Kwenye huu uzi nitakuwa naposti video pamoja na habari mbalimbali za kula bila ya kuvimbiwa pamoja na video na habari za kujipimia pia.
Video zangu ni fupifupi ambazo zipo chini ya MB 1 ili hata...
Kwa wasioelewa mgogoro huko Ngorongoro na Loliondo.
Ni hivi , Huko Loliondo ndio kuna mwarabu(OBC) anayetaka ardhi ya wananchi, nguvu na ubabe unatumika kuwaondoa watake wasitake.
Eneo la...
Akifungua mkutano maalumu wa Baraza la Vyama vya Siasa leo hii trh 11/9/2023, Rais Dkt Samia amesema kuwa Katiba mpya ni Mali ya Watanzania wote, wenye vyama na wasio na vyama, wenye dini na wasio...
Wana-body mtakumbuka kwamba Dr. Kigwangalla alipiga mkwara mzito sana na kutoa siku kama sio wiki au kama sio mwezi kwamba mwarabu awe ameondoka Loliondo. Zaidi soma => Waziri Kigwangalla aagiza...
Kwa nini serikali inapanga bei za mafuta katika uchumi wa soko huria kupitia taasisi yake ya EWURA?
Hili wazo la kuipa taasisi ya kiserikali jukumu la kibiashara kuwapangia bei wafanyabiashara...
Ni dalili kubwa sasa hii ni CcM ya wapigaji na wajanja aka wazee wa kupiga madili kama ya Lugumi, kagoda na Escrow.
Mpaka tunafika 2025 wananchi watakauwa wameshachoka na kuikataa mioyoni mwao...
Inashangaza na kuchukiza kusikia Eti Wananchi wa Nchi hii Hawaijui KATIBA ya NCHI yao.
Wenye AKILI KUBWA TULISEMA Mapema kuwa CCM haitaki WATANZANIA wapate KATIBA MPYA .Dalili za KUKATAA zilianza...
Ndugu yangu Tundu Lissu, ni hatari kubwa mno kuendelea kumshambulia Hayati Magufuli.
Pamoja na mapungufu machache ya kibinadamu ya Hayati Magufuli wakati wa utawala wake, asilimia kubwa ya...
Habari wakuu,
Rais Magufuli anatazamiwa kuwaapisha Kangi Lugola na wenzake walioteuliwa jana. Shughuli hiyo itafanyika Ikulu Dar Es Salaam leo hii saa tisa alasiri.
Walioteuliwa wote wanatakiwa...
Kayasema hayo kwenye video akihojiwa
Kuhusu Tuhuma Juu ya Lugumi, na kusema kwamba waligundua kwamba Lugumi hakuwa na kosa ila serikali ndo ilikuwa na Matatizo juu ya suala ilo,
Ni kuhusu kufunga...
-Rais amechoka kutenga bajeti kila mwaka wa bajeti kulisha wafungwa na wahalifu badala ya kuhudima wananchi kwenye afya, elimu, miundombinu, reli, ndege, na miradi ya umeme.
-Rais ameniagiza...
Mods naomba huu uzi usiunganishwe na ule mwingine maana huu ni kujaribu kutafuta suluhisho na sio kuleta habari
1. Tenda ilitolewa mwaka gani na ni mpaka lini walianza kugundua kuwa upande wa...
Ni ushauri mzuri kwa ajili ya kulikomboa taifa la Tanzania. Taifa lipo mikononi mwa watu wasiofaa kabisa.
Hakuna aliyesahau ya Escrow, kagoda Richmond na ufisadi mkubwa wa kutupa kupitia Lugumi...
Sisi ni Chama makini sana.
Tunajua nini maana ya maslahi ya taifa.
Hatuwezi kuwa na fikra potevu kudanganya dunia kuwa kuna Demokrasia nchini Wakati hakuna. Zaidi ya CCM Kandamizi iliyojisahau...
Kila kukicha, kila mahali wapinzani hasa CHADEMA wanatembea na ajenda hii ya bandari. Wamemwaga sumu na asilimia kubwa ya wananchi wanaamini kuwa nchi imeuzwa.
Kwa jinsi mambo yanavyokwenda...
Wakati ule wa uchaguzi wa mwaka 2020.
Tundu lissu alitushushia nyundo wana ccm na hakuwepo mwana ccm aliyekuwa na uwezo wa kujibu hoja zake kwa hoja bali ccm iliamua kutishia wakurugenzi kuwa...
Hongera sana kwako Rais Mwinyi.
My Take
Bara Kuna watu wa hovyo wasiojielewa.
THE Africa Global Logistics (AGL) has entered into a five-year service management contract to operate the Malindi...
Mimi sikubaliani na wanasiasa wanaotaka kutuyumbisha kwa kutaka kutengeneza katiba mpya huu ni usanii, upuuzi na ufujaji wa mapato.
Tujikite kwenye katiba iliyopo tuboreshe maisha ya Watanzania...
Kwenye ukweli tuseme ukweli bora Mbowe kuliko mtu mwenye emotions za hovyo kama Heche asiye na staha, asiyefanya uchaguzi kabla ya kutamka, mtu mwenye jazba.
Heche hajui kiinua mgongo kinatoka na...
Huo ndio ukweli. survival ya Ccm inategemea katiba mbovu waliojifungia wenyewe wakaiandika. Leo wamekiri wenyewe kupitia mwenyekiti wao kuwa watu hatuijui katika ya sasa (japo twaijua).
CCM...