ruyagwa ambaye ni dada yake. Kadhalika aliibua Ufisadi wa Buzwagi na kujipatia umaarufu mkubwa.

Hadi sasa Zitto Kabwe anabebwa na CHADEMA kihistoria, siyo ACT Wazalendo.

Mfungapo Msiwe kama wanafiki!

Kwaresma Njema 😄
Hawezi kuwa maarufu ndani ya ACT kwasababu ajenda kuu ndani ya chama hicho cha Kipemba ni uhuru wa Zanzibar.

Ukiwa ndani ya ACT kama wewe si mpemba umekwisha.
 
Back
Top Bottom