Ulikuwa mpango wa Mungu kuhakikisha Magufuli anakuwa Rais kwanza ndio afariki

Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Sep 9, 2020
6,860
12,293
Habari zenu wanaJF wenzangu,

Kama ilivyo ada au desturi, leo nimekuja na maono mengine ambayo nina amini hapo kabla Hakuna aliewahi kuwa nayo. Maono yenyewe ni kuhusu namna John P. Magufuli alivyokuwa raisi na baadae kufariki.

Ni hivi.. kabla ya hayati John P. Magufuli kuwa raisi wa JMT, nchi yetu ilikuwa ni moja ya nchi ya kawaida sana katika ukanda wetu wa nchi za Afrika Mashariki, Africa na dunia kwa ujumla.

Pamoja na kwamba tulipata uhuru wetu miaka zaidi ya 50 au 60 iliyopita, na pia kusaidia nchi nyingi katika mapambano ya kupigania uhuru wao dhidi ya wakoloni. Lakini watu wengi hawakuijua wala kuifahamu nchi yetu, hali iliyopelekea baadhi ya watu kujua kwamba huenda Tanzania ni moja kati ya mikoa mikubwa ya Kenya.

Ndio nasema hivi kwa sababu watu wengi waliifahamu Kenya kutokana na uchumi wao, maendeleo yao na baadae lugha yao (kiswahili). Hivyo kwa vile na sisi ni waswahili basi tulionekana kuwa na sisi ni sehemu ya wakenya.

Sisemi kwamba hatukutambulika na kila mtu, bali watu wengi waliokuwa wanafuatilia habari za nchi mbali mbali kupitia katika Chanel ma mitandao mbali mbali hawakuwa wanaifahamu nchi yetu, na hii ni kwa sababu hakuna mtu au kile ambacho kingetufanya tujivunie na kuwekwa au kujiweka katika mitandao na Chanel mbali mbali ili kuitangaza nchi.

Imagine unafika sehemu unamwambia mtu "im from Tanzania", anashangaa na kukuuliza "Is it a country or or provence"? Inabidi upate kazi ya kumuelewesha mpaka akuelewe.

Yah kwa nchi hali ya maisha ilikuwa shwari haswa enzi za Kikwete, kina Mr Nice walikuwa wanatembea na viloba vya hela ndani ya magari yao, wafanyabiashara na wapiga deal mbali mbali walikuwa vizuri mifukoni, lkn kimataifa ilikuwa ni zero. Hata kumwambia mtu natokea nchi fulan unaona aibu, kwa sababu unajua aki google na kufanikiwa kuiona nchi yenye ilivyochoka itakunyong'onyesha zaidi na kukukatisha tamaa hata wewe mwenye nchi.

Watu wakaanza kuomba dua ili apatikane mtu ambae ataibadilisha nchi na kuleta heshima katika taifa iwe ndani au nje. Baada ya dua ile na maombi yale, Mungu alisikia, na kwa vile alikuwa ashapanga kumchukua mja wake, ikabidi ampitishe kwanza kuwa raisi kwa muda wa miaka 5, ili aijenge na kutengeneza misingi ambayo na wengine watakaokuja wataifata.

Ukitaka kujua kama Mungu alihusika na uwepo wake pale kitini angalia tu kwanza ugomvi ulioibuka ghafla katika ya mtu mwenye maamuzi ya mwisho (raisi na mwenyekiti wa chama) na swaiba wake mamvi, kitendo ambacho hakikuwa cha kawaida kutokea, lkn pia mwenye maamuzi huyo akamtosa mpaka swaiba wake mungine wa Karibu aliewahi kugombea uraisi mwaka 2020 kupitia chama cha kijana wa Kigoma.

Magufuli aliesukwa na Mungu mwenyewe, kwanza hakuwa na ndoto wala mawazo ila Mungu akamsukuma kubeep. Kweli ile kubeep kitu kikaringi na jamaa akawa raisi. Magufuli huyo alipoingia sehemu kubwa ya Africa ikaanza kwanza kutambua kama kuna raisi anaitwa Magufuli kutokana na aina ya uongozi wake, haswa ile style ya kusimama njiani bila kujali hadhi yake, kusikiliza maoni, kero na shida mbali mbali za wananchi wake pindi anapokuwa safarini. Lakini kubwa zaidi ni ile ya kuwahoji na kuwachukulia hatua za hapo hapo wale wote waliohusika na kero hizo bila kujali vyeo vyao wala majina yao.

