Hivi kweli Rais ameamua kuziba masikio kuhusu taarifa ya CAG hadi leo kimya kweli CCM hatari kwa nchi

RWANDES

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,615
3,909
Ndugu zangu ikumbukwe kuwa taarifa ya CAG iliibua madudu makubwa serikalini hadi kupelekea mbunge wa kisesa luhaga mpina kufikia kuwataja hadharani mawaziri wanaohusika katika wizara zao pamoja na hayo yote mbunge aneambulia matusi na kejeri baadhi ya chawa WA mama hata raisi mwenyewe hakuna alichokifanya kuhusu taarifa hiyo namuona anachoma mawingu Kila baada ya mwezi taarifa hiyo imetupwa kwenye takataka Hana habari nayo.

Mbunge wa kisesa hadi Leo Hana amani na maisha yake kwa kauli alizokuwa akiongea za kuikosoa serikali.
Chakujiuliza lini tutaendekea watanzania kuibiwa fedha za umma na mikataba mibovu na hawa fisi wa ccm maana neno fisi kikwete mwenyewe alituambia kwenye chama kuna mafisi lakini kwa kutazama chama hicho naona wote NI fisi cake ya nchi wanajinufaisha baadhi ya kikundi kidogo ndani ya CCM jambo linalofanya miradi mingi ya maendeleo kutoenda kwa Kasi.

Leo hii serikali niyakuanza kupambana na hospitali binafisi kweli eti kwa kutotia huduma kwa wananchi hivi inafikri huduma zinaweza kutokeaa bure NHIF viongozi wamejikopesha mabilion ya pesa. Halafu serikali itake huduma bure.
 
Ndugu zangu ikumbukwe kuwa taarifa ya CAG iliibua madudu makubwa serikalini hadi kupelekea mbunge wa kisesa luhaga mpina kufikia kuwataja hadharani mawaziri...
umeme na sukari imebaki historia dah 🐒

hii serikali inawajulia na kuwaelewa sana wanainchi wake aise 🐒
 
Ndugu zangu ikumbukwe kuwa taarifa ya CAG iliibua madudu makubwa serikalini hadi kupelekea mbunge wa kisesa luhaga mpina kufikia kuwataja...
Hizo ni dharau,

Pesa hizo hizo zilizokwapuliwa ndizo zinaenda kutumika kuhadaa wapigakura uchaguzi zijazo,

Kuna pikipiki zaidi ya 1000 zimenunuliwa Kwa Kila Kanda Ili zikagaiwe kwenye vikundi vya bodaboda kutafuta kura.

Yaani nguruwe anajikaanga Kwa mafuta yake mwenyewe 😪
 
Wakuu huu mnyororo uliotengenezwa na ccm Kula cake ya taifa hasa kikundi kidogo kilichopo utavunjika Vipi maana Hilo kundi bila kusambaratishwa tusahau maendeleo nchini , wanaweza wanafanya lakini si kwa kasi tunayoitaka, Hilo kundi Mimi nipo tayari kupambana nao iwe juwa mvua usiku na mchana na muomba mungu Kila siku siku inakuja Tanzania kuwa mikono salaama
 
Ndugu zangu ikumbukwe kuwa taarifa ya CAG iliibua madudu makubwa serikalini hadi kupelekea mbunge wa kisesa luhaga mpina kufikia kuwataja hadharani mawaziri wanaohusika katika wizara zao pamoja na hayo yote mbunge aneambulia matusi na kejeri baadhi ya chawa WA mama hata raisi mwenyewe hakuna alichokifanya kuhusu taarifa hiyo namuona anachoma mawingu Kila baada ya mwezi taarifa hiyo imetupwa kwenye takataka Hana habari nayo.

Mbunge wa kisesa hadi Leo Hana amani na maisha yake kwa kauli alizokuwa akiongea za kuikosoa serikali.
Chakujiuliza lini tutaendekea watanzania kuibiwa fedha za umma na mikataba mibovu na hawa fisi wa ccm maana neno fisi kikwete mwenyewe alituambia kwenye chama kuna mafisi lakini kwa kutazama chama hicho naona wote NI fisi cake ya nchi wanajinufaisha baadhi ya kikundi kidogo ndani ya CCM jambo linalofanya miradi mingi ya maendeleo kutoenda kwa Kasi.

Leo hii serikali niyakuanza kupambana na hospitali binafisi kweli eti kwa kutotia huduma kwa wananchi hivi inafikri huduma zinaweza kutokeaa bure NHIF viongozi wamejikopesha mabilion ya pesa. Halafu serikali itake huduma bure.
Maisha ya Wananchi sio kipaumbele chao. Kipaumbele chao wananchi mlipe kodi, wao watapanga matumizi kama ni kuongeza ndege za viongozi, V8, posho na mishahara kwa wenza wa viongozi nk.
 
Ndugu zangu ikumbukwe kuwa taarifa ya CAG iliibua madudu makubwa serikalini hadi kupelekea mbunge wa kisesa luhaga mpina kufikia kuwataja hadharani mawaziri wanaohusika katika wizara zao pamoja na hayo yote mbunge aneambulia matusi na kejeri baadhi ya chawa WA mama hata raisi mwenyewe hakuna alichokifanya kuhusu taarifa hiyo namuona anachoma mawingu Kila baada ya mwezi taarifa hiyo imetupwa kwenye takataka Hana habari nayo.

Mbunge wa kisesa hadi Leo Hana amani na maisha yake kwa kauli alizokuwa akiongea za kuikosoa serikali.
Chakujiuliza lini tutaendekea watanzania kuibiwa fedha za umma na mikataba mibovu na hawa fisi wa ccm maana neno fisi kikwete mwenyewe alituambia kwenye chama kuna mafisi lakini kwa kutazama chama hicho naona wote NI fisi cake ya nchi wanajinufaisha baadhi ya kikundi kidogo ndani ya CCM jambo linalofanya miradi mingi ya maendeleo kutoenda kwa Kasi.

Leo hii serikali niyakuanza kupambana na hospitali binafisi kweli eti kwa kutotia huduma kwa wananchi hivi inafikri huduma zinaweza kutokeaa bure NHIF viongozi wamejikopesha mabilion ya pesa. Halafu serikali itake huduma bure.
Wananchi ndio tuuendekeza wizi wa mali za umma kwa kuwachekea wezi. Uchaguzi ujao inatakiwa kuwapiga chini wezi wote bila kuangalia nyuso zao.
 
CCM ni walewale kasoro Tarehe hata Magufuli alifumba macho Taarifa ya CAG kuhusu wizi wa trilioni 1.5 na zaidi akahakikisha CAG Profesa Assad anaondolewa kazini
 
Wananchi ndio tuuendekeza wizi wa mali za umma kwa kuwachekea wezi. Uchaguzi ujao inatakiwa kuwapiga chini wezi wote bila kuangalia nyuso zao.
Kura inasaidia nin ikiwa winzi bado unafanya kazi?. Serikali niya ccm upizan wamefungiwa malango yakuingia ikulu je kura bila mfumo maalum na haki vitakua na faida gan?
 
Bunge nalo linafanya komedi kwenye ripoti za CAG. Linajifanya kupiga kelele halafu hakuna kinachofanyika.
 
Back
Top Bottom