Mimi namuomba Mungu kila siku usiku na mchana kundi Hilo la CCM linaloiba fedha za umma lipalanganyike, siku inakuja

RWANDES

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,615
3,909
Kundi hilo dogo limekuwa mwiba mkubwa kwa nchi yetu kitu pekee wanachojuwa NI WIZI na kuunda mikataba mibovu ambayo inanufaisha wao na familia zao, nasema hayo kwa sababu kundi Hilo linajiita wanaijuwa nchi na bila wao hakuna wakutawala akadumu lazima aundiwe Zengwe , na baadhi ya viongozi kundi Hilo wanaliogopa na bila kuwa na roho ngumu huwezi kutoa maamuzi yoyote bila kuwasikiliza wao.

Mimi binafisi namuomba mungu iwe jua mvua masika usiku na mchanga mungu atajibu wote wataparanganyika nchi itakuwa mikono salaama na hata minyororo hiyo yakujitengenezea pesa kwa njia isiyo Halali itaisha amini nawaambia hata watunge Sheria gani hakuna Sheria zisizobadilika kwa manufaa ya umma , mungu wa mbinguni yupo pamoja nami.

Nchi yetu inaliwa mno na hawajali lolote na hakuna wanachokifanya Kila siku nikusifiana tu kwenye uongo.
 
Kumbe tupo wengi tunaoliombea hili kundi la kina Pablo Escobar kisambaratike
Kwa sasa linawamiliki mpaka viongozi wa dini limewaweka kwapani, vyama vya upinzani kwapani, wana harakati kwapani, waandishi wa habari kwapani.
 
✝️Amen
 
Badala ya kuomba kitu cha maana wewe unaomba kitu chepesi kabisa!
Unatakiwa kuomba wapatwe na madhila mabaya kabisa na mazito!
Waliwe na safura, mchwa na wagongwe na nyoka wenye sumu kali!
 
Kwa kuwa hufaidiki nalo,,,nadhani nawe ungekuwa umo kwenye hiyo saiko sidhani kama ungeomba ulivyoomba pia!!
 
Mungu wa mbinguni amini yupo pamoja nami na majibu hutoa
 
Nimeshangazwa sana na sheria ya mafao ya wenza wa viongozi hakika nchi hii ina fedha nyingi kuliko tunavyofikiria .Wenza watavuna mamilioni kwa mamilioni na ni kwa mujibu wa sheria
 
Kundi hilo dogo limekuwa mwiba mkubwa kwa nchi yetu kitu pekee wanachojuwa NI WIZI na kuunda mikataba mibovu ambayo inanufaisha wao na familia zao, nasema hayo kwa sababu kundi Hilo linajiita wanaijuwa nchi na bila wao hakuna wakutawala akadumu lazima aundiwe Zengwe , na baadhi ya viongozi kundi Hilo wanaliogopa na bila kuwa na roho ngumu huwezi kutoa maamuzi yoyote bila kuwasikiliza wao.

Mimi binafisi namuomba mungu iwe jua mvua masika usiku na mchanga mungu atajibu wote wataparanganyika nchi itakuwa mikono salaama na hata minyororo hiyo yakujitengenezea pesa kwa njia isiyo Halali itaisha amini nawaambia hata watunge Sheria gani hakuna Sheria zisizobadilika kwa manufaa ya umma , mungu wa mbinguni yupo pamoja nami.

Nchi yetu inaliwa mno na hawajali lolote na hakuna wanachokifanya Kila siku nikusifiana tu kwenye uongo.
Ngoja urambe asali utakuja kuukana huu uzi
 
Hii ngumu kama Ngamia kupenya kwenye tundu la sindano..
 
Kumbe tupo wengi tunaoliombea hili kundi la kina Pablo Escobar kisambaratike
Kwa sasa linawamiliki mpaka viongozi wa dini limewaweka kwapani, vyama vya upinzani kwapani, wana harakati kwapani, waandishi wa habari kwapani.
Pablo Ecober mwenyewe ni Msoger
 
Badala ya kuomba kitu cha maana wewe unaomba kitu chepesi kabisa!
Unatakiwa kuomba wapatwe na madhila mabaya kabisa na mazito!
Waliwe na safura, mchwa na wagongwe na nyoka wenye sumu kali!
Siyo poa mkuu acheni roho mbaya kutuombea mabaya. Hakuna mtu mwenye roho mbaya kama mtanzania maskini halafu ndo mwizi mkubwa hajapata tu fursa. Wote sisi watanzania ni wezi katika nafasi zetu. Kama hao nyoka wenye sumu watugonge tu wote wasibague.
 
we kichaa wangu nilikualika HIVE ukakausha
 
Mungu yupo kazini amini nakwambia watanzania wanadharauliwa Sana kwa upole wao
Mungu huyo angekuwa kazini angesha wawajibisha hao watu...

Na kama huyo Mungu yupo na ndio anaruhusu wala rushwa wawa onee watanzania wapole, Basi huyo Mungu hana msaada wowote kwa watanzania.

Badala ya watanzania kuwa wakali na hao wala rushwa mnajifariji na Mungu asiyekuwepo.
 
Kundi hilo dogo limekuwa mwiba mkubwa kwa nchi yetu kitu pekee wanachojuwa NI WIZI na kuunda mikataba mibovu ambayo inanufaisha wao na familia zao, nasema hayo kwa sababu kundi Hilo linajiita wanaijuwa nchi na bila wao hakuna wakutawala akadumu lazima aundiwe Zengwe , na baadhi ya viongozi kundi Hilo wanaliogopa na bila kuwa na roho ngumu huwezi kutoa maamuzi yoyote bila kuwasikiliza wao.

Mimi binafisi namuomba mungu iwe jua mvua masika usiku na mchanga mungu atajibu wote wataparanganyika nchi itakuwa mikono salaama na hata minyororo hiyo yakujitengenezea pesa kwa njia isiyo Halali itaisha amini nawaambia hata watunge Sheria gani hakuna Sheria zisizobadilika kwa manufaa ya umma , mungu wa mbinguni yupo pamoja nami.

Nchi yetu inaliwa mno na hawajali lolote na hakuna wanachokifanya Kila siku nikusifiana tu kwenye uongo.
Siyo tu wapalaganyike, tuwaombee wafe kabisa tena midomo ikiwa wazi
 
Back
Top Bottom