Nchi zingine za Afrika kiongozi anapokuwa ziarani basi wengi mtaishi kusikia upepo mkali umewapita ukiuliza utaambiwa ni gari ya raisi ilipita hapa mwendo mkali inaelekea kwenye kampeni za uraisi nk.

Lakini kama hilo halitoshi akaanza tumbua tumbua ya wabadhilifu wote wa mali za umma. Wengine wakapigwa stop kusogelea maeneo nyeti ili wasije kuingiza vairasi kwenye mipango ya utawala nk. Sikukuu zisizokuwa na mana ambazo zilitumiwa kama kichaka cha kupiga hela zikastopishwa, na fedha zikaelekezwa katika miradi ya maendeleo. Nchi ikaanza kujengwa ili iendane na wakati, taratibu watanzania tukaanza kuonekana na sisi ni wa maana. Tukaanza kuwa tunashindanishwa na wakenya kimaendeleo na bado tulitoka droo au kama walionekana kutushinda kutokana na kujulikana mda mrefu basi walitushinda kidogo sana.

Barabara muhimu za kutoka mikoani na nje ya nchi zikaongezwa ukubwa na ubora, stand za mabasi za kisasa ambazo hata wakenya inasekekana hawana zikajengwa mbezi na huko sijui nyegezi, reli ya kisasa, viwanja vya ndege vya kisasa ambavyo siku hizi vinashindanishwa na viwanja vingine vikubwa toka katika nchi zenye uchumi mkubwa Africa. Flyovers, ikulu, New Dodoma city, Station ya treni ya kisasa yenye mandhali ya madini yetu ya Tanzanite na project nyingine ambazo alikufa bila kuzimalizia.

Tunachoshukuru ni kwamba Mungu huyo huyo aliempa hayati Magufuli ndio huyo huyo aliemteuwa huyu aliepo sasa kuwa makamu wa raisi kipindi hicho. Maana alijua siku atakayomchukua Magufuli basi huyu aliebaki atamalizia vilivyoachwa na kuongeza projects zake kwa faida ya taifa la Tanzania.

Leo hii watu (tena sio watanzania) wanapopimanisha maendeleo ya nchi kumi za Africa kimaendeleo, na miundo mbinu basi Tanzania lazima iwemo.

Asante Mungu, watanzania tunakushuku kwa uhai wenye faida uliyompa hayati Magufuli. Uhai ambao aliutumia vizuri kwa faida ya taifa lake na familia yake.

Sipati picha kama nchi hii mwaka 2015, yule mzee mwenye maamuzi ya mwisho angempa nchi swaiba wake mamvi au yule kachero mbobezi kama nchi tungekuwa wapi leo.

Huenda bado tungekuwa na kabarabara kale kale ka kamba moja kutoka Dar hadi Morogoro, Bagamoyo road nayo vumbi lingekuwa ni lile lile hapo sijagusia Kilwa raod na zengwe kubwa pale ubungo mataa, buguruni nk. I hope hata hili daraja la Tanzanite tusingeota kujengwa.

Raisi na genge lake wangekula bata, sisi tukatupiwa mifupa tu, huku tukiambiwa kwamba nchi hujengwa na wananchi 🤣🤣🤣

Rest In Peace hayati J. P . Magufuli.

Mungu endelea kuilinda, kuisimamia na kuiongoza Tanzania kupitia viumbe wako (maraisi) sahihi muda wote.
 
Habari zenu wanaJF wenzangu,

Kama ilivyo ada au desturi, leo nimekuja na maono mengine ambayo nina amini hapo kabla Hakuna aliewahi kuwa nayo. Maono yenyewe ni kuhusu namna John P. Magufuli alivyokuwa raisi na baadae kufariki.

Ni hivi.. kabla ya hayati John P. Magufuli kuwa raisi wa JMT, nchi yetu ilikuwa ni moja ya nchi ya kawaida sana katika ukanda wetu wa nchi za Afrika Mashariki, Africa na dunia kwa ujumla.

Pamoja na kwamba tulipata uhuru wetu miaka zaidi ya 50 au 60 iliyopita, na pia kusaidia nchi nyingi katika mapambano ya kupigania uhuru wao dhidi ya wakoloni. Lakini watu wengi hawakuijua wala kuifahamu nchi yetu, hali iliyopelekea baadhi ya watu kujua kwamba huenda Tanzania ni moja kati ya mikoa mikubwa ya Kenya.

Ndio nasema hivi kwa sababu watu wengi waliifahamu Kenya kutokana na uchumi wao, maendeleo yao na baadae lugha yao (kiswahili). Hivyo kwa vile na sisi ni waswahili basi tulionekana kuwa na sisi ni sehemu ya wakenya.

Sisemi kwamba hatukutambulika na kila mtu, bali watu wengi waliokuwa wanafuatilia habari za nchi mbali mbali kupitia katika Chanel ma mitandao mbali mbali hawakuwa wanaifahamu nchi yetu, na hii ni kwa sababu hakuna mtu au kile ambacho kingetufanya tujivunie na kuwekwa au kujiweka katika mitandao na Chanel mbali mbali ili kuitangaza nchi.

Imagine unafika sehemu unamwambia mtu "im from Tanzania", anashangaa na kukuuliza "Is it a country or or provence"? Inabidi upate kazi ya kumuelewesha mpaka akuelewe.

Yah kwa nchi hali ya maisha ilikuwa shwari haswa enzi za Kikwete, kina Mr Nice walikuwa wanatembea na viloba vya hela ndani ya magari yao, wafanyabiashara na wapiga deal mbali mbali walikuwa vizuri mifukoni, lkn kimataifa ilikuwa ni zero. Hata kumwambia mtu natokea nchi fulan unaona aibu, kwa sababu unajua aki google na kufanikiwa kuiona nchi yenye ilivyochoka itakunyong'onyesha zaidi na kukukatisha tamaa hata wewe mwenye nchi.

Watu wakaanza kuomba dua ili apatikane mtu ambae ataibadilisha nchi na kuleta heshima katika taifa iwe ndani au nje. Baada ya dua ile na maombi yale, Mungu alisikia, na kwa vile alikuwa ashapanga kumchukua mja wake, ikabidi ampitishe kwanza kuwa raisi kwa muda wa miaka 5, ili aijenge na kutengeneza misingi ambayo na wengine watakaokuja wataifata.

Ukitaka kujua kama Mungu alihusika na uwepo wake pale kitini angalia tu kwanza ugomvi ulioibuka ghafla katika ya mtu mwenye maamuzi ya mwisho (raisi na mwenyekiti wa chama) na swaiba wake mamvi, kitendo ambacho hakikuwa cha kawaida kutokea, lkn pia mwenye maamuzi huyo akamtosa mpaka swaiba wake mungine wa Karibu aliewahi kugombea uraisi mwaka 2020 kupitia chama cha kijana wa Kigoma.

Magufuli huyo alipoingia sehemu kubwa ya Africa ikaanza kwanza kutambua kama kuna raisi anaitwa Magufuli kutokana na aina ya uongozi wake, haswa ile style ya kusimama njiani bila kujali hadhi yake, kusikiliza maoni, kero na shida mbali mbali za wananchi wake pindi anapokuwa safarini. Lakini kubwa zaidi ni ile ya kuwahoji na kuwachukulia hatua za hapo hapo wale wote waliohusika na kero hizo bila kujali vyeo vyao wala majina yao.

Nchi zingine za Afrika kiongozi anapokuwa ziarani basi wengi mtaishi kusikia upepo mkali umewapita ukiuliza utaambiwa ni gari ya raisi ilipita hapa mwendo mkali inaelekea kwenye kampeni za uraisi nk.

Lakini kama hilo halitoshi akaanza tumbua tumbua ya wabadhilifu wote wa mali za umma. Wengine wakapigwa stop kusogelea maeneo nyeti ili wasije kuingiza vairasi kwenye mipango ya utawala nk. Sikukuu zisizokuwa na mana ambazo zilitumiwa kama kichaka cha kupiga hela zikastopishwa, na fedha zikaelekezwa katika miradi ya maendeleo. Nchi ikaanza kujengwa ili iendane na wakati, taratibu watanzania tukaanza kuonekana na sisi ni wa maana. Tukaanza kuwa tunashindanishwa na wakenya kimaendeleo na bado tulitoka droo au kama walionekana kutushinda kutokana na kujulikana mda mrefu basi walitushinda kidogo sana.

