Mikataba mingapi ya ujenzi ilisainiwa na Profesa Mbarawa mwaka jana 2023?

Nsibwene

Senior Member
Mar 2, 2017
198
129
Mikataba mingapi ya ujenzi ilisainiwa na Profesa Mbarawa mwaka jana 2023?
Je, mikataba inasaiwa hadharani Tanzania kweli kuna vituko.
Sijui ataendelea na mchezo huu huko Mawasiliano.
Ni mingapi imeanza?
Kumbe barabara nyingi za nyuma hazjakamilika halafu anafanya upuuzi wa hali ya juu kama huo.
Tena anasafiri na kuandaa mkutano mkubwa, pesa nying zimetumika.
Huyu alitakiwa aachishwe hata uwaziri.
 
Back
Top Bottom