Angalia tofauti ya Rwanda na Tanzania kwenye masuala ya utalii. Tanzania tuna cha kujifunza kutoka Rwanda

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,464
17,305
Kwanza tuanze na takwimu za kijiografia.

Rwanda ni ndogo kuliko mko wa Tabora. Rwanda ina ukubwa wa Kilomita za mraba elfu 26, Tabora ina ukubwa wa mraba kilomita elfu 29.

Rwanda ina watu wasiozidi milioni 12. Tanzania ina watu zaidi ya milioni 61.

Rwanda haina mbuga ya wanyama wala vivutio vyovyote vya kitalii kama ilivyonavyo Tanzania lakini mwaka 2022 Rwanda ilipokea watalii milioni 1.1 huku Tanzania ikipata watalii milioni 1.6 pamoja na kua na vivutio vya utalii visivyo na Idadi.

Jana, tarehe 2.11.2023 Rwanda imetangaza kufuta visa ama kibali cha mtu yoyote kutoka Afrika kuitembelea Rwanda, kwenda Rwanda ni kama unaenda nyumbani kwako, hakuna wa kukuuliza masuala ya visa wala nini.

Rwanda inafanya matangazo ya vivutio vyao vidogo walivyonavyo kwenye klabu kubwa za mpira Duniani. Ukifika Rwanda mabango yote yanatangaza vivutio vya utalii. Tanzania kila barabara matangazo ni ya Rais Samia kuupiga mwingi.

Rwanda imekua nchi ya nne Afrika kufuta Visa kwa Waafrika wenzao ikitanguliwa na nchi nyingine kama Benin.

Je, Tanzania tuna cha kujifunza kutoka Rwanda?
 
Basi Rwanda wamefeli walitakiwa wawe na watalii hata 7M au 10M, investment ambayo Rwanda ameifanya ni kubwa sana kuliko Tanzania.

Visit Rwanda Arsenal na PSG, watu wanaofuatilia mpira ni wengi sana na pesa waliyolipa ni kubwa mno kutangaza sekta yao ya utalii nafikiri siku Tanzania ikitumia same approach itafanya maajabu, ingawa hofu yangu sisi Watanzania ni walalamishi hapo zingekuja hoja watu wanakula mlo mmoja nyie mnaenda kuwapa pesa Arsenal?

Tunapenda matokeo ila hatupendi njia zinazoleta mafanikio.
 
Kwanza tuanze na takwimu za kijiografia.

Rwanda ni ndogo kuliko mko wa Tabora. Rwanda ina ukubwa wa Kilomita za mraba elfu 26, Tabora ina ukubwa wa mraba kilomita elfu 29.

Rwanda ina watu wasiozidi milioni 12. Tanzania ina watu zaidi ya milioni 61.

Rwanda haina mbuga ya wanyama wala vivutio vyovyote vya kitalii kama ilivyonavyo Tanzania lakini mwaka 2022 Rwanda ilipokea watalii milioni 1.1 huku Tanzania ikipata watalii milioni 1.6 pamoja na kua na vivutio vya utalii visivyo na Idadi.

Jana, tarehe 2.11.2023 Rwanda imetangaza kufuta visa ama kibali cha mtu yoyote kutoka Afrika kuitembelea Rwanda, kwenda Rwanda ni kama unaenda nyumbani kwako, hakuna wa kukuuliza masuala ya visa wala nini.

Rwanda inafanya matangazo ya vivutio vyao vidogo walivyonavyo kwenye klabu kubwa za moira Duniani. Ukifika Rwanda mabango yote yanatangaza vivutio vya utalii. Tanzania kila barabara matangazo ni ya Rais Samia kuupiga mwingi.

Rwanda imekua nchi ya nne Afrika kufuta Visa kwa Waafrika wenzao ikitanguliwa na nchi nyingine kama Benin.

Je Tanzania tuna cha kujifunza kutoka Rwanda?

Yani unatoka airport Kilimanjaro unakutana na Bango la kiswahili la kuupiga Mwingi, ajabu sana aisee.
 
Tanzania gharama za kutalii humu ni kubwa mno.
 
Kuna hichi kituko inaitwa bodi ya Utalii......TANZANIA TOURIST BOARD (TTB) hawa Jamaa walitakiwa kuwa engine ya kusukuma Utalii mbele, Ila hakuna Taasisi ya Serikali inauzuzu kama hii, Jamaa wanachoangalia ni vikao na posho tu, hawana maono yoyote ya kuisaidia Serikali kupeleka Utalii mbele, kama kuna mtu keshawahi Fanya nao Kazi humu ndani anaweza kuwa shahidi mzuri.
 
Hiyo Bodi ni hopeless!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
1. Kufuta visa kwa Waafrika sidhani kama kuna faida.

2. Kuboresha namna tunavyojitangaza ni wazo zuri.

3. Tz tuna kasumba ya kumtangaza Raisi wetu kuliko tunavyoitangaza nchi na vivutio vya utalii tulivyonavyo.
Hiyo no 1 sjakuelewa Sana mkuru
 
Kwanza tuanze na takwimu za kijiografia.

Rwanda ni ndogo kuliko mko wa Tabora. Rwanda ina ukubwa wa Kilomita za mraba elfu 26, Tabora ina ukubwa wa mraba kilomita elfu 29.

Rwanda ina watu wasiozidi milioni 12. Tanzania ina watu zaidi ya milioni 61.

Rwanda haina mbuga ya wanyama wala vivutio vyovyote vya kitalii kama ilivyonavyo Tanzania lakini mwaka 2022 Rwanda ilipokea watalii milioni 1.1 huku Tanzania ikipata watalii milioni 1.6 pamoja na kua na vivutio vya utalii visivyo na Idadi.

Jana, tarehe 2.11.2023 Rwanda imetangaza kufuta visa ama kibali cha mtu yoyote kutoka Afrika kuitembelea Rwanda, kwenda Rwanda ni kama unaenda nyumbani kwako, hakuna wa kukuuliza masuala ya visa wala nini.

Rwanda inafanya matangazo ya vivutio vyao vidogo walivyonavyo kwenye klabu kubwa za moira Duniani. Ukifika Rwanda mabango yote yanatangaza vivutio vya utalii. Tanzania kila barabara matangazo ni ya Rais Samia kuupiga mwingi.

Rwanda imekua nchi ya nne Afrika kufuta Visa kwa Waafrika wenzao ikitanguliwa na nchi nyingine kama Benin.

Je, Tanzania tuna cha kujifunza kutoka Rwanda?
Ukubwa wa pua siyo wingi wa makamasi.
 
Back
Top Bottom