Maoni Binafsi: Sina imani na Saa100 kwenye zoezi la kuhamisha wamasai Ngorongoro nikisoma ilani ya CCM 2020-2025.

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,829
21,460
Turukie kwenye mada.

Nimeisoma ilani ya CCM. 2020-2025 hakuna mahali nilipoona CCM imelekeleza kuhamisha wamasai kutoka mkoa wa Arusha ( Ngorongoro) kuwapeleka mkoa wa Tanga.

2. Hakuna mahali CCM imeelekeza akae kimya asiongee na wananchi kutolea maelekezo au ufafanuzi wa jambo ambalo limeleta taharuki mfano mkataba wa Bandari.

3. Kuisimamia serikali amefeli na hata chama kiuongozi kipo kipo tu, na hata baada ya uchaguzi mkuu wa ndani ya chama 2022 tulitarajia mabsdiliko ndani ya chama kiungozi kuanzia ngazi ya wilaya hadi mkoa ila hali ni ile ile na kuingia uchaguzi wa serukali za mitaa na uchsguzi mkuu 2025 CCM italemewa sana.

4. Kitendo cha uongozi wake kupingwa na Kanisa katoliki ni pigo kubwa CCM inakoelekea.

5. Kumteua Naibu waziri mkuu kutokea ukanda ule ni dhahiri kuwa ukanda ule mama hauziki.
 
4. Kitendeo cha uongozi wake kupingwa na Kanisa katoliki ni pigo kubwa CCM inakoelekea.

5. Kumteua Naibu waziri mkuu kutokea ukanda ule ni dhahiri kuwa ukanda ule mama hauziki.
Hiyo namba 5. Huo ukanda ni tishio kubwa sana kwa CCM.
2010 kikwete alienda kuomba kura mara mbili mbili....

Kingine sa100 yuko kimya kwa sababu hajui kuongea. Lolote analoongea lazima aharibu..nafikiri wakubwa wamemwambia atulie tu kupunguza Tafrani
 
Tatizo malezi, amezoea mipasho ya kule kwao alikotoka, sasa amejikuta mambo ya msingi yanayohusu serikali yake nayo anayajibu hovyo, matokeo yake badala ya kumaliza tatizo ndio amejikuta anazidi kulikuza, ndio maana sasa wamemwambia funga mdomo wako unazidi kuharibu nae ameamua kuwa kiziwi kabisa ametuzibia masikio.
 
Turukie kwenye mada.

Nimeisoma ilani ya CCM. 2020-2025 hakuna mahali nilipoona CCM imelekeleza kuhamisha wamasai kutoka mkoa wa Arusha ( Ngorongoro) kuwapeleka mkoa wa Tanga.

2. Hakuna mahali CCM imeelekeza akae kimya asiongee na wananchi kutolea maelekezo au ufafanuzi wa jambo ambalo limeleta taharuki mfano mkataba wa Bandari.

3. Kuisimamia serikali amefeli na hata chama kiuongozi kipo kipo tu, na hata baada ya uchaguzi mkuu wa ndani ya chama 2022 tulitarajia mabsdiliko ndani ya chama kiungozi kuanzia ngazi ya wilaya hadi mkoa ila hali ni ile ile na kuingia uchaguzi wa serukali za mitaa na uchsguzi mkuu 2025 CCM italemewa sana.

4. Kitendo cha uongozi wake kupingwa na Kanisa katoliki ni pigo kubwa CCM inakoelekea.

5. Kumteua Naibu waziri mkuu kutokea ukanda ule ni dhahiri kuwa ukanda ule mama hauziki.
No way ccm itachomoka, watanzania wameisha chafukwa , any mistake ya kutumia dola kuwabeba, machafuko nayaona yale pale, uyu mama kaiuza ccm na nchi
 
Hata ( .....) akinyamaza huonekana mwenye HEKIMA.
Na naona bora azidi kunyamaza hasa kuhusiana na hili suala, maana akiongea ndo atatuchefua zaidi.
 
Back
Top Bottom