Kero anazozitaka kusikia Rais Samia, zianzie hapahapa!

Nsanzagee

JF-Expert Member
Jun 28, 2023
1,943
4,132
1. Nani aliyewajibishwa na ile ripoti ya CAG 2022/2023?

Hii ni kero kubwa sana kwangu, kwa sababu haiwezekani kuwepo na ofsi ya mkaguzi wa mahesabu ya serikali, anayelipwa kupitia kodi za Watanzania walalahai, ili hali kazi yake inakuja kuwekwa tu kwenye makabati ya Lumbumba pale ama Dodoma

2. Misafara ya makumi ya magari yanayoongozana na Makonda,

Hii pia ni kero kubwa kwa sababu gharama zinazotumika hapo ni mateso kwa walipa kodi

3. Mgao wa umeme.

Mh Rais, hii ni zaidi ya kero, imetutia umasikini ghafula, wananchi imewalaza njaa, imeleta hasara kwenye vifaa vinavyotumia umeme kwa kuungua n.k

Hapo tunafanyeje?

4. Bima ya Afya NHIF

Hili ndo kubwa la kero mkuu, huoni kwamba wadau mmetuweka njia panda?

Naomba wadau embu tuongezeeni kero nyingine hapa
 
Kero hizotu zinawalemea hawawezi kuzitatua zaidi watatatuka wao.

NHIF linakua donda ndugu. Waziri anapigatu blaablaa.

Huyo Biteko mzigo umemuelemea wala hahimili

Hilo la Makonda ndio kabisaaaa hawawezi tembea bila machawa
 
Mtu aliyeshindwa kutatua kero moja ya umeme tu!!, Anaweza kutatua kero au kusikiliza keep za watu wazima zaidi ya 30m? Au nikuwaada wapumbavu tu.
 
Wakuu nashangaa adi leo tozo bado wanachuma ulete tozo siku hizi hawatoi taarifa au wanamalizia maghorofa...
Atwambie hizi chuma ulete aka tozo anaxipeleka wapi??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom