Kwa kauli ya Rais Samia kwa Hussein Mwinyi, Je kuna fukuto ktk Familia ya Hayati Mzee Mwinyi?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,133
49,864
Nitoe salamu za pole Kwa wote walioguswa na msiba wa Mzee Wetu Hayati Mwinyi Maarufu kama Mzee ruksa mtu wa watu kisima Cha hekima.

Mada : Akitoa salamu mh. Rais Samia amenukuliwa akisema hawatapenda kusikia kuna Mgogoro kwenye familia na kumtaka Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi Kusimamia heshima ya familia ya Mwinyi baada ya Baba kufariki.

Swali: Kwa Kauli hii ya Rais,Kuna Salama huko Kwenye familia hiyo ikizingatiwa tetesi za sintofahamu hapo swali?

My Take
Naona ingekuwa busara Kwa mh.Rais kumezea na kuwaita wahusika kimya kimya na kuwapa huo ujumbe aliowapa hadharani maana unatoa picha kwamba kuna jambo linaendelea.

View: https://www.instagram.com/reel/C4DTRrtC6U-/?igsh=MThkejVmbTAxZTN4ZQ==

-1161616384.jpg
1598141995.jpg
459660680.jpg
 
Sheria ya mafao ya wastaafu viongozi wakuu inaongelea mke wa marehemu mstaafu haisemi wake au waume wa marehemu kama wako wengi inatambua mmoja tu

Sasa kivumbi nani atapewa hayo mafao

Tunaona kwa baadhi ya familia mfano Familia ya Maria Nyerere analipwa lakini watoto wake hata wakubwa na wake zao na waume zao na wajukuu na vitukuu wanalundikana kwa Mama wa watu kula fao lake

Sasa je kama atapewa Mama Siti hao wengine wanakuwa wageni wa nani kwa sheria ya mafao iliyopo.Mziki unaanzia hapo.

Kuna yule mtoto wa Marehemu Mwinyi yule mbunge leo akitoa shukrani kwa niaba ya familia pale uwanja wa Amani Zanzibar alikuwa akitungua kilio kila dakika watu wakasema yule halii tu sababu ya kufiwa na baba yake analia kwa hasira kuna kitu cha hasira kinachomliza kikubwa ndani ya moyo wake sio tu uchungu wa kufiwa .Mtu mzima kama yule hawezi kuwa na uchungu kama ule kilio cha hasira kile sio cha msiba kile kwa Mwanaume

Issue ya Mali za marehemu Mwinyi ni eneo lingine nyeti kwenye familia hizo za wake wawili na watoto wao

Mama Samia kaongea kama Mama mshauri mtu mzima mwenye hekima nyingi lakini kwa kilio alichotungua yule mbunge mtoto wa Mwinyi kuna fukuto hata shukrani zilikuwa zinamkwama kooni kutoa hadi anatoka nje ya reli badala ya kuongelea tu shukrani

Lakini hayo yao serikali haina uwezo wa kuyaingilia watajuana wenyewe wakiyaanza
Ila yule mtoto wa Mwinyi ukimsoma between the lines ile hotuba katoa uwanja wa Amani pale Zanzibar kuna moto uko chini ya Majivu unafukuta
 
Nitoe salamu za pole Kwa wote waliogiswa na msiba wa Mzee Wetu Hayati Mwinyi Maarufu kama Mzee ruksa mtu wa watu kisima Cha hekima.

Akitoa salamu mh.Rais Samia amenukuliwa akisema hawatapenda kusikia kuna Mgogoro kwenye familia na kumtaka Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi Kusimamia heshima ya familia ya Mwinyi baada ya Baba kufariki.

View: https://www.instagram.com/p/C4A1qudoxFx/?igsh=OTA3Mmk3cDhkMGRr

Swali: Kwa Kauli hii ya Rais,Kuna Salama huko Kwenye familia hiyo ikizingatiwa tetesi za sintofahamu hapo swali?

My Take
Naona ingekuwa busara Kwa mh.Rais kumezea na kuwaita wahusika kimya kimya na kuwapa huo ujumbe aliowapa hadharani maana unatoa picha kwamba kuna jambo linaendelea.
View attachment 2922310View attachment 2922311View attachment 2922312

Wake wawili na kila moja ana watoto tena wakubwa moto lazima uwake kwenye mirathi

familia za kiswahili moto utawaka ingekuwa kwa wahindi au waarabu kisingewaka.Lakini familia za kiswahili wake wawili moto lazima ulipuke sababu uchumaji hutofautiana kati ya mke na mke wakiwa na marehemu. Mwingine mvivu mwingine mchapa kazi nk akikatika mume wengine huona kama kila kitu cha baba yao au mume Chao hawajui mke yupi alichapa kazi na mume zikapatikana hizo wanaziona mali za baba yao au mume

Anyway tuwaombee dua lakini fukuto litakuwepo tu halikwepeki swala linamalizikaje
 
TEAM MANGAPWANI vs MKURANGA .
 
Wabongo wengi wewe wape picha tu, watakuandikia kitabu kizima cha maneno ya kuungaunga.

Yani rais hata akisema maneno ya jumla tu ya "positive reinforcement" kama nasaha si kwa familia hii tu, bali kwa kutoa mfano wa maneno ya hekima kwa wafiwa wote, watu watayachukua na kutoa tafsiri zao zozote wanazotaka.
 
Wazee wa rami chonganishi

Ova
 
Sheria ya mafao ya wastaafu viongozi wakuu inaongelea mke wa marehemu mstaafu haisemi wake au waume wa marehemu kama wako wengi inatambua mmoja tu

Sasa kivumbi nani atapewa hayo mafao

Tunaona kwa baadhi ya familia mfano Familia ya Maria Nyerere analipwa lakini watoto wake hata wakubwa na wake zao na waume zao na wajukuu na vitukuu wanalundikana kwa Mama wa watu kula fao lake

Sasa je kama atapewa Mama Siti hao wengine wanakuwa wageni wa nani kwa sheria ya mafao iliyopo.Mziki unaanzia hapo.

Kuna yule mtoto wa Marehemu Mwinyi yule mbunge leo akitoa shukrani kwa niaba ya familia alikuwa akitungua kilio kila dakika watu wakasema yule halii tu sababu ya kufiwa na baba yake analia kwa hasira kuna kitu cha hasira kinachomliza kikubwa ndani ya moyo wake sio tu uchungu wa kufiwa .Mtu mzima kama yule hawezi kuwa na uchungu kama ule kilio cha hasira kile sio cha msiba kile kwa Mwanaume

Issue ya Mali za marehemu Mwinyi ni eneo lingine nyeti kwenye familia hizo za wake wawili na watoto wao

Mama Samia kaongea kama Mama mshauri mtu mzima mwenye hekima nyingi lakini kwa kilio alichotungua yule mbunge mtoto wa Mwinyi kuna fukuto hata shukrani zilikuwa zinamkwama kooni kutoa hadi anatoka nje ya reli badala ya kuongelea tu shukrani

Lakini hayo yao serikali haina uwezo wa kuyaingilia watajuana wenyewe wakiyaanza
Ila yule mtoto wa Mwinyi ukimsoma between the lines ile hotuba katoa uwanja wa amani kuna moto uko chini ya Majivu unafukuta
Wabongo huwa hatupoi
Hatuna ishu ndogo
 
Wabongo wengi wewe wape picha tu, watakuandikia kitabu kizima cha maneno ya kuungaun
Yani rais hata akisema maneno ya jumla tu ya "positive reinforcement" kama nasaha si kwa familia hii tu, bali kwa kutoa mfano wa maneno ya hekima kwa wafiwa wote, watu watayachukua na kutoa tafsiri zao zozote wanazotaka.
Acha kutudhalilisha wabongo wewe

Kwani wewe hukusoma shule uliishia darasa la saba au?

Secondary unapewa kichwa tu

Education is better than money .Discuss .Unaandika kitabu kwa kichwa hicho tu
 
Nitoe salamu za pole Kwa wote waliogiswa na msiba wa Mzee Wetu Hayati Mwinyi Maarufu kama Mzee ruksa mtu wa watu kisima Cha hekima.

Akitoa salamu mh.Rais Samia amenukuliwa akisema hawatapenda kusikia kuna Mgogoro kwenye familia na kumtaka Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi Kusimamia heshima ya familia ya Mwinyi baada ya Baba kufariki.

View: https://www.instagram.com/p/C4A1qudoxFx/?igsh=OTA3Mmk3cDhkMGRr

Swali: Kwa Kauli hii ya Rais,Kuna Salama huko Kwenye familia hiyo ikizingatiwa tetesi za sintofahamu hapo swali?

My Take
Naona ingekuwa busara Kwa mh.Rais kumezea na kuwaita wahusika kimya kimya na kuwapa huo ujumbe aliowapa hadharani maana unatoa picha kwamba kuna jambo linaendelea.
View attachment 2922310View attachment 2922311View attachment 2922312

Wake wawili na kila moja ana watoto tena wakubwa moto lazima uwake kwenye mirathi

familia za kiswahili moto utawaka ingekuwa kwa wahindi au waarabu kisingewaka.Lakini familia za kiswahili wake wawili moto lazima ulipuke sababu uchumaji hutofautiana kati ya mke na mke wakiwa na marehemu. Mwingine mvivu mwingine mchapa kazi nk akikatika mume wengine huona kama kila kitu cha baba yao au mume Chao hawajui mke yupi alichapa kazi na mume zikapatikana hizo wanaziona mali za baba yao au mume

Anyway tuwaombee dua lakini fukuto litakuwepo tu halikwepeki swala linamalizikaje
Ndiyo maana wakati wa kutoa heshima za mwisho pale Dar walimtaja Mama Siti tu yule mwingine hawakumtaja wakati akipita mbele ya jeneza kutoa heshima za mwisho
 
Back
Top Bottom