Barabara muhimu za kutoka mikoani na nje ya nchi zikaongezwa ukubwa na ubora, stand za mabasi za kisasa ambazo hata wakenya inasekekana hawana zikajengwa mbezi na huko sijui nyegezi, reli ya kisasa, viwanja vya ndege vya kisasa ambavyo siku hizi vinashindanishwa na viwanja vingine vikubwa toka katika nchi zenye uchumi mkubwa Africa. Flyovers, ikulu, New Dodoma city, Station ya treni ya kisasa yenye mandhali ya madini yetu ya Tanzanite na project nyingine ambazo alikufa bila kuzimalizia.

Tunachoshukuru ni kwamba Mungu huyo huyo aliempa hayati Magufuli ndio huyo huyo aliemteuwa huyu aliepo sasa kuwa makamu wa raisi kipindi hicho. Maana alijua siku atakayomchukua Magufuli basi huyu aliebaki atamalizia vilivyoachwa na kuongeza projects zake kwa faida ya taifa la Tanzania.

Asante Mungu, watanzania tunakushuku kwa uhai wenye faida uliyompa hayati Magufuli. Uhai ambao aliutumia vizuri kwa faida ya taifa lake na familia yake.

Sipati picha kama nchi hii mwaka 2015, yule mzee mwenye maamuzi ya mwisho angempa nchi swaiba wake mamvi au yule kachero mbobezi kama nchi tungekuwa wapi leo. Huenda bado tungekuwa na kabarabara kale kale ka kamba moja kutoka Dar hadi Morogoro, Bagamoyo road nayo vumbi lingekuwa ni lile lile hapo sijagusia Kilwa raod na zengwe kubwa pale ubungo mataa, buguruni nk. I hope hata hili daraja la Tanzanite tusingeota kujengwa.

Raisi na genge lake wangekula bata, sisi tukatupiwa mifupa tu.

Rest In Peace hayati J. P . Magufuli.

Mungu endelea kuilinda, kuisimamia na kuiongoza Tanzania kupitia viumbe wako (maraisi) sahihi muda wote.
Na babu yako kufa ilisukwa awe rais wa wapi ndiyo afe? Jinga kabisa mleta mada.

Na Membe je ?
 
Membe nimemtaja kwa njia ya code humu. Ila kwa vile wewe ni wa kijijini hauwezi kuona chochote mkuu.
 
Ni mpango wa wazenji ,Mtanganyika anakuwa raisi kwa miaka mitatu kisha anapelekwa giningi ,huku Raisi anakuwa Mzanzibari anamalizia miaka miwili .
Usishangae Mzenji akimaliza Uraisi ukasikia Magu ameonekana Pemba.
 
Enzi za Baba wa Taifa Tanzania ilikuwa ni moja ya Nchi zenye ushawishi mkubwa barani Afrika na ilikuwa ni moja ya Nchi yenye heshima yake Duniani kwahiyo acha kuandika ujinga hapa.
Umetumia Nguvu kubwa sana kuuonesha upoyoyo wako kama kweli hukumuelewa mwenye uzi wake, siku nyingine omba kueleweshwa zaidi
 
Sipingi kile ulichoandika, lkn nakushauri usome tena thread afu ndo utaelewa kilichoandikwa.

In 2023 bado unaamini visivyoaminika mkuu!!
 
Umetumia Nguvu kubwa sana kuuonesha upoyoyo wako kama kweli hukumuelewa mwenye uzi wake, siku nyingine omba kueleweshwa zaidi
Asante mkuu kwa kunisaidia kumuelewesha huyo mshamba, maana na mimi nilikuwa nimeshamjibu hivi hivi hapo chini 👇
Sipingi kile ulichoandika, lkn nakushauri usome tena thread afu ndo utaelewa kilichoandikwa.
 
Upuuzi mtupu, Magufuli, Magufuli, wasukuma mlishamuona Magufuli kama mungu wenu sivyo!! Ndo kashaondoka sasa, na harudi tena!!
 
Back
Top Bottom