Miradi ya Kimkakati SGR, Stiglers Kuchelewa Kwa sababu ya Uhaba wa Dola

ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
1,964
3,895
Nchi za Kiafrika ikiwemo Tanzania , zinatazamiwa kupata Anguko kubwa la thamani ya Shilingi yake, hii ni kutokana na Uhaba mkubwa wa Dolla, unaosababishwa na Trade Imbalance na mambo mengine ya kidunia yanayotokea huko.

Tujikumbushe muda wa hivi Karibuni paundi ya egypt ilipoteza thamani yake zaidi marambili dhidi ya Dolla ya kimarekani.

Moja kati ya Watumiaji wakubwa wa Dolla za kimarekani TAnzania ni watekelezaji wa Miradi mikubwa ya Kimkakati, ambapo mikataba yao mingi Huwa katika Fedha za dollari na Tanzania Shillings.

Habari zinadai Serikali Sasa imeshindwa kulipa watekelezaji wa Miradi mikubwa ya Kimkakati kwasababu ya kutokuwa na Dolla za kimarekani katika akiba , hivyo miradi mingi itasubiri upatikanaji wa Dolla za kimarekani Ili iendelee kukimbia mbio.

Serikali ya Tanzania ingeweza kupata Dolla nyingi za kimarekani kama ingewekeza vizuri katika kilimo, ambapo tungeweza kuuza nafaka nyingi za kutosha na kuweza kupata dollari za kimarekani, kwasasa Taifa linaingiza Dolla nyingi katika madini na Kwa upili ni katika utalii, ambapo bado hatujawekeza vya kutosha katika utalii.

Matarajio Kwa Hali inavyoelekea Sasa shilingi ya kitanzania inaweza kufikia 4000 Hadi 5000 Kwa Dolla moja ya kimarekani.

Hali hii itakuwa ni mbaya na italeta myumbo wa kisiasa hasa Kwa watawala.

Kwasasa serikali ingewekeza nguvu kubwa sana katika utalii na kilimo sehemu ambazo tunaweza kujipatia Fedha za kigeni.

Pia najiuliza inawezekana kweli Kuna Uhaba wa nafuta, kwanini kwasababu serikali Haina Dolla Sasa kama Haina Dolla itaagizaje mafuta , SEMA serikali haiwezi SEMA ukweli, itafikia wakati Hadi madawa tutashindwa nunua. Inflation inatarajiwa kuwa mlimani, nawashauri wenye Fedha zao bank wawekeze katika real estate ambayo Ina immunity na inflation
 
Wakae mezani wachague aina nyingine ya fedha. Sio lazima USD.

Naona mnaanza kuleta janja janja ya kushindwa kutekeleza miradi kwa wakati.
 
Ipo mkuu, kwa mfano kupata dollar 1 kutakuhitaji uwe na shilingi nyingi. Hapo nadhani umeona athari tayari ambayo itakukuta kwenye manunuzi. Usijitazame wewe tu hapa ili uione athari hiyo.
Na ikishuka kama wewe ni muuzaji na una products nyingi bidhaa zako zitakuwa nafuu kuliko wenzako (refer nguvu ya GB Sterling against Dollar au Weakness ya China Yuan).., ila hili Taifa la Machinga na Wachuuzi lazima lipige kelele Dollar ikipanda
 
Nchi za Kiafrika ikiwemo Tanzania , zinatazamiwa kupata Anguko kubwa la thamani ya Shilingi yake, hii ni kutokana na Uhaba mkubwa wa Dolla, unaosababishwa na Trade Imbalance na mambo mengine ya kidunia yanayotokea huko.

Tujikumbushe muda wa hivi Karibuni paundi ya egypt ilipoteza thamani yake zaidi marambili dhidi ya Dolla ya kimarekani.

Moja kati ya Watumiaji wakubwa wa Dolla za kimarekani TAnzania ni watekelezaji wa Miradi mikubwa ya Kimkakati, ambapo mikataba yao mingi Huwa katika Fedha za dollari na Tanzania Shillings.

Habari zinadai Serikali Sasa imeshindwa kulipa watekelezaji wa Miradi mikubwa ya Kimkakati kwasababu ya kutokuwa na Dolla za kimarekani katika akiba , hivyo miradi mingi itasubiri upatikanaji wa Dolla za kimarekani Ili iendelee kukimbia mbio.

Serikali ya Tanzania ingeweza kupata Dolla nyingi za kimarekani kama ingewekeza vizuri katika kilimo, ambapo tungeweza kuuza nafaka nyingi za kutosha na kuweza kupata dollari za kimarekani, kwasasa Taifa linaingiza Dolla nyingi katika madini na Kwa upili ni katika utalii, ambapo bado hatujawekeza vya kutosha katika utalii.

Matarajio Kwa Hali inavyoelekea Sasa shilingi ya kitanzania inaweza kufikia 4000 Hadi 5000 Kwa Dolla moja ya kimarekani.

Hali hii itakuwa ni mbaya na italeta myumbo wa kisiasa hasa Kwa watawala.

Kwasasa serikali ingewekeza nguvu kubwa sana katika utalii na kilimo sehemu ambazo tunaweza kujipatia Fedha za kigeni.

Pia najiuliza inawezekana kweli Kuna Uhaba wa nafuta, kwanini kwasababu serikali Haina Dolla Sasa kama Haina Dolla itaagizaje mafuta , SEMA serikali haiwezi SEMA ukweli, itafikia wakati Hadi madawa tutashindwa nunua. Inflation inatarajiwa kuwa mlimani, nawashauri wenye Fedha zao bank wawekeze katika real estate ambayo Ina immunity na inflation
Mengine ni kipimo cha akili cha viongozi wetu
 
Hivi kupanda kwa dollar kuna athari yoyote kwa akiba za 'pesa madafu' zilizoko benki?

Serikali wana uzembe. De-dolarization ilionekana muda mrefu sana lakini wakashindwa kujipanga na kupuuzia. Tungekuwa tunafanya transactions kwa national currencies badala ya dollar tungekuwa mbali mpaka muda huu. Kusingekuwa na hayo mambo ya kujifunga na currency moja.
 
Back
Top Bottom