Wakiwa kwenye Mkutano mkubwa wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF), Rais Samia wa Tanzania na Rais William Ruto wa Kenya walitaniana kuhusu Matumizi Sahihi ya Lugha za Kiswahili na...
Huyu Askari aliyeyasema maneno haya ni wa busara sana. Mama Samia, Rais wetu- Muangalie huyu askari wako kwa jicho la husda kwa jinsi alivyotatua mgogoro huo. Nguvu na mabavu siku zote sio...
Wandugu nawasalimu,
Mh. Magufuli apitie hapa asome na anielewe pia.Naandika ujumbe huu kwa hasira na uchungu mkubwa sana, hizi habari ambazo zinashika kasi kila kukicha kwamba PPF imepokea agizo...
Kilio cha uhaba wa mafuta kinatoka kila sehemu hapa nchini ukiwacha visiwani.
Wakati Makamba anaingia wizarani alikuta wananch tumetulia kwani upatikanaji wa mafuta ulikuwa ni kawaida.
Ameingia...
Nchi za Kiafrika ikiwemo Tanzania , zinatazamiwa kupata Anguko kubwa la thamani ya Shilingi yake, hii ni kutokana na Uhaba mkubwa wa Dolla, unaosababishwa na Trade Imbalance na mambo mengine ya...
Waarabu wa Dubai wasingepata upinzani wowote kama huu wa bandari endapo wangezinunua Yanga na Simba.
Akitokea Mwarabu yoyote akainunua Simba au Yanga na kuifanya kuwa na ukwasi mkubwa wa fedha na...
Mbunge wa Viti maalum mkoani Geita Mhe Rose Busiga amewataka wanawake wa Wilaya ya Nyang'wale Mkoani Geita kuendelea kuwa jeshi la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu...
"Je, ni lini Serikali itarejesha utaratibu wa mafunzo elekezi ya Uongozi, Utawala Bora na Uadilifu kwa Watumishi ambao wamefikia ngazi ya Afisa Mkuu ili wanapopata nafasi za Uteuzi waweze kutumika...
Serikali imewasilisha ombi hilo kupitia Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba wakati akizungumza na ujumbe wa Benki ya Dunia (WB) unaosimamia Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika.
Dkt. Mwigulu...
Turukie kwenye mada.
Nimeisoma ilani ya CCM. 2020-2025 hakuna mahali nilipoona CCM imelekeleza kuhamisha wamasai kutoka mkoa wa Arusha ( Ngorongoro) kuwapeleka mkoa wa Tanga.
2. Hakuna mahali...
Juzijuzi rais kaja na kizimkazi kabla hapajapoa waziri mkuu kaja na rwangwa marathon tukiwa hatujui mpango ataibuka na nini kule Buhigwe, kabla hatujasahau yale ya tulia kula Mbeya.
Nimesikia...
Kila nikikumbuka kifo cha kutisha cha Mwangosi wa hapa Unyaluni halafu nikikumbuka zile risasi 16 alizopigwa Tundu Lisu...duh
Halafu nikikumbuka Zitto Kabwe alivyogoma kutoka ndani ya Ukumbi wa...
Nawafahamu wamaasai kipindi kirefu ingawa siyo sana.
Nimeishi hapa Karatu vipindi tofauti tofauti hasa kule Mang'ola kwenye wakulima wengi wa vitunguu.
Sijawahi kujua kuwa wamaasai ni wapenzi wa...
Katika vitu vinasababisha na kupunguza muda wa kuishi na afya ya akili ni masuala ya siasa. Kila siku ni kusababisha presha na hasira zisizo na maana. Utasikia mafuta yamepanda, umeme umekatika...
Wanajamvi, wazee wetu walituasa kwamba kinga ni bora kuliko tiba!
Kambi ya wavuvi Migongo Kijiji cha Kisaba kata ya Maisome Sengerema mkoani Mwanza hali ya usalama si shwari na damu inaweza...
Salaam,
Kuelekea Uchaguzi ujao nimedokezwa Ilani ya CHADEMA inayopikwa, itakua na kauli mbiu ya "TANZANIA YA KIDIGITAL INAWEZEKANA"
Kilichonifurahisha katika Ilani hii, kuna Sera ya "Uchumi wa...
Nimefanikiwa kutembelea Bunge letu hivi karibuni wakati vikao vinaendelea.
Nilikuwa na issue ya kiofisi, niwaambie Watanzania wenzangu. Ofisi za Bunge la Tanzania ni mfano wa kuigwa kwa ofisi...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Kama ilivyo ada au desturi, leo nimekuja na maono mengine ambayo nina amini hapo kabla Hakuna aliewahi kuwa nayo. Maono yenyewe ni kuhusu namna John P. Magufuli...
8Video Clip ipo Chini"Mwigulu Kama Makamba na Nape! Wanasaka za Uchaguzi (ndoto za Urais)"
Jana, 08/09/2023 huko Dodoma Serikali kupitia Bunge lake ilipitisha sheria mpya ya manunuzi ya serikali...
Kuna Mambo ukiangalia utagundua Chadema ni werevu zaidi ya CCM.
Masikitiko ni kwamba CCM ni chama kikongwe kina wataalamu wa kila aina lakini mipango yao ni ya hovyo sana.
Je wataalamu na...