Salaam,
Kuelekea Uchaguzi ujao nimedokezwa Ilani ya CHADEMA inayopikwa, itakua na kauli mbiu ya "TANZANIA YA KIDIGITAL INAWEZEKANA"
Kilichonifurahisha katika Ilani hii, kuna Sera ya "Uchumi wa Kidijitali" ambayo CHADEMA, wameifanyia utafiti na kugundua, itazalisha mamilioni ya ajira zitakazoboresha maisha ya wananchi, na kukuza uchumi wa taifa letu, bila kuuza raslimali zetu.
Kupitia sera hii, Serikali ya CHADEMA itawatumia wawekezaji, kuanzisha vituo vya sanaa na michezo nchi nzima, kuanzia ngazi ya kata na mashule, ili wenye vipaji wajiajiri.
Kupitia Sera hii pia, Serikali ya CHADEMA, itawatumia wawekezaji kuanzisha local radio & TV, kuanzia ngazi ya kata na mashule, ajili ya kuongeza ajira na upatikanaj habari katika ngazi za chini.
NB: Kwa Ilani hii bora inayopikwa na CHADEMA, CCM jiandaeni kukabidhi nchi.